Uchambuzi wa nyota kila siku

Uchambuzi wa nyota kila siku

Mahusiano nyota ya Simba na Punda (Leo

Katika mahusiano haya wewe ni mwenye moto wa mkaa na yeye ni mwenye moto wa jaha hivyo moja kwa moja nyote wawili ni wenye kuendana vema hasa ukizingatia tabia zenu ni kama washindani wawili wenye kushindania mahaba...

Wawili nyie ni sawa na Watu maarufu kinyota kwa maana ni wenye kuendana sana na hasa linapokuja kwenye suala la chumbani ni wenye mapenzi ya kushangaza.

Ni wenye kufanya kila kitu kinachohusu mapenzi kama ushindani yaani nani mshindo ni wenye kupenda matani ya mara kwa mara. Ingawa wewe ni mwenye Mood swing na yeye ni mwenye kupenda kuwa mood off.. lakini muda mwingi utakuta ni watu wenye mapenzi makubwa.

Kwa uaminifu wewe ni muaminifu katika mapenzi lakini kwa upande wake punda ni punda tu hivyo utatakiwa umfanye atulize kishwa.

Linapokuja swala la kujamiiana kwenu ni vita. Kila mtu anakuwa kajiandaa vya kutosha ingawa face expression muda mwingine inaweza ikawa haijitoshelezi..

Lakini moyoni ni wenye kujiambia hapa sikubali kushindwa, Ni watu ambao mnachangia kupendezewa na vitu sawa.

Kwako hufikia umri ambao utajikuta ni mtu mwenye kupenda sana kwenda sinema na yeye ni mwenye kuvutiwa zaidi kufuatilia sinema..

Mara nyingi movies zako pendwa ni Sci-fi na Fantasy na yeye ni Actions and Intelligence hivyo ni wenye kuvutika kila mmoja wenu na mwenziwe anachopenda.

Hivyo hivyo hata kwa vitu ambavyo hampendi navyo hufanana kwenu. Tatizo lenu kubwa kwenye mahusiano haya ingawa mnaendana sana ni jambo moja.

Kila mmoja wenu anagubu la asili na kupenda kulalamika kwa kitu kidogo hasa kwa upande wako ambaye kila kitu wewe hupeleka moyoni.

Kila mmoja kati yenu ni mwenye kutaka kumtawala mwenzie..

Wewe ni kama mfalme kutawaliwa ni jambo ambalo halikuvutii hata katika historia ya maisha yako na yeye ni kama Amir Jeshi Mkuu.. Kutawaliwa kwake ni Mwiko..

Ili mahusiano yenu yaweze kwenda kila mmoja huvutiwa zaidi na mwenzake akiwa atampa uhuru wa maamuzi na kujitawala.

Shida nyingine katika nyumba yenu. Wewe ni Mtu utakuwa mwenye kupenda watu yeye atakuwa hataki watu hata kidogo.
Either atakwambia au hata kwambia mwisho wa siku kila anaekuja kwenu yeye atakuwa anamtoa kasoro ili tu ifikie sehemu aone vibaya awaache.
 
MWANAUME NISIKILIZE!

Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️

Umasikini unauma zaidi ukiwa mwanaume. Familia inakutazama tofauti sana hata kama haikuambii ila we fahamu tu kuwa kuna vile wanawaza na kukutazama. Ukiwa huna pesa kuna namna fulani watu wanakunyima heshima au wanakukadiria heshima.

Ukiwa huna pesa hakuna anayejali unachosema haijalishi unasema point au jambo la maana kiasi gani. Na ukiendelea kutoa msisitizo ili point yako isikilizwe utaambiwa unapiga kelele au unaleta vurugu kwenye kikao.

Kwenye sherehe na misiba kama huna hela utawekwa kwenye kitengo cha kupasua kuni na kufunga maturubai bila kujali umri wako. Kama huna pesa watu hawaheshimu umri, watakukadiria heshima kulingana na kipato chako.

Tunaishi katika Dunia ambayo haina huruma kwa mwanaume asiye na pesa. Dunia ni sehemu katili kwa mwanaume masikini si Kanisani si hospitalini kama huna pesa wewe si lolote si chochote hata aina ya maombi utakayopewa na heshima utakayopewa ni tofauti sana.

