Uchunguzi huru: JF haina warembo

Uchunguzi huru: JF haina warembo

Ukweli wengi wa mademu wa humu jf tired mbaya kwanza over aged and desperate kwa issue za malove, n many of them are hard desired

Kuachwa kuachwa kuachwa ni shughuli pevu.....endelea kuimba basi mie nimeanzisha tuu...

Povu la ariel la nini ndugu?? Umekataliwa, umeachwa, umeliwa pesa akasepa???
 
unataka kuniambia...miss chaggs...evelyn salt....heaven on earth..demba...farkhina....badiebey...sio warembo....???...

sio hao tu mbona mbona wapo wengi sana... natamani siku gafla bin vuuu tukutanishwe wana mmu wootee muone jinsi mtakavokojoa kojoa ovyo...sisisisi wa jf ndio haohao unaowasemea everything is fake here mtoa mada tusipimiane kijingajinga oohoooo!
 
Mkuu mi cjaelewa bado!
kwanza umefikiria nn hasa hadi ukaamua ku#post hii mada? je, kama wangekuwepo hao wanawake wazuri unaowaongelea wangetunufahisha nanini? na je, vp kuhusu hawa wabaya unaowaongelea je, wanatu affect na nn? Mimi mbona sielewi jamani? Kwani wanawake wazuri wakoje na wabaya wakoje? Nainakuwaje sasa kuhusu huu usemi wawaenga kwamba "uzuri wa mwanamke siyo sura wala shepu bali nitabia " nawasilisha tu mkuu maana mm cjaelewa! Ila cdhan kama nitakuwa cpo sahihi ila kama nipo wrong utaniwia radhi ila naomba unijibu mkuu! 😕😕😕😕

upo sawa mkuu. heshima kwako
 
Jaman mm siyo mdada....afu hii post nimeiweka kwenye jukwaa husika sijakataa wadada wa hapa ni great thinker....nakubaliana na hlo sana ila naongelea urembo hapa siyo thkng capacity. MCHUNGUZI HURU

Nakuuliza unawezaje kuutambua urembo wa mtu bila kumuona??? Naanza na mimi ushawahi niona??? Unajuaje kama si mrembo???
 
Last edited by a moderator:
Padri matumbo anamendea!

Kina dada Kaeni chonjo! Huyu huwa hafanyi kosa. Ukimpa nafasi tu kafunga goli nne fasta!

Ninasifu uumbaji wa Mungu tu,izo ni rehma za mwenyezi sheikh....Ila ata nikidondokea sio dhambi.
 
Kuachwa kuachwa kuachwa ni shughuli pevu.....endelea kuimba basi mie nimeanzisha tuu...

Povu la ariel la nini ndugu?? Umekataliwa, umeachwa, umeliwa pesa akasepa???

i bet the breakup was due to kimabiasis syndrome
 
Jaman mm siyo mdada....afu hii post nimeiweka kwenye jukwaa husika sijakataa wadada wa hapa ni great thinker....nakubaliana na hlo sana ila naongelea urembo hapa siyo thkng capacity. MCHUNGUZI HURU

Mkuu hupo sahihi wadada Wa JF sio wazuri,sio wife material na wala sio great thinker.nashangaa wanaoangaika kutafuta wake humu nadhani washamba wa mjini
 
Last edited by a moderator:
Kuna wanawake warembo humu basi tu,uzuri humu ni warembo na upstair wapo vyema,
nadhani umezoea wa fb wanaoupdate status zao kila dakika na kuupload picha wakiwa nyumba za jirani,na wengine kwenye parking za magari,
wengine wakiedit picha na kamera za 360,
swali:umewahi kukutana na nani humu ndani?
 
Back
Top Bottom