NYOTA YAKO LEO JUMATATU JULAI 21/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Kama Nyota Yako ni Kaa jumatatu hii ni nzuri kwako tofauti na hapo nyuma kwani inaonyesha matumaini mapya katika afya yako ingawa kuna mtu anaonekna kukugusa na amekuwa ni msaada kwako usiwe mzito kumueleza matatizo yako mengine ulio nayo huenda ukapata msaada kubwa usio utegemea ingawa mambo yako kuyafanikisha yanakuwa na vikwazo vingi lakini leo hii huenda ukafaulu.
•Kazi zako ni nzuri na zipo katika hali nzuri licha ya maneno maneno lakini hakuna madhara yoyote dhidi yako kwa sasa kutokana na nguvu kubwa inayokulinda kutokana na kikubwa ulichokitoa miezi kadhaa iliyopita unasimamiwa na mengi na vingi hivyo jivunie kuwa salama.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
Jumatatu hii sio mbaya kwako ingawa una mipango mingi isiotimia lakini jitahidi kuonana na watu ambao unahisi watakusaidi ingawa ni mtu mwenye kukata tamaa lakini jitie imani utashinda mitihani mizito ulio nayo.
•Leo kuna dalili ya kuelezwa vibaya au kukosewa na mtu wa karibu.
★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)
Jumatatu hii uwe na matumaini mapya kwa upande wa mambo yako ya kukuingizia kipato kwani huenda ukapata fedha usio itegemea au ukapata ahadi nzuri yenye manufaa katika kipato chako.
•Unaweza kupokea taarifa ya huzuni au ukahisi majonzi ya ndani.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
Jumatatu hii ni nzuri unaweza kupata wageni usio wategrmea katika biashara zako au shuhuli zako kuwa makini katika matumizi ya fedhwa ingawa una watu wengi wanaokutegemea lakini nivyema ukaangalia kwanza majukumu ulionayo ili kuweza kutimiza malengo yako.
•Mahusiano yako yatachukua mwelekeo mpya wa furaha na amani safari zako Epuka safari za usiku maana Utajikuta unalia peke Yako.
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
jumatatu hii ni nzuri sana kwako ingawa inaonekana umekuwa mtu wa kukata tamaa katika mipango yako mingi isiotimia lakini fanya dua jumatatu hii mambo yako ya rizki na ahadi unazozitegemea kwa watu huenda zikakaa sawa.
•Mahusiano yako yatakuwa na mvuto mkubwa na unaweza kupata fursa mpya ya upendo au urafiki.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– January 20)
Huenda umekuwa mtu wa kuachwa kila wakati kutokana na muelekeo wako wa maisha wa kukosa msimamo ingawa pia umekuwa mtu ulietawaliwa na hasira katika upande wa mapenzi lakini unashauriwa usikurupuke kufanya maamuzi.
•Siku yako ina nuru na mafanikio ya ghafla
Mipango yako itaanza kuonyesha mafanikio.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
jumatatu hii unashauriwa usikurupuke kufanya mamuzi usipende kuwaeleza watu shida zako ikiwa huna hakika kwamba watakusaidia pia kaa mbali na wadeni wako na unaweza kupata fedha kidogo Jumatatu hii jitahidi kupunguza madeni ulionayo ili uweze kuishi kwa amani.
•Usiingie kwenye majadiliano makali kazini au nyumbani
Safari zako zina mashaka epuka usiku kusafiri.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
Jumatatu hii sio mbaya kwako kwani ni jumatatu yenye matumaini kwa ajili ya mambo yako ingawa inaonyesha ni mtu mweny kujikatia tamaa mara kwa mara lakini hilo sio tatizo kwako tuliza akili yako huenda ndani ya wiki hii ukafanikiwa unayo yapanga.
•Leo ni siku nzuri kwako ya kutafuta ufumbuzi ili uweze kuweka mambo yako vizuri huenda madeni ulio nayo yakakukosesha furaha.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
huenda ukawa ni mtu mwenye juhudi nyingi sana katika utafutaji lakini malengo yako hayafikii kila unachokifanya ili kupata muangaza wa maisha unakuwa mtu wa kurudi nyuma jumatatu hii jitahidi ili uweze kukamilisha jambo unalolikusudia kwakuwa fursa unayo ingawa kuna changamoto nyingi katika mambo yako lakini jitahidi kuvuka kizingiti kilichopo mbele yako kwani ukifanikiwa kuvuka kizingiti hicho ndio mafanikio yako yalipo.
•Kuna watu wanacheza na nyota yako ndio sababu inayokufanya ushuke kila siku.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
Nafsi yako imetawaliwa na kifungo cha damu ambapo inaonesha kuna ndugu yako wa damu ama mtu unayeshiriki naye tendo la ndia ametumia nyota yako kujinufaisha na kukuachia agano la damu ambalo litakusumbua daima.
•Inawezekana una matatizo kwenye upande wa mapenzi japo inaonyesha wewe ni mtu mwenye mahaba na mapenzi mengi kwa mwenza wako lakini umekuwa hupati faraja ile unayo itarajia kikubwa tafuta chanzo cha matatizo yako katika upande wa mapenzi huenda ukaona afueni na ukapata utulivu usio utarajia.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
Jumatatu hii sio mbaya kwako ingawa Jumatatu hii ilio isha kipato chako hakijakuridhisha lakini tegemea kukutana na watu wengi jumatatu hii tegemea kupata simu nyingi ngeni katika biashara yako na huenda kuanzia leo ukafanya vizuri zaidi kinyume na wasi wasi wako kikubwa zidisha dua na maombi ili uweze kuipata fursa hii iliopo mbele yako.
•Utapata taarifa ya kushangaza kutoka kwa mtu ambaye hukutarajia Kuna baraka za kifedha lakini usiwakopeshe watu hovyo.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
Jumatatu hii ni nzuri kwako ingawa mambo yako ya kukuingizia kipato yamekuwa yakisua sua lakini kikubwa uwe na subra ingawa kuna ahadi unazitegemea kutoka kwa watu fulani lakini endelea kusubiria na kuzifuatilia ahadi hizo ingawa ni mtu uliekosa matumaini.
•Leo kuna hali ya kukwama kwa baadhi ya mambo yako muhimu utahitaji subira na uvumilivu.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim,niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.