Edook
Member
- Feb 21, 2022
- 59
- 91
Mungu hasababishi mambo mabaya.Hivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.
Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?
Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?
Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?
Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?
Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?
Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Soma Ayubu 34:10 Yakobo 1:13.
Ila wachungaji huwa wanatudanganya eti ni mapenzi ya Mungu