Hata Kanisani wewe hata uwe na wanawake 6 na vimada 6 lakini una hela heshima yako italindwa, lakini kama huna pesa utatengwa. Hata Kanisa haliwapi kipaumbele wala heshima watu wasio na pesa.

Mwanaume amka kila siku ufanye kazi kwa bidii na kwa akili na maarifa — dunia ni katili sana kwa mwanaume maskini.

Hii inaweza kuwa inaumiza kuisikia lakini ndio ukweli mchungu.

Jitahidi ujipatie VITO vitakavyokusaidia kuinuia hatima yako na uchumi wako.
Wasiliana na Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️
 
Leo ilikuwa siku muhimu sana kwa watu wa KAA_CANCER
Hongereni nyotee mlionitafta namkaamua kufuata masharti, niamini mimi, maisha yenu yanakwenda kubadilika kwa viwango vikubwa,
Panua ugo mnakwenda kutajirika.
Poleni kwa wale wote ambao sijapokea simu simu zenu, leo toka saa saba nilikuwa na WATU wa KAA kwenye madhabahu yangu ya kinyota nikiwafanyia ibada maalum ya kuvuta utajiri,
Nitapokea simu kuanzia saa nne na saa tano tu
 
NYOTA YAKO LEO JUMANNE JULAI 08/2025:

UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
IMG-20250629-WA0012(11).jpg


MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.



★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)

jumanne hii ni nzuri kwako ingawa unatakiwa uwe makini kweli kweli kwa maana marafiki wa karibu au watu unaowaamini wanaonekana kukugeuka kila wamati na kusahau maagano mnayo agana katika mambo yenu ya kibiashara kwa ujumla unashauriwa usipende kumuamini mtu moja kwa moja kwani huenda ikawa tatizo kwako.

•Safari zako sio nzuri zina mashaka mashaka na uzito mwingi hofu itakuandama katika safari hiyo lakini utafika salama.

★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)

jumanne hii tegemea mambo mazuri katika biashara zako au kazi zako ingawa umekuwa mtu wa kukwama kila wakati lakini jumanne hii jaribu muomba mungu unaweza kuipata bahati usio itegemea.

•Utapata habari nzuri sana leo na itakuwa siku ya bahati kwa upande wako mambo mengi yanaonekana yatakuendea vizuri.

★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)

Kama una homa au mafua au tumbo au kichwa kinauma basi kitazidi leo na kama haviumi basi vitakuuma leo jitahidi uzingatie ushauri wa daktari au wa kiafya.

•Inawezekana ulikuwa hujielewi katika upande wa mapenzi maana mpaka sasa wapenzi wengi wamekukimbia na huenda tatizo bado hujalijuwa jumanne hii ni nzuri kwako unaweza kutafakari ili kujuwa ni jinsi gani unaweza kuondowa matatizo ulio nayo katika mahusiano ya kimapenzi ili usiendelee kupoteza bahati zingine zilizopo mbele yako.

★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)

jumanne hii fuatilia ahadi ulizopewa na watu fulani au kampuni fulani pia unashauriwa kufuata ushauri unaopewa na watu wako wa karibu jinsi ya kuweza kuendesha maisha yako usidharau ushauri unaweza ukakufanya sehemu kubwa ufanikiwe ingawa pi unatakiwa ufanye dua nyingi.

•Huwa unapuuza sana shida zinapotokea na matokeo halisi ni kwamba bado unakabiliwa na shida zile zile tena.

★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)

jumanne hii sio mbaya kwako ingawa wakati mwingine umetawaliwa na wimbi la mawazo lakini jumanne hii tegemea mambo mazuri na huenda ukapata habari njema itakayo ufurahisha moyo wako.

•Endelea kuwa mwaminifu kwa mienendo yako mwenyewe na usiruhusu maneno au maoni ya watu wengine yakudanganye ubadilishe mawazo wako.

