UDSM: Rais Kikwete atunukiwa PhD ya heshima katika sheria

Sasa ni muda wa kutunuku PhD zilizosomewa na kusotewa!!!
 
Ndio anatoa speech sasa! Mmmh jamani tuna kazi kweli kweli lakini anaonekana kachoka. Kagoma kusoma speech kwa kiingeereza anasema anamuachia Museveni yeye atasoma kwa kiswahili, watu wanacheka hapa maana sauti inamuishia hapa, anasema alipopata taarifa ya kuitwa kupewa heshima hii aligwaya maana degree zinasomewa ila anasema zipo za heshima pia, kasoma upepo, anasema kashangaa zaidi maana hii ni ya sheria, na hataki kuuliza maswali zaidi ila anashukuru sana!!!


Siamini kabisa chochote anachosema JK.Inawezekana yeye ndio aliishinikiza Mkandara akaona hana jinsi. Mkandara sidhani anaweza kujikomba kiasi hicho akadhalilisha taaluma yake kwakufanya kitu kama hiki. Ni lazima amepata shinikizo mahali akaona hana jinsi. Hatakama ni kulipa fadhila not at this cost. Sijui lakini ni ngumu kumuamini JK chochote anachosema kwani toka nianze kumfahamu hajawahi kusema ukweli wa kitu chochote.
 
Wanajf habari zenu! Ingawa wasomi wengi walipaza sauti kupinga phd ambayo chuo kikuu cha Dar-es-salaam ulipanga kumpa jk lakini leo hii ametunukiwa! Inaniuma zaidi kwa kuwa ni phd ya sheria! Labda angepewa ya .......! Ktk hotuba yake ameonekana kushangaa heshima anazopewa! Alienda uturuk wakampa, marekani wakampa pia na kenya. Leo hii anapewa phd ya sheria! Je inampendeza? Au ndo ulimbuken wa viongoz wa Afrika kupenda heshima tofauti na utendaji wao.
 
ni tatizo la wanaotoa kwani wanalipa fadhila fulanifulani. Nasikitika sana! mtu aliyeshindwa kabisa ku-deliver ndiye anapewa tuzo, aliyedeliver kama Mkapa hakuna wa kumkumbuka! Maskini Africa!
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Hiyo phd aliyopewa imekuadhiri ktk maisha yako. Acha wivu wewe!
 
HONGERA SANA MPENDWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Asiyeona mafanikio uliyoyapata na mema uliyoyafanya kwa muda mfupi, huyo ni wa kumsamehe tu.
 
Siamini kabisa chochote anachosema JK.Inawezekana yeye ndio aliishinikiza Mkandara akaona hana jinsi. Mkandara sidhani anaweza kujikomba kiasi hicho akadhalilisha taaluma yake kwakufanya kitu kama hiki. Ni lazima amepata shinikizo mahali akaona hana jinsi. Hatakama ni kulipa fadhila not at this cost. Sijui lakini ni ngumu kumuamini JK chochote anachosema kwani toka nianze kumfahamu hajawahi kusema ukweli wa kitu chochote.

hapana,mkandara atakuwa amejikomba tu.kumbuka ni mpenda masifa,mhaya.
 
Prof. Paramagamba Kabudi, tupe maelezo ya hili. Unaheshimika sana ktk jamii ya watanzania, lakini kwa hili, linakutia doa, lakini ni vyema tukakusikia kwanza kabla ya kutoa uamuzi.
 
Wale wanaomuonea gele ndiyo hivyo tena jamaa ndiyo anachanga mbuga na mazawadi ya PhD. Leo hii amenyaka nyingine pale UDSM. Nimemwona amefurahi sana japo vijana walimpokea kwa nyimbo zenye maneno mazuri kama vile "kama siyo juhudi zako kikwete mafisadi wangetoka wapi!!!!!"
 
Kufurahi sana kwake siyo kukwa kapewa PhD,ni hulka yake na si ajabu anajifariji kwa yaliyomkuta pale mlimani!!!hana hadhi ya kupewa PhD!!!unless akasome tena
 
Huyu mkweree angejua hizo zote ni kejeli asinge thubutu kupokea hizo tuzo zotr za kejeli. Pumbavu kweli
 
Naona kina Mukandara wanatengeneza mazingira ya kuingia kwenye politiki rasmi...
 
His Phds would have been treasurable if he could have been able to apply them into solving his country's quandaries. Unsurprisingly he is just flaunting them and probably help him with getting more courtesans with easiness.
 
Back
Top Bottom