Uchunguzi huru: JF haina warembo

Uchunguzi huru: JF haina warembo

Mimi ni mrembo na nna mvuto kwa mme wangu Over
 
Last edited by a moderator:
Jaman mm siyo mdada....afu hii post nimeiweka kwenye jukwaa husika sijakataa wadada wa hapa ni great thinker....nakubaliana na hlo sana ila naongelea urembo hapa siyo thkng capacity. MCHUNGUZI HURU

Ww km sio mdada basi ni domo zege!! umezoea huko kwenye sura ya kitabu na instr wanakokuwekea picha za utupu na ww ulivyo domo zege ndo wamalizia haja zako huko!! Huku jf huo upuuzi utaendelea kuwa ndoto siku zote.Mpuuzi kweli ww.
 
Last edited by a moderator:
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......

Ila wamebandika avatar matata zisizo zao!
 
Kwani amejuaje kama hawa wa JF hawako insta au FB...inawezekana Dena Amsi ndio Mange Kimambi wa Insta (natania tu)
 
Jaman mm siyo mdada....afu hii post nimeiweka kwenye jukwaa husika sijakataa wadada wa hapa ni great thinker....nakubaliana na hlo sana ila naongelea urembo hapa siyo thkng capacity. MCHUNGUZI HURU

Ww km sio mdada basi ni domo zege!! umezoea huko kwenye sura ya kitabu na instr wanakokuwekea picha za utupu na ww ulivyo domo zege ndo wamalizia haja zako huko!! Huku jf huo upuuzi utaendelea kuwa ndoto kwako siku zote.Mpuuzi kweli ww.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom