kifo kipo tu, kwaiyo ww habari ya kifo ndio inayokuforce kuamini na visivyo
Hizi ni kufuru....any way hakuna Alie wai anzisha mtiti na MUNGU akashinda.....Hivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.
Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?
Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?
Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?
Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?
Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?
Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?
Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu
Jifunze kuishi kwa technique.
Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
USIINGILIE UGOMVI WA MUNGU NA SHETANI ATA HAUJUI CHANZO CHAO ILIKUWA NI NINI WEW MWANADAMU WA JUZI TU, VITA VYAO HAVIKUHUSU,
IPO SIKU WAKIJA KUPATANA SIJUI UTASIMAMA UPANDE UPI
Hizi ni kufuru....any way hakuna Alie wai anzisha mtiti na MUNGU akashinda.....
Wap FARAO, Wap Nebucadreza, Wap Goliath, Wap Nimrod ,Wap Pirato.....
Ni list ndefu...
Achana na hii mijadala ya kum challenge Almighty God..
Umetukana mambamto ungalipo sawa tumekupataHivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.
Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?
Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?
Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?
Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?
Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?
Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?
Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu
Jifunze kuishi kwa technique.
Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
Unaonaje?Hili ndio jibu?
#YNWA
Hivi Nimrod mwisho wale ulikuwaje?Hizi ni kufuru....any way hakuna Alie wai anzisha mtiti na MUNGU akashinda.....
Wap FARAO, Wap Nebucadreza, Wap Goliath, Wap Nimrod ,Wap Pirato.....
Ni list ndefu...
Achana na hii mijadala ya kum challenge Almighty God..
Hakuna mtu mbishi kama humu Jf kama Kiranga likija swala la IMANI za dini....Usitishie mtu njoo na facts, hao watu unaowataja wewe mwenyewe umeishia kuwasikia na kuhadithiwa pasipo kuwa na uhakika na ukweli juu yao.
Hata wewe ipo siku utakufa tuu kama wao na watu wataulizana “wapi am 4 real”
Nimrud Mkono si tumemzika juzi RIP muzee..🤔Hivi Nimrod mwisho wale ulikuwaje?
Neno ""kufuru"" kwakilugha chenu mna semaje??Ujuaji mwingi mpaka unajikuta una kufuru
Shetani anasingiziwa sana,kwa hiyo huyo Mungunameshindwa kum control shetani.Shetani ndiye mtawala wa ulimwengu huu na ndiye chanzo cha mambo yote mabaya.
Ni maskini duniani ila kwa Yehova sisi ni matajiri.
Hazina zetu tunaweka mbinguni huko mchwa, nondo hawawezi kiziharibu. Hata wezi hawawezi kutuibia...
Hakuna mtu mbishi kama humu Jf kama Kiranga likija swala la IMANI za dini....
Still na wew nakuingiza kwenye list yangu kuwaombea Ili siku Moja muitangaze injili ya Yesu kristo wa Nazareth kua ni Bwana na mwokozi wa maisha yetu....
Nakusalimia[emoji1672]
SawaWewe mana unaongea kama mtoto
NIMROD alikua ni MTAWALA pia alikua ni Hunter mzuri sana..Hivi Nimrod mwisho wale ulikuwaje?
Funga bakuli lako.Hizi ni kufuru....any way hakuna Alie wai anzisha mtiti na MUNGU akashinda.....
Wap FARAO, Wap Nebucadreza, Wap Goliath, Wap Nimrod ,Wap Pirato.....
Ni list ndefu...
Achana na hii mijadala ya kum challenge Almighty God..
Hivi kwa kilugha chenu, malaika mna mwitaje ??NIMROD alikua ni MTAWALA pia alikua ni Hunter mzuri sana..
na aliwai kiamini kua Kwa utaalamu na Nguvu alizo kua nazo akipiga Arrow angani mshale uta mpata malaika (strike an Angel) 😇
Na ndie muhasisi wa kujenga TOWER OF BABEL (Mnara wa babel)
Aliamini kua huu Mnara wake angefika mbinguni (paradise) Kwa uraisi mkubwa.......
history haielezei Zaid tunacho kisoma ni kua Mungu Ali msambalatisha nimrod na ufalme wake....
Kila mara fanya ivi na jitamkie namwomba Mwenyez MUNGU...Roho mtakatifu wake Angie ndani yangu ni ijue Kweli..na kupitia kwel namimi niwe huru....Mimi sitaki kuombewa nataka UKWELI juu ya ukiaminicho ili na mimi niweze kujiombea na kuombea wengine.