Dhambi iliingia baada ya uumbaji pale shetani alipofukuzwa mbinguniKwa hiyo akaamua kuumba dunia na dhambi zake?
Dhambi iliingia baada ya uumbaji pale shetani alipofukuzwa mbinguniKwa hiyo akaamua kuumba dunia na dhambi zake?
Najaribu kuwaza kuwa uko sahihi kwamba huyo Mungu anawapangia watu vifo. Je nikikuchinja ni Mungu atakuwa alikuandikia ufe hivyo? Kama ni ndiyo basi kwa nini mimi tena anihukumu kwa kuua?Mtetemeko wa Ardhi uliotokea nchini Uturuki umeuwa zaidi ya watu laki 5. Mungu ndio aliye andika vifo vyao viwe hivyo sisi waafrika tunakufa kwa maradhi na maafa ya maji kuzama kwa meli na maajali.Wakati wenzetu wanakufa kwa mtetemeko wa Ardhi yote hayo ni mapenzi yake Mungu Mungu hana makosa alilo lipanga linakuwa na wewe ipo siku utakufa na kufa kwako sio kwamba
Mungu amekuonea hapana kama ulivyo zaliwa ujijuwe siku moja utakufa tu ukitaka usitake.
Obviously maombi yako yamefeli so far.Kwa Sasa Bado upo kwenye maombi....
Maombi Yana nguvu sanaaa....
Nikutakie wakati mzuri kwako...
Ukamilifu wa huyo Mungu hapo sasa uko wapi wakati kila kitu aliona kiko sawa?Dhambi iliingia baada ya uumbaji pale shetani alipofukuzwa mbinguni
Nilikuwaga sikuelewi ila siku hizi naanza kuona mantiki ya hoja zakoObviously maombi yako yamefeli so far.
Ndo maana alileta ukombozi kwa kuwaleta mitume na manabiiUkamilifu wa huyo Mungu hapo sasa uko wapi wakati kila kitu aliona kiko sawa?
Ok nikuulize wewe zile nguvu tatu zilizotengeneza tufe kubwa ambalo lilipasuka kutokana na mkandamizo na kutokeza ulimwengu wetu je zilitoka wapi?Ninyi ndio mnadai Mungu yupo, wala hamna uthibitisho wa uwepo wake.
Ni kama mmeunda kanuni iliyo anzisha dunia na mmeiita Mungu.
Ila mki ambiwa mui elezee hamuwezi mnasema hiyo kanuni haipaswi kupangiwa.
Mungu ni dhana ya kufikirika imagination just an illusion
Huyo Adonai ndo mungu wa Ibrahim? Ulishawahi kusikia kuwa ni Mungu wa Massawe au Kinyampuge? Ni imported god huyoSiku zote kabla hujapata shida huwezi kulitja jina la Adonai. Hivyo binadamu ni wasahaulifu sana kny mambo kama haya .
Alileta kufanya nini tena wakati kulikuwa na ukamilifu tangu awali?Ndo maana alileta ukombozi kwa kuwaleta mitume na manabii
Hakujua shetani angemgeukaAlileta kufanya nini tena wakati kulikuwa na ukamilifu tangu awali?
Basi hana huo ukamilifuHakujua shetani angemgeuka
Umesema weweBasi hana huo ukamilifu
Swahiba uliadimika kidogo mambo vpShetani ndiye mtawala wa ulimwengu huu na ndiye chanzo cha mambo yote mabaya.
Ni maskini duniani ila kwa Yehova sisi ni matajiri.
Hazina zetu tunaweka mbinguni huko mchwa, nondo hawawezi kiziharibu. Hata wezi hawawezi kutuibia...
Salama ndugu nipo sana. Nilipunguza tu kureply nyuzi, karibu sana.Swahiba uliadimika kidogo mambo vp
Hahaa,Nilikuwaga sikuelewi ila siku hizi naanza kuona mantiki ya hoja zako
Zilitoka kwenye mawazo ya watu waliozivumbua hizo nadharia zao.Ok nikuulize wewe zile nguvu tatu zilizotengeneza tufe kubwa ambalo lilipasuka kutokana na mkandamizo na kutokeza ulimwengu wetu je zilitoka wapi?
Nani alipigwa Hesabu Kali kuwa kwa Kila sekunde ujumbe unasafirishwa kutoka kwenye ubongo kwenda kwenye sehemu husika ikiwemo penis?
Nasubiri majibu yako kama Mungu hayupo
Nilikuwa naona mtazamo wako haukuwa sahihi na ni upotovu ila as days go by naona mantiki ya hoja zako zoteHahaa,
Umeelewa nini siku hizi mkuu?
Funguka na mimi nipate feedback.
Asante. Key word ni mantiki. Kwa kweli ukifuata mantiki kubishana nami kwenye hizi mada za Mungu/dini/uchawi/supernatural powers ni vigumu.Nilikuwa naona mtazamo wako haukuwa sahihi na ni upotovu ila as days go by naona mantiki ya hoja zako zote
Almost five years or so. Nimekuwa najifunza kwako. Not five, ni 8-9yrs huko nyuma.Asante. Key word ni mantiki. Kwa kweli ukifuata mantiki kubishana nami kwenye hizi mada za Mungu/dini/uchawi/supernatural powers ni vigumu.
Maana, hizi si hoja zangu tu, ni hoja za siku nyingi zenye mantiki yenye kina kirefu na historia kubwa.
Tatizo linakuja watu wengi, mara nyingi, hawajui au wanakataa mantiki, wakifikiri kwamba, kwa kukataa mantiki wanaweza kupinga hoja zangu kirahisi zaidi.
Huku wakishindwa kuelewa kwamba hoja zangu zina msingi thabiti sana, kiasi kwamba, wakikubali mantiki zinashinda, kwa sababu zimejengwa katika mantiki, lakini pia, wakikataa mantiki, wanajiondolea hata wao wenyewe hoja za kunipinga, kwa sababu, ili kupinga hoja kikamilifu, inabidi utumie mantiki.
Tatizo ni kwamba, watu wengi hawawezi au hawataki kufikiri kwa kina, wanaridhika na kufikiri kijuujuu, wanakariri tu na kwenda na hadithi za mapokeo, wanajiridhisha kwa wanasaikolojia wanachokiita "cognitive dissonance", wanaishia kwenye imani tu, ambayo haina haja ya kupasi mitihani ya uthibitisho, wengine wananinyanyapaa kwa ad hominem attacks ( kumshambulia mtu yeye binafsi, badala ya kujibu hoja zake) kwa sababu nasema wasichopenda tu.
Wengine wanabishana kwa "identity politics" tu.Mtu anatetea dini yake, imani yake, kwa sababu ni yake tu.Ni kama ule ushabiki wa mpira ambao mtu anaitetea timu yake, hata kama timu mbovu anaitetea tu, kwa sababu ni yake.
Ila, nikipata hata mtu mmoja anayeweza kusema kama wewe, kwamba, zamani nilikuwa sikuelewi, lakini sasa nakuelewa, napata faraja sana, kwamba, the situation is not that hopeless, kuna watu angalau wachache wanafunguka macho kwa majadiliano tunayofanya hapa JF.
Shukurani nyingi sana kwa kufuatilia kwa makini mazungumzo haya ambayo si mepesi na mara nyingine yanaweza kukera watu.
Shukurani sana mkuu.Almost five years or so. Nimekuwa najifunza kwako. Not five, ni 8-9yrs huko nyuma.
Nafurahi nakuwa mwanafunzi wako as time goes by