UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

Hi.
mimi ninakuunga mkono sana ndugu yangu..
chuo kwa sasa imekuwa ni sehemu ya majaribio ya siasa,na kuendeleza kampeni ya chama tawala...
utawala tayari umeshafanya makosa makubwa ambayo yanaonekana kwa wazi ikiwemo kusimamisha uchaguzi lakini yote hayao wamefanya kwa makusudi ya kujari matakwa yaoo...
Prof Mukandala hawezi kukiendesha chuo kikuu na sio tu wanafunzi ndio wanao lalamika hadi baadhi ya watumishi wa utawala wanalala mika juu ya utawala wake na utoaji uamuzi wake..ni mtu ambaye anayeweka kisilani juu ya mataba fulani...
na kwa mtazamo wangu miaka yake hapo chuoni itakuwa ni ya shida sana mpaka atakapo achia ngazi....
 
Kapinga,

Nadhani unaongelea vitu viwili tofauti hapa. Huu mgomo umetokana na uamuzi wa chuo kuingilia uchaguzi huru wa wanafunzi.



Usidhani kuwa unawakomoa hawa watoto kwa kuwatuma nyumbani na kutisha kuwa hawatapata udhamini wa serikali. Hapa unacreate radicals ambao wanaweza kufanya chochote in the future kama life itaharibika kwa sababu ya udikiteta ulioonyesha kwenye hili.


Kama utatumia swala la kusimamishwa huyu kijana Mganda, Mkandala anakufunga bao kwa njia hizi.

kama nilivyosema, muda uliotolewa unatosha huyu jamaa kuwa ameenda Uganda na kurudi madam uchaguzi bado haujafanyika. huwezi kuprove kuwa uchaguzi umeingiliwa wakati bado haujafanyika.

Pili kama kweli fedha za kumpeleka Uganda ni tatizo, bado angeweza kutumiwa hicho cheti kwa kutumia register au EMS, au kama ni mzigo; na rist ya kutumiwa ingeletwa k chuoni iwapo mzigo imepotea.

Tatu kama unasema wanafunzi wa chuo walimuunga mkono kijana achaguliwe, basi wangemchangia hiyo ela ili aweze kwenda nyumbani na kurudi.

Mahakama itauliza hivi unadhani angeshinda? utasema yes, hivi unadhani waliokuwa wanamuunga mkono ni kiasi gani ? utajibu ni zaidi ya nusu then utaulizwa zaidi ya nusu ni wanachuo kama 10000 na chuo kina wanafunzi elfu 20, utasema ndio,then utaulizwa kwa nini hao watu hawakumchangia milion 1 ambapo kila mtu angechangia sh.100 ili aende kwa ndege na kurudi? mpaka mkaamua kugoma na kuandamana.

kama uchaguzi ungekuwa umeishafanyika ungesema basi chuo kimeingilia uchaguzi. ila sasa bado uchaguzi umehairishwa.

mimi ninadhani kuna mambo mengi sana yanahitaji bongo zichemke ili kusupport huu mgomo. ndio maana wale wanaopinga huu mgomo hawatumii lugha za kizandiki kama wale wa upande wa pili.

ushauri wangu kwa huyu mganda: if you go to equity you should go with clean hands itakukuta na hatia hata kama ungeshinda vipi maana sheria ni sheria.[/COLOR]
pili ushauri wangu kwa mwafrika wa kike: if you want to prove a person wrong do it beyond reasonable doubt unless chembe yoyote itakayobaki basi hiyo itakufanya upoteze credibility.

ushauri wangu kwa yule aliyeleta kifungu cha katiba kuwa kila mtu yuko huru ilimradi havunji sheria za nchi. ukitumia hicho kifungu mahakamani umejihukumu maana hawa vijana wameonekana wakivunja sheria za nchi, kama kupiga watu waliokuwa madarasani, na maktaba, kuingia mgomo bila kibari cha DARUSO, NA Tuhuma za kuvunja vitu na kuvuta sigara.
 
kama utatumia swala la kusimamishwa huyu kijana Mkandala anafunga bao.

kama nilivyosema muda uliotolewa unatosha huyu jamaa kuwa ameenda Uganda na kurudi madam uchaguzi bado haujafanyika. huwezi kuprove kuwa umeingiliwa wakati bado haujafanyika.

pili kama kweli ni fedha ni tatizo, bado angeweza kutumiwa kwa kutumia register au EMS au kama mzigo na rist ya kutumiwa kuletwa chuoni hata kama huo mzigo imepotea.

Haya mambo ya spinning za kisheria na inside info ulizo nazo hapa ni after the fact. Ninachoongelea ni suala la fisadi, dikiteta na muuaji Mukandala kuingilia uchaguzi huru wa wanafunzi wa chuo kikuu na kisha kutumia FFU kupiga wanafunzi wasio na hatia.

tatu kama unasema chuo kilitaka huyo kijana achaguliwe, basi wangemchangia hiyo ela ili aweze kwenda nyumbani na kurudi.

mahakama atauliza hivi unadhani angeshinda, utasema yes, hivi unadhani waliokuwa wanamuunga mkono ni kiasi gani ? utajibu ni zaidi ya nusu then utaulizwa zaidi ya nusu ni wanachuo kama 10000 kama chuo kina wanchuo elfu 20, then utaulizwa kwa nini hao watu hawakumchangia milion 1 ambayo kila mtu andgechangia sh.100 ili aende kwa ndege na kurudi? mpaka mkaamua kugoma na kuandamana.

Watu wengi wanajua mahakama itaamua nini kwenye hii case. Mahakama zimekuwa against wanafunzi kwa miaka mingi hata wakati wa kina Zitto etc

Kutumia mahakama kukandamiza demokrasia kama Mugabe alivyofanya kule Zimbabwe ni sehemu ya udikiteta huko afrika.

kama uchaguzi ungekuwa umeishafanyika ungesema basi chuo kimeingilia uchaguzi. ila sasa bado uchaguzi umehairishwa.

Chuo kimeingilia uchaguzi na ndio maana haujafanyika.
 
kwa hiyo wanaogopa taratibu wakati wanasomea taratibu zenyewe.

i wonder to see you encouraging the lawlessness of every person at UDSM, and that being the case even Mkandala is right. kila mtu achukue sheria mkononi? eti

kumbe wewe na wale wavuta bangi ni kitu kimoja ndio maana unasema kwa kuwa ile list ya wauza unga haikufanyiwa kazi basi na hawa vijana wa UDSM wako sahii kuvuta. what a fallasy!!!

it is enough for me today to go and sleep.
 
kwa hiyo wanaogopa taratibu wakati wanasomea taratibu zenyewe.

i wonder to see you encouraging the lawlessness of every person at UDSM, and that being the case even Mkandala is right. kila mtu achukue sheria mkononi? eti

Kama suala la kukataa uongozi wa chuo kuingilia chaguzi za wanafunzi ni lawlessness, basi wewe endelea kubaki ha hiyo degree yako ya sheria mkuu.

kumbe wewe na wale wavuta bangi ni kitu kimoja ndio maana unasema kwa kuwa ile list ya wauza unga haikufanyiwa kazi basi na hawa vijana wa UDSM wako sahii kuvuta. what a fallasy!!!

it is enough for me today to go and sleep.

You need a very long sleep maana inaonekana umechoka kutetea ufisadi, udikiteta na uuaji wa Mukandala. Ukiniita mvuta bangi kwa sababu natetea haki ya wanafunzi wa chuo kikuu kupewa uhuru wa kuchagua viongozi wao bila kuingiliwa na Mukandala au Makamba that will be fine with me.
 
Back
Top Bottom