Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 26,772
- 54,057
Kaka hivi viwanja au nyumba ??, maana aisee sio powa
Kaka hivi viwanja au nyumba ??, maana aisee sio powa
Kiwanja cha SQm 1080, Billion 5 ?
Maisha yalivyo ya ajabu kuna wengine hata hiyo jogoo hawaweziMimi nimejifanyia tathmini nimegundua uchumi wangu Nina uwezo wa kununua jogoo lolote ninalotaka,nikatengeneza supu,nikanywa nikashiba.
Dadaangu,wewe nakujua unadanganya.Kwa uchumi wangu kaka naweza kununua dagaa wa mwanza Sado moja lakini yote kwa yote kikubwa uhai
Hivyo ni viwanja mkuu.Kiwanja cha SQm 1080, Billion 5 ?
Au ni Nyumba?
Sasa hii Pesa Hapa Sumbawanga Manispaa Mjini kabisa si nanunua Viwanja safi Buku vilivyopimwa kabisa ambavyo kila kiwanja ni zaidi ya SQm 1000.
Mkuu, sogea pande za mivinjeni Kuna chakula cha Bure Kila siku,mwaka mzima.Uchumi umenichumu...nachoweza ni kusafiri mpaka maeneo ya karibu na msikiti ili nipate futar ya bure
NB; nauli ni 1200 lkn ukiwa na jero jero konda hana noma kwenda jero kurudi jero
mtu kusema huwezi kununua kiwanja mahali popote hiyo ni lame excuse ambayo haina mashiko kuna mahali huko mbwinde hata elfu ishirini unapata kiwanja, labda kama unataka vya mjiniNilikuwa napita pita zangu huko mtandaoni,nikakutana na tangazo la wauza viwanja (madalali).
Nilisikitika sana baada ya kusoma like tangazo. Nikasema Bongo Kuna watu Wana uchumi ambao wanaweza kununua kiwanja chochote na mahali popote. Na Hawa siyo kina Mo na Bahresa,ni watu tu ambao wapo low key ila ni wanene(mafogo/matajiri).
Nikijiangalia, najiona Sina uwezo wa kununua kiwanja mahali popote pale ninapotaka,Wala kujenga nyumba yeyote ninayoitaka kwa sababu uchumi wangu upo limited.
Siku nimeenda Kidimbwi nikagundua kumbe Mimi Bado sana. Yani hata kinywaji (pombe) Sina uwezo wa kununua pombe yoyote ninayojisikia kununua. Kwa sababu nilikutana na pombe za hadi milioni mbili,alafu chupa Moja tu jamani!! Mbaya zaidi Kuna watu wananunua bila kumuuliza uliza bei Wala kujikuna kichwa.
Kuna watu Wana uchumi wa kwenda mahali popote pale duniani kula Bata.
Mwingine ana uwezo/uchumi wa kula chochote anachojisikia na muda waowote akitaka.
Mwingine ana uwezo wa kununua gari lolote linalouzwa hapa duniani,wakati Kuna kina sisi hata Toyota Passo inakuwa kipengere.
Anyways,turudi kwenye swali;
Uchumi wako una nguvu ya kufanya nini unachojisikia?
Nimekiona Mkuu. Ila angalau hicho kina SQm 19000.Hivyo ni viwanja mkuu.
Kuna kimoja kinauzwa bilioni 14 ,unekiona hapo?
We mtoto!!Sex tools