UDSM: Rais Kikwete atunukiwa PhD ya heshima katika sheria

PhD za kupewa hazina faida yoyote, zimekufa
zipo tu haziwezi kutumika zaidi ya kumpa mtu sifa
zinaweza pia kutumika na wanaozitoa kama njia ya kupata maslahi yao
ndio maana hata rais anayeruhusu wageni waje wachukue madini ambayo yangeweza kulisha vitoto kijijiji naye anapewa pia.
 
Hivi utoaji wa PhD za design hii huwa zinaamuliwa na nani?? Faculty, Senate au................???? Maana majuzi tulisikia kuwa UDASA wameitolea nje hii issue. Sasa imekuwaje ndani ya week tatu mambo yamebadilika???

Kwa kweli kumpa PhD ya heshima ya sheria wakati sheria zetu ni mbovu na katiba yetu ni ya mwaka 47 ni kuidharirisha Faculty of Law na UDSM kwa ujumla!! Hope Mkandara ndiye mfaidikaji hapa!!!
 
kumbe inawezekana ukaukwaa hadi uprofesa through working experience!! mbona sisi wengine hatuitwi tukapewe.
 
Hata Kivuitu, nakumbuka tulimvua degree yake ya sheria kutoka UD kwa kushindwa kwake kusimamia uchaguzi wa Kenya. ila kumwongezea JK Phd mimi siungi mkono kabisa. Kwani hamna wengine kwenye serikali yake.. why all Phd ziende kwa JK wakati wapo waliofanya vitu vizuri na wanaweza kutukuzwa...you can even think of marais wengine wa Africa waliofanya vizuri si lazima JK kila Phd..
 
PhD za kupewa hazina faida yoyote, zimekufa
zipo tu haziwezi kutumika zaidi ya kumpa mtu sifa
zinaweza pia kutumika na wanaozitoa kama njia ya kupata maslahi yao
ndio maana hata rais anayeruhusu wageni waje wachukue madini ambayo yangeweza kulisha vitoto kijijiji naye anapewa pia.

Hata kama hazina faida lakini why JK all the time..tuwape wengine kwa JK inatosha sasa.
 
Naomba tushindane kwa hoja sio kwa matusi, tafdhali sana tuheshimiane, sioni sababu ya wewe kuniita mmbea, tafadhali sana, mimi sio mtoto wa kihuni wala mvuta bangi, kama hukupendezewa na nilichokiandika ungekaa kimya Mpwa, tafadhali sana.
peleka umbea wako huko usirudi tena hapa
 
Back
Top Bottom