kwa nini ni udsm tu matatizo!!!! nyinyi ndio mafisadi wenyewe wa future,kama wewe ni msomi mzuri usigome kwa matatizo yanayoweza kutatuliwa kwenye meza ya mazungumzo tu..... mkuu wa chuo fanya kweli tena bado,toa tangazo kwa wanachuo wote kuonyesha maadili bora wakati wote.... hongera mkuu wa chuo kwa kuwasimamisha hao wanafunzi mafisadi wa baadae