★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)

jumanne hii ni nzuri kwako ingawa umekuwa mtu uliekata tamaa ya kutokufanikiwa lakini hebu jaribu kufanya lile jambo ambalo unahisi kuna nafuu fulani unaipata usiwe unapenda kusita sita unapotaka kufanya jambo fulani kwani ukuendelea kufanya hivyo huenda ukaendelea kujiwekea vikwazo vingi katika mambo yako.

•Mahusiano yako leo yatakuwa ya vurugu za hapa na pale stahmili na usijibizane nae.

★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)

jumanne hii tegemea kufanikiwa mambo yako fulani ambayo umeahidiwa kutoka kwa mtu fulani ingawa umekuwa ukidanganywa sana lakini upepo wa wiki hii umekukalia vyema jaribu kuomba mungu sana huenda ukapata bahati usio itegemea.

•Mahusiano yako yapo vizuri na utapata furaha zaidi.

Safari zako ni nzuri sana.

★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)

Usiwe na khofu sana kwakuwa nyota yako inaonyesha mengi unayo yapanga katika mahusiano yako ya kimapenzi yatafanikiwa ingawa umekuwa na vikwazo vingi lakini haitakuwa tatizo kwako.

•Kazi zako zitaenda vizuri na utafanikiwa mipango yako ya kikazi au biashara na maadui zako hawana nguvu tena na ubaya wao umerejea kwao.

★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)

Huenda ikawa maamuzi ulio nayo katika upande wa mapenzi ni maamuzi mazuri tena ya kishujaa vizuri usiangalie nyuma kwani unapotakiwa kufanya maamuzi fulani katika jambo fulani linalohusiana na mahusiano yako ya kimapenzi usipende kusikiliza fulani kasema nini na anataka nini ukifanya hivyo utakuwa mtu wa kukwama kila siku.

•Utapata furaha leo na habari njema sana itakufikia leo na haja zako nyingi zitatimia.

★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)

jumanne hii sio mbaya kwako ingawa una madeni mengi unaweza kupata fedha usio itarajia lakini wenye madai kwako wanaweza kukuandama usipokuwa makini jitahidi kujiweka mbali nao huku ukifanya mipango ya kupunguza madeni ulio nayo ili uweze kuidumisha furaha yako.

•Mahusiano yako leo yatakuwa na taswira mpya iliyokuwa nzuri zaidi kwako na utapata marafiki wapya na utakumbukwa na watu wako wa siku nyingi.

★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)

Huenda unalizwa sana na mapenzi lakini jaribu kuvumilia huenda mpenzi mpya anae kufuatilia anae kuhitaji kama unaweza kumpa nafasi huenda akakuondolea machungu ulio nayo kwani anaonekana ni mkweli na muaminifu kwako ingawa ni mtu wa kubadilika badilika kila wakati.

•Safari zako ni nzuri jihadhari na udanganyifu na usiwaamini watu usiowafahamu.

★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)

Mapenzi kwako ni mazuri ingawa zipo changamoto za hapa na pale lakini utafikia malengo unayo yapanga juu ya mahusiano yako ya kimapenzi uvumilivu na subra unahitajika kwakuwa ndio ngao yako jaribu kuwa na furaha kila wakati ili uweze kukamilisha mipango ulio nayo huku ukiwa na furaha zaidi.

•Utapata maudhi leo na maadui zako wanaonekana kuwa karibu zaidi leo na mipango yako hivyo vizuri kuongeza usiri zaidi na kama ulipanga kukutana na mtu leo badilisha mpango angalia wakati mwingine inaonekana dalili mbaya zaidi kwako linaweza kukuvaa janga au mkosi kwa namna ya ajabu sana.

★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema

MAALIM DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.
 
NYOTA YAKO LEO JUMATANO JULAI 09/2025:

UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
IMG-20250629-WA0012(12).jpg

MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.


★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)

Jumatano hii unayo fursa kubwa sana unashauriwa uwe huru na kujieleza kwa mtu ambae unahisi anaweza kukusaidia katika mambo yako binafsi ingawa una majukumu mengi lakini utafanikiwa katika mambo mengi unayo yapanga kikubwa unashauriwa kutafuta ushauri wa Mara kwa Mara kutoka kwa mtu wako wa karibu.

