Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,099
- 127,834
Nyumbani kwa kaka yangu...
Kwa kaka yako sio kwako au hujui?
Nyumbani kwa kaka yangu...
Kwa kaka yako sio kwako au hujui?
Sio kwangu ni kwetu
Ni Id tu..!! Kama prof j..Mkuu hivi wewe ni dakitari kweli au Id tu?
Evelyn Salt ...watoto wazuri kama nyie na under 30 mnatafutwaga...sijawahi kuona under 30 yrs akitafuta bana..by the way nlikuwa najaribu kumrahisishia mwenye uzi..Doc mi mbona nna 20 na ninatafuta?
Tumboo mtoto mzuri..wewe ni moja kati ya maelfu..pengi wewe kwa mwaka huu utakuwa wa kwanza na wa mwisho..umefanikiwa malkia..?!!We mbona mi na miaka23 na nlisema nataka mpenz/mchumba na ni m..........
Tumboo mtoto mzuri..wewe ni moja kati ya maelfu..pengi wewe kwa mwaka huu utakuwa wa kwanza na wa mwisho..umefanikiwa malkia..?!!
em njoo tufanye mambo yetu mrembo! achana nae huyu anaepima kina cha maji kwa miguu yote miwili!
come and shake it to me!
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......
Jaman mm siyo mdada....afu hii post nimeiweka kwenye jukwaa husika sijakataa wadada wa hapa ni great thinker....nakubaliana na hlo sana ila naongelea urembo hapa siyo thkng capacity. MCHUNGUZI HURU
Sijakuelewa kwanini umeni mention?????
Sio kwangu ni kwetu
Mmmmh! Mnataka muanze mipango ya kumpora nyumba Mke wangu nikiwa Bado hai!
Yani nilishaandika URITHI mali zangu zote ni mali ya Mke wangu Khantwe mpk lile shamba letu la UKOO la kule kwetu ITUBHILO Ntuzu
Cc: miss neddy Honey Faith