Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

Kwani Mungu Amekuumba bure tu bila ya sababu? Lengo la Mungu kukuumba ili upate kumuabudia yeye.ndio lengo lake Hataki kitu kwako. Na Uchawi upo na ndio aliyeumba yeye na moto ipo na pepo ipo kazi kwako chagua mabaya uingie motoni chaguwa mazuri uingie peponi. Kazi kwako.
Kuna mtu Huwa anachagua mateso? Je yanakupata Kwa Ajili gani?
 
Ndio Mungu ameumba maradhi kifo uzima uhai yoooote hayo ni Mtihani wakujaribiwa imani zetu je tutakufuru atuingize katika moto wa jahanamu au tutasubiri ili atulipe pep. Shetani hawezi kukudhuru mpaka apewe izini ya Mungu kukudhuru.
Sasa anayeitwa Shetani hulaumiwa Kwa lipi?
 
1. Mungu aliumba Dunia na vyotee vizuri, Kwanini alimpa Shetani mamlaka ya kutawala?
2. Kwahiyo kama hazina zetu zipo mbinguni, hapa duniani ni sawa kuteseka?

#YNWA
Harafu tunaambiwa Shetani na hayo mabaya ni kipimo Cha Imani yetu kwake,sawa Kwa hiyo utakuja huyu ana Imani na ambae hana maana wote ni tunapitia humo humo.
 
Hawa watu wa hizi imani jau sana.

Mtu anakwambia Mungu ndio mpangaji wa kila kitu na anajua kila kitu (kuanzia kuzaliwa kwako, ukuaji wako, jinsia yako, leo yako, kesho yako mpaka kifo chako)

Lakini ikija issue ya motoni au pepono wanasema umejichagulia wewe mwenyewe.

Dini ni hatari kuliko hata maradhi.. yani unatawaliwa na kufungwa kifikra na unaogopa kujipambazua na kuwazua pamoja na elimu yako kwa hofu ya kukufuru.

Wapo watu nawajua ni smart sana kielimu, kimaamuzi, kifikra ila linapokuja swala la imani hapo ndipo naona namna mzungu aliamua kucheza na akili zetu.
Binadamu ni kama tv ,mwenye remote ndio anaamua nimfanyaje so hapo u switch TBC 1 mwenyewe harafu ulaumu tv inawezekanaje?
 
Hivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.

Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?

Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?

Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?

Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?

Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?

Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?

Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu

Jifunze kuishi kwa technique.

Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
Katika utengenezaji wa gari, injini sio gear box, deef siyo propeller, bonnet siyo fun, mla ngo sio wind screen, seats siyo tyres, nuts sio bolts nk.
Lakini kila kimoja kipo kwa kusudi la kuwezesha gari lifanikishe lengo. Ukifunguo bolts zote kwenye gari haliwi tena gari ila lundo la machuma au scraper.
Mungu ana makusudi mazima na uumbaji na wala hakuna wa kumshauri kama mtoa post anavyojaribu ku- distort.
 
Hapo ndio umemaliza kufikiria mwenyewe alaf kuna watu wanakupongeza
Ulitaka aseme Mungu yupo ndio ufurahi na ukabaliane na mawazo yake?

Hata alipo sema Mungu Hayupo yuko sawa sio sio lazima wewe uone ni sawa
 
Acha Kufuru zako Mungu Amekamilika na sifa zako pungufu .Mungu Ametuumba na kutupa akili na Mungu ametupa mitihani kama wewe ulivyokwenda shule huw aunapewa mtihani ukifeli hauoendelee na shule ukipasi unaendelee mbele na shule masomo ya juu.Na hivyo hivyo Mungu anatupa mtihani matatizo njaa dhiki shida maradhi vifo, Umasikini uUtajiri kwakle yote hayo ni mtihani tuna angalia je tutapasi au kufeli? Tukikufuru tunaingia mpotoni tukipasi tunaingia peponi uchaguzi ni wako.Acha kufuru zako na kejeli zako Mungu amekupa akili ,mikono miwili,miguu miwili pua mdomo kichwa moyo figo bandama maini matumbo.Na Kitu kimoja kikubwa alichokupa Mungu ni hiyo uhai aka pumzi zinazo kufanya ulete kufuru na jeuri zako je unaweza kumlipa kitu gani Mungu? Fadhila zote alizokupa Mungu je unawezakulipa japo moja?Achaupumbavu wako wakukukufuru na jeuri zako usiye kuwa na fadhila kwa Muumba wa mbingu na nanchi.Utaingia motoni shauri yako.
Acha Hofu zako za kipumbavu , Una hofu za kufikirika.

Huyo Mungu unamjua?
 
kwa kwel MUNGU yupo ila kwa sisi wengine naona katuacha tunaugua ,tunateswa na wachawi na ibada tuna fanya lakini wapi? majalibu wengine tangu utotoni na ukubwani bado hali nitete ,huwaga na jiuliza au tulizaliwa kwa bahati mbaya? au tulimkosea? any way ni mshukuru na pumua japo tunaish kwa mateso, ila tusilaum je ambao hawaoni,watoto wadogo wanao umwa ambao hawajui dhambi nini, vi wete wanaoshinda njaa. wenye dhambi naona ndo wanakula mema ya nchi.kuna wakat hal ilizd kuwa ngumu na kutaman kujiunga na wajenz huru nikiamin nikiwa fm mchaw hato nigusa. kibaya zaid tuna teswa na ndugu zet ambao wangetusaidia.MUNGU yupo jaman ,kama uchaw upo ,majin yapo na MUNGU yupo
Mungu ni nini?
 
Hivi kwanini watu mnadhani Mungu ni kama mtu wa kumchezeachezea kama peremende?
Mungu hanaga utani na mwanadamu, ana upendo usio na kikomo na at the same time ghadabu kali mno Kwa wanaomuasi kwa makusudi .
Yaani utumie uchawi then umrudie Mungu unaongea kwa urahisi hivyo?
Chagua upande, ukitaka kumtumikia Mungu Mtakatifu mtumikie , ukitaka uchawi nenda.
Kwanza ni nani kakuambia Mungu ameumba note za pesa? Mungu kaumba dhahabu na minerals zingine za thamani, so hizi pesa Kuna mmiliki wake(mungu wa pesa) anaitwa mammon.
Huo upendo wa Mungu anaye acha mabaya yatokee, Uovu utendeke watu wake wafe na majanga ya asili kama mafuriko, tetemeko la ardhi, vimbunga n.k

Ni Mungu gani huyo?
 
Back
Top Bottom