•Mahusiano yako leo yatakuwa na taswira mpya iliyokuwa nzuri zaidi kwako na utapata marafiki wapya na utakumbukwa na watu wako wa siku nyingi.

★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)

Biashara ama kazi yoyote utakayo ifanya jumatano hii inaonekana kuwa na faida na huenda ukapata kiasi Fulani cha fedha usio itegemea kikubwa uwe mkweli katika mambo yako na usipende kubishana na watu ambao wanaweza kusaidi katika kukamilika kwa mambo yako.

•Safari zako sio nzuri leo panga siku nyingine.

★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)

Jitahidi sana kupata ushauri wa mwenza wako pale unapotaka kufanya maamuzi Fulani yanayo husiana na mapenzi ingawa mwenza wako ni mkorofi lakini kwa upande mwingine anaweza akakushauri katika mambo Fulani na ukafanikiwa.

•Kazi zako zitaenda vizuri licha ya kuwa zitachelewa ukamilifu wake.

★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)

Jumatano hii unaweza kufanya jambo kubwa katika mahusiano yako ya kimapenzi pia unaweza kupata zawadi au kitu Fulani chenye thamani kubwa kutoka kwa mwenza wako hiyo itakupa wewe furaha kubwa isio mithali kikubwa omba mungu sana huenda mipango yako ya siku nyingi kuhusiana na mwenza wako ikatimia leo hii.

•Kazi zako zitaenda vizuri na utafanikiwa mipango yako ya kikazi au biashara na maadui zako hawana nguvu tena na ubaya wao umerejea kwao.

★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)

Kuwa muwazi juu ya kile unachokifikiria huenda unahangaika sana kutafuta kazi nzuri ambayo itakuingizia kipato kizuri ili uweze kukidhi mahitaji yako na majukumu yako ulio nayo lakini unashindwa kufanikiwa kwakuwa kuna sehemu unakwama hebu kaa utulie na ufanye uchunguzi huenda utafanikiwa baada ya kujuwa ni wapi unakwama.

•Utapata habari nzuri sana leo na itakuwa siku ya bahati kwa upande wako mambo mengi yanaonekana yatakuendea vizuri.

★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)

Inawezekana unakipato kizuri sana lakini una majukumu mengi kupita kiasi hivyo unashauriwa kufanya mambo ya muhimu kwako yasio ya muhimu unashairiwa kuachana Nayo kwani ukiendelea na matumizi mabaya ya fedha huenda ukajakupata mtihani wa kukosa kipato mbeleni.

•Safari zako ni nzuri jihadhari na udanganyifu na usiwaamini watu usiowafahamu.

★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)

Jaribu kuwa makini sana katika mahusiano mapya ulionayo huenda yakakuletea matatizo baadae ingawa unapata faraja lakini huenda kujiamini kwako kukakuletea matatizo baadae kutoka kwa mpenzi wako wa zamani.

•Kazi zako zitaenda kwa uzito sana na ili zifanikiwe lazima utumie nguvu kuhakikisha kufanikiwa kwake.

★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)

Usipende kuzungumza mambo yako ya siri kwa mtu wako wa karibu kwani amekuwa sio muaminifu kwako hivyo yeye kuendelea kujuwa mambo yako inaweza ikakuletea tatizo pale atakapo amuwa kukugeuka kwakuwa inaonekana amekaa mguu moja ndani na mwingine inje saa yoyote anaweza kukugeuka.

•Utapata furaha leo na habari njema sana itakufikia leo na haja zako nyingi zitatimia.

★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)

ingawa Mara nyingi umekuwa mtu mwenyewe bahati jumatano hii nyota yako inaonyesha utafanya vizuri na huenda ukawa na majukumu makubwa zaidi katika jumatano hii nivyema kujipanga kiuchumi ili usije ukatetereka ingawa pia nyota yako inaonyesha leo hii utapata fedha usio itarajia.

•Mahusiano yako yapo vizuri na utapata furaha zaidi safari zako ni nzuri sana.

