Uchumi bado Umekaza? Vodacom yajiondoa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara

TFF inaendeshwa kipumb.v sana..

Azam wamelipa haki za kuonesha mpira kwa miaka kumi in lumpsum bila kujal kuwa league yetu inakuwa kila mwaka..
Alaf Voda com ndio wajipendekeze na kutoa hela za bure huku Azam wakilamba hela za matangazo na subscription fee.. League jinga hiyo
Unaelewa ulichoandika? Sasa voda ulitaka ale pesa za matangazo kwani anaonesha mpira? Kwenye kudhamini mpira unajua kwamba udhamini wako utakua upo kwenye maeneo yapi na nembo yako itakaa wapi. Voda ana maeneo yake na Azam ana ya kwake.
 
Unaelewa ulichoandika? Sasa voda ulitaka ale pesa za matangazo kwani anaonesha mpira? Kwenye kudhamini mpira unajua kwamba udhamini wako utakua upo kwenye maeneo yapi na nembo yako itakaa wap. Voda ana maeneo yake na Azam ana yakwake.
Unamjibu tahira huyo mirisho pm
 
Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara.

Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni atakayoyaweka kwenye Mpira?

Mwenendo mbaya upi wakati wanaingiza faida ya mabilioni?
 
TFF inaendeshwa kipumb.v sana..

Azam wamelipa haki za kuonesha mpira kwa miaka kumi in lumpsum bila kujal kuwa league yetu inakuwa kila mwaka..
Alaf Voda com ndio wajipendekeze na kutoa hela za bure huku Azam wakilamba hela za matangazo na subscription fee.. League jinga hiyo
Azam anakulaje pesa za bure?
 
Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara.

Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni atakayoyaweka kwenye Mpira?
Kama vipi 'Mo Dewji' aidhamini Ligi Kuu.
 
TFF inaendeshwa kipumb.v sana..

Azam wamelipa haki za kuonesha mpira kwa miaka kumi in lumpsum bila kujal kuwa league yetu inakuwa kila mwaka..
Alaf Voda com ndio wajipendekeze na kutoa hela za bure huku Azam wakilamba hela za matangazo na subscription fee.. League jinga hiyo
Boss umeelewa kweli ulichokiandika? Hebu pitia upya kwa utulive huenda ukaedit ulichoandika
 
Kwahiyo ulitaka voda wapate na nini cha ziada?
 
Boss umeelewa kweli ulichokiandika? Hebu pitia upya kwa utulive huenda ukaedit ulichoandika
Yaani hata mimi nimeshindwa kumwelewa, voda alikuwa anafaidika na uwepo wa azam maana alikuwa anatangaziwa biashara yake, ingekuwa labda azam ni telecom coy sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom