Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

Huo upendo wa Mungu anaye acha mabaya yatokee, Uovu utendeke watu wake wafe na majanga ya asili kama mafuriko, tetemeko la ardhi, vimbunga n.k

Ni Mungu gani huyo?
Mungu ninayemfahamu ni Mungu wa Haki, Utakatifu na mwenye hasira kali Kwa waovu na ameweka siku Moja ambayo atawahukumu waovu wote Kwa Matendo Yao. Kwa Mungu huyu, hakuna dhambi ndogo Wala kubwa, wote ni waasi.
Kuhusu ulimwengu kuwa na matatizo sio kosa la Mungu, ni makosa yetu wenyewe na pia Mungu hajihusishi na Serikali za Dunia hii, zinatawaliwa na negative forces, ila mwisho unakuja.
 
Unaposema "Kuhusu ulimwengu kuwa na matatizo sio kosa la Mungu"

Ni kosa la nani?
Kama Muumba wa ulimwengu na vyote vilivyomo ndani mwake ni yeye Mungu?

Utasemaje matatizo yaliyopo ulimwengu Mungu hausiki?

Kama hausiki yeye sio muumba wa ulimwengu.
 
Ndie asili ya uovu wote
Huyo Mungu muweza wa vyote, mwenye Asili ya upendo ana shindwaje kuzuia uovu?

Kama ana shindwa basi hawezi yoye, Kama anaweza basi yeye ame amua uovu utendeke duniani na yeye ndio asili ya uovu wa dunia
 
Hahusiki kwa sababu yeye ni Mtakatifu sana, huwezi muhusisha Mungu mfano na mtu anayetembea na wake za watu then akadakwa na kukatwa mkono au kuuwawa, hapo ni makosa ya wanadamu.
Kuna negative forces ambazo ziko kinyume na Mungu Mtakatifu sana ndo zinahusika sana na kinachotokea hapa duniani, na kwa kuwa Mungu amemruhusu mwanadamu achague upande, asilimia kubwa ya wanadamu wanakataa Kwa hiari Yao kushika maagizo yake, badala yake wanaungana na negative forces na matokeo yake ndo haya.
 
Huyo Mungu muweza wa yote alishindwaje kuumba binadamu wenye kufuata maagizo yake?

Badala yake aka umba binadamu ambao hawafuati maagizo yake?

Ana uwezo wa vyote kweli huyo Mungu?
 
Hivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.

Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?

Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?

Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?

Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?

Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?

Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?

Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu

Jifunze kuishi kwa technique.

Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
Umevurugwa siyo bure

Ushauri
Tafuta sehemu tulivu, kula bata usahau taabu zako kwa muda
 
Huyo Mungu muweza wa yote alishindwaje kuumba binadamu wenye kufuata maagizo yake?

Badala yake aka umba binadamu ambao hawafuati maagizo yake?

Ana uwezo wa vyote kweli huyo Mungu?
Mungu hakutaka kutuumba kama maroboti, Yeye ndo aliamua kutuumba hivyo na ana sababu zake ambazo ni Siri zake.
 
Ili kusudi la MUNGU la KUCHAGUA lisimame.....
MUNGU sio mwovu Wala Hana upendeleo....

Ili kusudi la MUNGU kuchagua litimie basi NDIO hivyo....

Ndio maana hata YUDA ISKARIOTE yupo PEPONI
yuda amefanya nini, nimekuuliza BAADA YA MUNGU KUUFANYA MOYO WA FARAO KUWA MGUMU KUWAACHIA WAISRAEL APO DHAMBI ITAKUWA YA NANI, MUNGU AU FARAO.

Maana alibadirishwa akili na yeye mwenyew mungu na kuwa na roho ngumu kuwaachia. usikwepe kwepe mkuu jibu tu
 
Ameandikiwa kifo chake afe kwa njia hiyo. Bado wewe ipo siku utakufa na Mungu amesha kuandikia kifo chako kitatokeaje ikifika siku ya kufa kwako ndipo utakapo juwa kuwa kuna Mungu ambae aliye umba kifo na Uhai subiri iifike siku yako ya kufa utaona hayo niliyo kwambia.
Na wale waliokufa kwenye meli ya mv bukoba wote walikuwa na kifo kimoja...na inawezekanaje wote wasafiri siku moja na wakafe?
 
