Acha Kufuru zako Mungu Amekamilika na sifa zako pungufu .Mungu Ametuumba na kutupa akili na Mungu ametupa mitihani kama wewe ulivyokwenda shule huw aunapewa mtihani ukifeli hauoendelee na shule ukipasi unaendelee mbele na shule masomo ya juu.Na hivyo hivyo Mungu anatupa mtihani matatizo njaa dhiki shida maradhi vifo, Umasikini uUtajiri kwakle yote hayo ni mtihani tuna angalia je tutapasi au kufeli? Tukikufuru tunaingia mpotoni tukipasi tunaingia peponi uchaguzi ni wako.Acha kufuru zako na kejeli zako Mungu amekupa akili ,mikono miwili,miguu miwili pua mdomo kichwa moyo figo bandama maini matumbo.Na Kitu kimoja kikubwa alichokupa Mungu ni hiyo uhai aka pumzi zinazo kufanya ulete kufuru na jeuri zako je unaweza kumlipa kitu gani Mungu? Fadhila zote alizokupa Mungu je unawezakulipa japo moja?Achaupumbavu wako wakukukufuru na jeuri zako usiye kuwa na fadhila kwa Muumba wa mbingu na nanchi.Utaingia motoni shauri yako.