tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,317
Nenda huko kwa warembo wenzio huku tuache sie kina ubaya
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......
Umewahi kuona picha ya hata mdada mmoja humu au hata jina lake halisi?? Nonsense. Siku nyingine usikurupuke hovyo hovyo
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......
umeonana na wangapi hadi sasa???
umeonana na wangapi hadi sasa???
unataka kuniambia...miss chaggs...evelyn salt....heaven on earth..demba...farkhina....badiebey...sio warembo....???...
Doc mi mbona nna 20 na ninatafuta?Mmmmh...ila kwa nini wakina dada wengi wanaotafuta wachumba humu wana miaka 30 na kwenda juu..?!
Poa mrembo tumekusikiaYawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......
Hanna kit hapo wezi hao, demu gain mwenye bwana wake WS maana aka kuhusudu jf , wrote hao hard desire 2,
Poa mrembo tumekusikia