Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,880
Hivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.

Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?

Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?

Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?

Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?

Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?

Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?

Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu

Jifunze kuishi kwa technique.

Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
 
Ni maskini duniani ila kwa Yehova sisi ni matajiri.
Hazina zetu tunaweka mbinguni huko mchwa, nondo hawawezi kiziharibu. Hata wezi hawawezi kutuibia...
Hahahaha hehehhehhe hohoho
Yehova[emoji23]
Una uhakika gani kama utamkuta Mungu huko mbinguni, kuna mtu amewai kurudi akakuambia??
Toa fact acha utoto
 
Kanuni na viwango vyake vipo kutulinda.

Hata tusipomkuta bado hatutokuwa tumepungukiwa na chochote.
Hujapungukiwa kitu sawa.
Ila duniani umeisha kama paka mweusi

Ila mashoga wenye pesa
Majambazi
Wamekula pesa na maisha matamu na Mungu hayupo.

Wewe ni mwendo wa njaaa tu[emoji23][emoji23][emoji119]
 
suala la Mungu linatuKomfyuzi sana ukicheki maafa yanayotokea yanasomba adi vitoto vichanga kwa maumivu makali, wazee wasio na nguvu adi mifugo adi unajiuliza kama yupo si angesimamia aya ameshindwa nini.

ALL IN ALL INABIDI TU TUAMINI UWEPO WAKE MAANA UKITAZAMA MAMBO YA UUMBAJI WA VITU NA WATU BASI INATUBID TU TUAMINI KILAZIMA ATA KAMA UWA HAJITOKEZI WAKATI WA MAAFA, AMEN.
 
Hivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.

Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?

Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?

Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?

Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?

Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?

Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?

Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu

Jifunze kuishi kwa technique.

Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
Amekushikia fimbo umuamin au amekulazimisha umuamini
 
suala la Mungu linatuKomfyuzi sana ukicheki maafa yanayotokea yanasomba adi vitoto vichanga kwa maumivu makali, wazee wasio na nguvu adi mifugo adi unajiuliza kama yupo si angesimamia aya ameshindwa nini.

ALL IN ALL INABIDI TU TUAMINI UWEPO WAKE MAANA UKITAZAMA MAMBO YA UUMBAJI WA VITU NA WATU BASI INATUBID TU TUAMINI KILAZIMA ATA KAMA UWA HAJITOKEZI WAKATI WA MAAFA, AMEN.
Yeah yeah bro fact
 
Back
Top Bottom