REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,966
Marhabaaa
we ndo zoombie wa jf mxiuuu
Marhabaaa
we ndo zoombie wa jf mxiuuu
Ni kweli. Wewe unapungua nini kutokana na hilo?
Kaka kapofuka....kawa ndugu asiyeona aisee
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......
nakosa furaha unatisha
Ooh nisamehe ndugu kwa kukutisha...unataka nifanyeje sasa? Nijitoe jf?
kuanzia leo simpi copy
mtaani hama bwana afu acha kujichubua
Salama.....kwenu wazima?
Ntafanyaje sasa wakati nimeambiwa weusi hawana soko....patia picha sura zombie af mweusi tiii...watoto si watakuwa wanankimbia?
Kwetu hatujambo
tuachane na haya mtoto wangu mzima dear
Kaka yukwapi?