ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,887
- 131,903
JF sio FB wala Insta.... Hapa watu tunajiheshimu na tunachangia mada za maana na kujifunza mengi sio kutongozana. Wewe mleta mada nenda katafute mal@aya hukoooo sio hapa
..unataka kunihakikishia kuwa humu JF Kuna tofauti sana na FB/BADOO? Kuwa hamna kutongozana? Dena Amsi naomba utengue kauli yako tafadhali...!!
Last edited by a moderator: