Uchunguzi huru: JF haina warembo

Uchunguzi huru: JF haina warembo

Nikifikiria Cargo hii hoja yako ni baseless maana hujasema.kama.umeshawaona wangapi

Kwa mimi ambaye nimeshakutana na watu kama
ICHANA...acha kabisa mtoto mrembo hutamani kuachana naye hata dakika moja... masai dada utaomba poo mwenyewe kwa mods waufute huu uzi wako..ukimwona tu utapata stress!
amu....hapa sisemi labda The Boss anaeza kuwa na maneno
Khantwe..toto.limeumbika hili yaani alifinyangwa jumamosi naona tumboo...huyu bana mzabzab anaifaham habari yake.alipomwona tu akagairi kugegeda kwa kiwewe cha kuona wezele
Husninyo...sexy gal ni balaa....sisemi sana ila hebu mtafute uone habari yake
Karucee...huyu naye anatingisha mbaya Asprin alidondoka ile tu kumwona..toto limejazia jazia safeey
miss chagga miss neddy na badiebey nao kama.majina yao yalivyo ni moto wa kuotea mbaki
Evelyn Salt anagombea hapa unadhani watu hawajui thamani yake?
charminglady ata simtaji maana utazimia
Cargo go and do your homework..

ankal unaniongezea soko la mitongozo. demand inaweza kuwa kubwa kuliko supply yuknow.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi cjaelewa bado!
kwanza umefikiria nn hasa hadi ukaamua ku#post hii mada? je, kama wangekuwepo hao wanawake wazuri unaowaongelea wangetunufahisha nanini? na je, vp kuhusu hawa wabaya unaowaongelea je, wanatu affect na nn? Mimi mbona sielewi jamani? Kwani wanawake wazuri wakoje na wabaya wakoje? Nainakuwaje sasa kuhusu huu usemi wawaenga kwamba "uzuri wa mwanamke siyo sura wala shepu bali nitabia " nawasilisha tu mkuu maana mm cjaelewa! Ila cdhan kama nitakuwa cpo sahihi ila kama nipo wrong utaniwia radhi ila naomba unijibu mkuu! 😕😕😕😕

mkuu saivi town uzur wa mwanamke shape na nyoroo mtoto awe mzuri tabia village c town
 
sorry kama umenielewa vibaya best
Kasema nani nataka kuangalia mambo ya kitoto huko fb, au ndio unaanza kupayuka ovyo. Kama wewe unafanya ustaarabu usifikiri ni wote. Kila mtu Ana sababu zake za kuwepo katika hizi social networks. Wengine wamepata wachumba humu humu, sasa sijui hao waliamzaje..wengine humu ni wapenzi, sijui Na hao walianzaje. Hata hivyo, kuwa wachumba kwako sio ustaarabu, sijui kwako ustaarabu ni nini....aaah!!
 
Mtoa mada kama ni desa basi umelishwa tango pori!! Nenda karudie tena huo utafiti wako
 
Back
Top Bottom