Huyo Mungu muweza wa vyote, mwenye Asili ya upendo ana shindwaje kuzuia uovu?

Kama ana shindwa basi hawezi yoye, Kama anaweza basi yeye ame amua uovu utendeke duniani na yeye ndio asili ya uovu wa dunia
Dunia ni makao mafupi ya mwanadamu kawekwa duniani Ili afanye toba baada ya kutenda dhambi. Uovu si milele siku zaja ataoundoa wote
 
Mungu hakutaka kutuumba kama maroboti, Yeye ndo aliamua kutuumba hivyo na ana sababu zake ambazo ni Siri zake.
Sasa kama aliamua kutuumba hivyo na ana sababu zake..

Hapaswi kutoa adhabu kwe binadamu yeyote yule mwema au mwovu maana yeye ndio chanzo cha yote uovu na wema. Na ana sababu zake..

Hivyo hata ambaye hafuati maagizo ya Mungu yupo sahihi, Maana ni Mungu huyo huyo amemfanya huyo mtu asifuate maagizo yake kwa vile uwezo wa kufanya mtu afuate maagizo yake anao,

Ila anaacha na anaamua watu wasifuate maagizo yake kwa sababu zake binafsi.
 
Dunia ni makao mafupi ya mwanadamu kawekwa duniani Ili afanye toba baada ya kutenda dhambi. Uovu si milele siku zaja ataoundoa wote
Mungu muweza wa vyote alishindwaje kuumba dunia isiyo na dhambi na kumuumba mwanadamu ambaye hata tenda dhambi???????
 
Sasa kama aliamua kutuumba hivyo na ana sababu zake..

Hapaswi kutoa adhabu kwe binadamu yeyote yule mwema au mwovu maana yeye ndio chanzo cha yote uovu na wema. Na ana sababu zake..

Hivyo hata ambaye hafuati maagizo ya Mungu yupo sahihi, Maana ni Mungu huyo huyo amemfanya huyo mtu asifuate maagizo yake kwa vile uwezo wa kufanya mtu afuate maagizo yake anao,

Ila anaacha na anaamua watu wasifuate maagizo yake kwa sababu zake binafsi.
Nakuuliza swali, je ukitengeneza kitu kikafanya kazi usiyoitaka si unaivunja?
Kwanini umpangie Mungu Cha kufanya Kwa viumbe aliowaumba yeye mwenyewe?
 
Mungu muweza wa vyote alishindwaje kuumba dunia isiyo na dhambi na kumuumba mwanadamu ambaye hata tenda dhambi???????
Dunia ni kijisehemu tu cha uumbaji katika maelf ya sayari zingine zenye uhai.
Mwanadamu anatenda dhambi kwa msaada wa shetani. Mtu mwenye Mungu hawezi tenda dhambi
 
Huyo Mungu si muweza wa vyote na ndio muumbaji wa ulimwengu wote na vyote vilivyomo ndani mwake?

Sasa kwa nini alimpa mamlaka shetani ya kumfanya binadamu atende dhambi wakati anao uwezo wa kufanya yote?

Alishindwaje kumdhibiti shetani?

Ana uwezo kweli Mungu?
 
Nakuuliza swali, je ukitengeneza kitu kikafanya kazi usiyoitaka si unaivunja?
Kwanini umpangie Mungu Cha kufanya Kwa viumbe aliowaumba yeye mwenyewe?
Ninyi ndio mnadai Mungu yupo, wala hamna uthibitisho wa uwepo wake.

Ni kama mmeunda kanuni iliyo anzisha dunia na mmeiita Mungu.

Ila mki ambiwa mui elezee hamuwezi mnasema hiyo kanuni haipaswi kupangiwa.

Mungu ni dhana ya kufikirika imagination just an illusion
 
Dunia ni kijisehemu tu cha uumbaji katika maelf ya sayari zingine zenye uhai.
Mwanadamu anatenda dhambi kwa msaada wa shetani. Mtu mwenye Mungu hawezi tenda dhambi
Kwa hiyo akaamua kuumba dunia na dhambi zake?
 
Back
Top Bottom