Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

[emoji23][emoji23]Hamna mkuu.
Mleta mada hajibiwi vyema, mme kaa kumtisha tu nahuyo mungu wenu
Na vimifano vyenu vya ajabu ajabu.

Ndio sababu ya Mimi kuketi upande huu ili mjue haogopwi huyo baba yenu asiye na mama.
Mkuu wewe unamuabudu Mungu yupi? Au huamini kwenye Mungu huyu wa Israel unaamini kwenye mababu? Je, Mungu unayemuabudu anasikia sala zako na kukupa mahitaji yako umuombayo? Kanuni zake ni zipi?
 
Aliufanya mgumu Ili watu mama kama nyinyi muweze kuelewa..............

Mungu humchagua amtakaye hum hurumia amhurumiaye.......

MUNGU HUMCHAGUA AMTAKAE HUMPA KIPIGO NA ROHO MBAYA NA NGUMU AMTAKAYE...


Aka ukatili. Hakuna haki hapo.
 
mmedai MUNGU wa israel ,na MUNGU wa wa frika ni yupi? mbona MUNGU aliye abudiwa na mababu zet aliwajibu haraka kuliko MUNGU huyu wa israel,kama mvua zilinyesha kwa wakati,matasa walizaa,ushoga haukutambulika, je tulifanya makosa kumuacha MUNGU wa wa africa na kumfuata MUNGU wa israel? maana huyo ni kwa ajili ya waisrael tu.jst why we call MUNGU wa israel. samahan MUNGU kama nimekufuru, nawasilisha
 
Ufr huu Nani kakupa ,,ujui kusudi lako la kuwepo dunian unataka watu wote wawe matajiri na utaki kuwaona maskini

Mungu aliumba maskini ,kwa tajiri ,bubu ,viwete ,na vipozfu na walemavu. Na pia kumba watu wazima SAS wee unapata wapi kukataa uwepo wa mungu Bab mwenye enzi
 
SAWA, KWAIYO APO DHAMBI AMEIPATA NANI, MUNGU AU FARAO.
Ili kusudi la MUNGU la KUCHAGUA lisimame.....
MUNGU sio mwovu Wala Hana upendeleo....

Ili kusudi la MUNGU kuchagua litimie basi NDIO hivyo....

Ndio maana hata YUDA ISKARIOTE yupo PEPONI
 
😂😂Hamna mkuu.
Mleta mada hajibiwi vyema, mme kaa kumtisha tu nahuyo mungu wenu
Na vimifano vyenu vya ajabu ajabu.

Ndio sababu ya Mimi kuketi upande huu ili mjue haogopwi huyo baba yenu asiye na mama.
Kwanini umeji ita baraka?
Kwanini za kujiuliza ni nyingi MNO................
Kwanini wewe haukuzaliwa simbilisi.........
Kwanini wew sio jongoo,konokono,samaki mchele..............
Kwann wewe sio Mbwa jike 🤣
Kwanini wewe sio Mbuzi
Kwanini wew sio Nguruwe
Kwanini wew sio Ng'ombe
Kwanini wewe una type Jf muda huu........
Kwanini za kujiuliza ni nyingi MNO jibu kwanza hio assignment.
 
Uzi wako naunganisha na wazo langu ninaloliamini kuwa "dini ni umasikini".
Uki ingia darasani kubukua na kusoma Kuna nadharia tatu za umaskini.....
I remember those days 😁😅😅😁

MUNGU yupo na ni hai Jana, Leo, kesho na hata MILELE na MILELE....
Wote tuseme Amen
 
Shida hujui purposes ya wewe kuweko duniani, laiti ukija kujua huta kuwa na akili na maono uliyonayo sasa. Cha maana saiz nikupe Pole tu.
Hapa umepiga siasa tuu hamna kitu.Hata wewe ukikaa vizur naamin hujajua ulichoandika hapa
 
Shetani ndiye mtawala wa ulimwengu huu na ndiye chanzo cha mambo yote mabaya.

Ni maskini duniani ila kwa Yehova sisi ni matajiri.
Hazina zetu tunaweka mbinguni huko mchwa, nondo hawawezi kiziharibu. Hata wezi hawawezi kutuibia...
Sasa kuna faida gani mkuu kuishi duniani masikin wakat ma role model wa kwenye maandika walikua madoninwa kutupwaa walikua na mali hatar na wako heaven na kwenda mbinguni kwenyewe unaweza usiende ukiwa masikin maana masikin ndio tunaongoza kwa makasiriko na roho mbaya na wivu juu
 
Kanuni na viwango vyake vipo kutulinda.

Hata tusipomkuta bado hatutokuwa tumepungukiwa na chochote.
Utakua umepungukiwa niulize kivip?
Kwakua dunian uliishi kimasikin kwa kujua kuwa unatafuta uzima wa milele so ukaacha kupiga mishe za kutengeneza hela kisa uoga uoga tunaopandikizwa na hawa watu wachache..hiyo ni HASARA KUBWA SANA MKUU.
yan unakua duniani huna legacy wala mbinguni hupati kitu..Bonge la hasara
 
Binafsi naamini Mungu yupo tena sana tuu LAKINI kitu ambacho nimekikataa na huwa nakichukia na kumkasrikia Mungu Ni suala la mimi kuishi kifala fala kipumbavu kimasikini kisa tu dini .Hicho kitu nimemwambia Mungu SIKITAKI. Sasa heshima ya Mungu iko wap kama sis watoto wake tunakua masikin hohe hahe??

Mimi kama baba wa kibinadam siwez kubali watoto wangu wa kuwazaa wavae kishenzi..wale kimaiskin ..wakose matibabu bora wakiugua WAKATI UWEZO NA MALI NINAZO.

watoto wangu hali zao zina reflect status ya mimi baba yao.
Sasa kama mimi tu nawaonea huruma wanangu licha ya udhaifu wangu je HAIPASWI KUWA ZAID KWA MUNGU MWENYE UWEZO WOTE????
 
mmedai MUNGU wa israel ,na MUNGU wa wa frika ni yupi? mbona MUNGU aliye abudiwa na mababu zet aliwajibu haraka kuliko MUNGU huyu wa israel,kama mvua zilinyesha kwa wakati,matasa walizaa,ushoga haukutambulika, je tulifanya makosa kumuacha MUNGU wa wa africa na kumfuata MUNGU wa israel? maana huyo ni kwa ajili ya waisrael tu.jst why we call MUNGU wa israel. samahan MUNGU kama nimekufuru, nawasilisha
Mkuu mbona unajishitumia na kuogopa kuhusu MUNGU wa Israel.....
What are you standing for??

MUNGU Ali CHAGUA Israel kua taifa teule sio kwamba sisi wengine anatuchukia ila Israel NDIO taifa teule la MUNGU......
 
Kwanini usitoke FACTS.

Kumtetea Mungu wako huwezi?

#YNWA
Mungu anajitetea, hatumtetei, shetani hakuumba chochote ktk Dunia hii, Mali na vyote vijazavyo ni Mali ya Mungu,

Adam alipoanguka dhambini, alimpa shetani utawala wa vitu vya Dunia ambavyo mwanzo Mungu alikuwa amemkabidhi Adam.

Ili mwanadamu irudishe utajiri wako, lazima uache dhambi na kurudi kumtegemea na kumwabudu Mungu pekee.

Ukirudisha mahusiano na Mungu,unayo mamlaka ya Kumkemea na kumwamuru shetani atapike Mali alizoteka.


NB;Mtoa mada ni Mganga wa kienyeji, hawezi kuwa na HOJA.
 
Back
Top Bottom