Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

Hivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.

Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?

Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?

Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?

Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?

Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?

Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?

Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu

Jifunze kuishi kwa technique.

Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
Huo ndo ukweli ila hizi dini za kuletwa kwa njia ya biashara ya utumwa na ukoloni zimetushika akili kiasi hatuwezi tena kuwaza ila tumebaki kuamini
 
Hivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.

Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?

Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?

Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?

Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?

Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?

Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?

Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu

Jifunze kuishi kwa technique.

Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
Acha Kufuru zako Mungu Amekamilika na sifa zako pungufu .Mungu Ametuumba na kutupa akili na Mungu ametupa mitihani kama wewe ulivyokwenda shule huwa unapewa mtihani ukifeli hau endelee na shule ukipasi unaendelea mbele na shule masomo ya juu.Na hivyo hivyo Mungu anatupa mtihani matatizo njaa dhiki shida maradhi vifo, Umasikini uUtajiri kwakle yote hayo ni mtihani tuna angalia je tutapasi au kufeli? Tukikufuru tunaingia motoni tukipasi tunaingia peponi uchaguzi ni wako. Acha kufuru zako na kejeli zako Mungu amekupa akili ,mikono miwili, miguu miwili pua mdomo kichwa moyo figo bandama maini matumbo.Na Kitu kimoja kikubwa alichokupa Mungu ni hiyo uhai aka pumzi zinazo kufanya ulete kufuru na jeuri zako je unaweza kumlipa kitu gani Mungu? Fadhila zote alizokupa Mungu je unaweza kulipa japo moja? Acha upumbavu wako wa kukufuru na jeuri zako usiye kuwa na fadhila kwa Muumba wa mbingu na na nchi. Utaingia motoni shauri yako.
 
Acha Kufuru zako Mungu Amekamilika na sifa zako pungufu .Mungu Ametuumba na kutupa akili na Mungu ametupa mitihani kama wewe ulivyokwenda shule huw aunapewa mtihani ukifeli hauoendelee na shule ukipasi unaendelee mbele na shule masomo ya juu.Na hivyo hivyo Mungu anatupa mtihani matatizo njaa dhiki shida maradhi vifo, Umasikini uUtajiri kwakle yote hayo ni mtihani tuna angalia je tutapasi au kufeli? Tukikufuru tunaingia mpotoni tukipasi tunaingia peponi uchaguzi ni wako.Acha kufuru zako na kejeli zako Mungu amekupa akili ,mikono miwili,miguu miwili pua mdomo kichwa moyo figo bandama maini matumbo.Na Kitu kimoja kikubwa alichokupa Mungu ni hiyo uhai aka pumzi zinazo kufanya ulete kufuru na jeuri zako je unaweza kumlipa kitu gani Mungu? Fadhila zote alizokupa Mungu je unawezakulipa japo moja?Achaupumbavu wako wakukukufuru na jeuri zako usiye kuwa na fadhila kwaMuumba wa mbingu na nanchi.Utaingia motoni shauri yako.
mnaposemaga Mungu anampa mwanadamu mtihani apo ndio ninapokataaga kwa 100% huo uongo wenu.

Mungu mwenyewe anajua yajayo sasa akupe mtihani wanini, atake nin kwenye huo mtihani au hajui kuwa akikupa mtihani utafeli au utafaulu ikiwa yeye anaijua baadae yako.

mambo yote magumu utokea ni mfumo tu aliouandaa na sio kumpa mtu mtihani ikiwa mwisho wakotayari anaujua.
 
Ahsantee sana umenisaidia kujibu
 
Kwani Mungu Amekuumba bure tu bila ya sababu? Lengo la Mungu kukuumba ili upate kumuabudia yeye.ndio lengo lake Hataki kitu kwako. Na Uchawi upo na ndio aliyeumba yeye na moto ipo na pepo ipo kazi kwako chagua mabaya uingie motoni chaguwa mazuri uingie peponi. Kazi kwako.
 
Mungu ndio ameumba maradhi??
Jibu kama Dr
 
Back
Top Bottom