Ndio anatoa speech sasa! Mmmh jamani tuna kazi kweli kweli lakini anaonekana kachoka. Kagoma kusoma speech kwa kiingeereza anasema anamuachia Museveni yeye atasoma kwa kiswahili, watu wanacheka hapa maana sauti inamuishia hapa, anasema alipopata taarifa ya kuitwa kupewa heshima hii aligwaya maana degree zinasomewa ila anasema zipo za heshima pia, kasoma upepo, anasema kashangaa zaidi maana hii ni ya sheria, na hataki kuuliza maswali zaidi ila anashukuru sana!!!
Worked hard!!! kwani aliandika hata title ya pepa.You have worked hard; now enjoy reaping the benefits,our president JAKAYA MRISHO KIKWETE
Ya Dr. Magufuli alikaa darasani na kuihangaikia, hivi tunaelekea wapi!?
Worked hard!!! kwani aliandika hata title ya pepa.
Siamini kabisa chochote anachosema JK.Inawezekana yeye ndio aliishinikiza Mkandara akaona hana jinsi. Mkandara sidhani anaweza kujikomba kiasi hicho akadhalilisha taaluma yake kwakufanya kitu kama hiki. Ni lazima amepata shinikizo mahali akaona hana jinsi. Hatakama ni kulipa fadhila not at this cost. Sijui lakini ni ngumu kumuamini JK chochote anachosema kwani toka nianze kumfahamu hajawahi kusema ukweli wa kitu chochote.