KANUTI SILAYO
Member
- Oct 3, 2011
- 73
- 16
Kwa mbele pale yupo Utoh na Luhanjo, wamekataza kabisa watu wasiingie na camera, kuna ulinzi mkali usio wa lazima! Nitaendelea kuwajuza muda utakapofika lakini mpaka sasa hatujaanza bado wako kwenye seherehe za miaka hamsini huko Nkrumah Hall pale Campus!
amesema ameshindwa kuandaa hotuba ya kiingereza ameaanda ya kiswahili ya kingereza amemwachia museveni aandae
anazuga ameshangaa kupewa wakati hajasomea tena anashangaa maana ni ya sheria