Tundu Lissu: Sijaona kwenye Mkataba sehemu inayosema Bandari inakodishwa kwa miaka 100

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,135
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu amesema hajaona kwenye Mkataba sehemu inayosema Bandari inakodishwa kwa miaka 100

Tundu Lissu alikuwa akihojiwa na Waandishi wa habari
---

"Kwenye document (nyaraka) nilizoziona kuhusu sakata la ukodishwaji wa bandari, sijaona sehemu yoyote inayoeleza kuwa, bandari inakodishwa miaka 100," Tundu Lissu akizungumzia sakata la ukodishwaji wa bandari kwa kampuni ya DP WORLD kwenye mtandao wa clube house

Source: Jambo TV
 
Yaani amekaa ulaya miaka mitano tu ndio kaona kila kitu?🤣🤣
Dp ndio wanaoendesha antwerp port belgium
Screenshot_20230607-143200_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom