Uchunguzi huru: JF haina warembo

Uchunguzi huru: JF haina warembo

Nkwela Khantwe habari za siku mbili tatu? Sikuwa najisikia vyema ndo maana hukuniona pale mahali.

Ila nawe upunguze kumchokoza mke wangu mwallu...nampenda kufa ujue!!!
 
Last edited by a moderator:

Nzuri shem....sasa we hujui kwamba wifi ni mtani?
 
Last edited by a moderator:
Wewe Cargo huo uchunguzi wako uliufanyia wapi? kwa hiyo unataka kusema kuwa kigezo cha kujiunga instagram ni urembo kwanza? kwanini wana dada wazuri wawe huko wasiwepo na hapa? aisee angalia uzi wako una kachembe ka kuishusha hadhi jf. utapigwa ban ya maisha, oohoo!
 
Last edited by a moderator:
Aaah afadhali umeona wewe kaka yake.....nikisema mimi naonekana mchonganishi

Huyu mwallu anafikiri uchungu Wa mume anaujua yeye tu! Hajui ata Mimi Na uchungu Wa mke wangu?!!

Sasa nikimuona nkwela (Shemeji) Mentor Nambakiza picha tu! Km mbwai mbwai tu!
 
Last edited by a moderator:
Huyu mwallu anafikiri uchungu Wa mume anaujua yeye tu! Hajui ata Mimi Na uchungu Wa mke wangu?!!

Sasa nikimuona nkwela (Shemeji) Mentor Nambakiza picha tu! Km mbwai mbwai tu!

Hahahah nimeanza kuwashtukia.....mnataka mtupeleke sisi tu ninyi muendelee na maisha
 
Last edited by a moderator:
Huyu mwallu anafikiri uchungu Wa mume anaujua yeye tu! Hajui ata Mimi Na uchungu Wa mke wangu?!!

Sasa nikimuona nkwela (Shemeji) Mentor Nambakiza picha tu! Km mbwai mbwai tu!

Sitaki kukupoteza kaka yangu...Mume wangu namjua Mie.....ataku ufoo saro yule
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom