Umasikini unatokana na Mazingira unayoishi na namna wazazi wako walivyojiandaa kukuleta Duniani ,
Swala la Mafanikio ni kanuni Wala sio la kiroho Mungu ubariki Kazi ya mikono ya Binadamu .
Nadharia za kutumia uchawi au kuamini umasikini wako chanzo ni uchawi Basi tatizo linaweza kuwa kwako Mkuu na sio Mungu Tena
Mbona mtu masikini akienda ulaya anafanya Kazi na anatoboa vizuri na kumiliki majumba na Magari so why Mwanzo kufanikiwa Katika Ardhi ya nyumbani.
Niseme hizi nchi zetu zimejaa umasikini wa kila Aina kuanzia fikra na kila kitu so ni ngumu mtu kutoboa .
Mwaka 2015 Kuna Jamaa alikuwa bodaboda akawa na mikakati mirefu ya kutunza hell so mwaka 2022 kanunua tax gari anafanya Uber huyu na yeye utasema ametumia uchawi
Mfano wewe
Dr wa Kaliua kijana wa maso unasoma uchumi na unajua huna connection na ajira ni za shida hivi tuseme ukikaa benchi jobless miaka 10 utasema Kuna uchawi hapo?
Mimi naamini mtu ambaye kalelewa vizuri na kakuta wazazi au ndugu zako wanamsaport vizuri na ana nidhamu ya pesa na kutanguliza malengo Mbele ,Basi naamini hata akiuza kuni Huwezo wake wa kutoboa ni Mkubwa Sana all we need is to keep focus and to bealive in God the Father of universe.