★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)

Inawezekana lawama nisehemu ya maisha yako huenda watu wako wa karibu wanakushauri jinsi ya kupata mafanikio lakini wakati mwingine unakuwa mtu jeuri sana hivyo inakuwa nisababu kubwa sana ya wewe kutokufanikiwa katika mambo yako unashauriwa uwe makini na usipende kupuuza puza kila jambo huenda ukaendelea kudidimia.

•Maradhi madogo madogo ya hapa na pale yatakusumbua na yanaputa usipate khofu.

★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)

Shida kutokukamilika mipango yako inaonekana sana katika jumatano hii kwa maana jumatano hii kipato chako kitayumba ingawa una ahadi nyingi kwa watu ambazo hazifanikiwa lakini vile vile unatakiwa uwe na maamuzi ya kijasiri katika mambo yako hiyo inaweza kukufanya ukafanikiwa kiasi Fulani ingawa sio vile unavyo tarajia.

•Safari zako leo sio nzuri tulia nyumbani.

★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)

Kuna uwezekano wa kufanikiwa jumatano hii katika baadhi ya mambo yako na biashara zako kwa ujumla lakini unashauriwa usiwe na matumizi mabaya ya fedha kwani endapo utafanya huvyo unaweza ukapata matatizo na ushindwe kuyatatuwa kutokana na ukosefu wa fedha hivyo inakupasa uwe makini sana kwenye kutumia fedha zako.

•Mahusiano yako yamejaa giza kwa sasa na usijihusishe na mahusiano yasiyoeleweka au yanayotumia nguvu zako kubwa yatakuletea athari mbaya mwilini

★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema

MAALIM DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.
 
NYOTA YAKO LEO ALHAMIS JULAI 10/2025:

UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI SIMU NAMBA

MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.



★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)

Alhamis ya leo Shirikiana na mtu yoyote unayemtaka unaweza kupata maarifa ya kufanikisha shughuli zako muhimu ulizonazo kwa sasa hata hivyo kuwa makini.

•Utapata maudhi leo na maadui zako wanaonekana kuwa karibu zaidi leo na mipango yako hivyo vizuri kuongeza usiri zaidi na kama ulipanga kukutana na mtu leo badilisha mpango angalia wakati mwingine inaonekana dalili mbaya zaidi kwako linaweza kukuvaa janga au mkosi kwa namna ya ajabu sana.

★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)

Leo kuwa karibu na jamaa zako wape mawazo yako na waombe wakupe ushauri kutokana na changamoto zinazokukabili watakusaidia.

•Kazi zako zitakuwa vizuri na utaona faida ya biashara zako na mipango yako itaenda vyema.

★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)

Leo Hutaweza kuyatatua matatizo yako peke yako unahitaji msaada wa watu wengine bila msaada hakuna mafanikio.

•Badilisha mbinu zako na ujaribu kutatua mambo yanapoibuka Kufanya hivyo kutakusaidia kuendelea kufuatilia mipango yako.

★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)

Leo yafanyie kazi mambo ambayo watu wanayasema jambo la muhimu kwako ni kuwa muangalifu kuna bahati kubwa mbele yako inakuja.

•Kaa kwa utulivu na utumie akili yako kutatua shida zozote zinazotokea Hii pia itakusaidia kuepuka makabiliano yasiyo ya lazima na watu walio karibu yako.

★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)

Leo utajikuta unakumbana na usumbufu wa hapa na pale katika utekelezaji wa majukumu yako hali hiyo isikutishe mwisho utafanikiwa.

•Unajiskia ni mwenye furaha na kujiamini leo na hii inakusaidia kutumia fursa zote zinazokujia na ambazo zinaweza kuwa muhimu kwa maisha yako ya baadae.

★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)

Leo kuna mvurugano na kutokuelewana kutakaozuka kati ya wewe na wenzako au washirika wako dhamira yao ni kukudhulumu haki yako au kukutapeli lakini hawatofanikiwa.

•Mambo mengi yatakusumbua leo na hii itasababisha ukague tena mawazo yako kwa njia tofauti.

★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)

Leo utajikuta umo katika hali nzuri na ya kufurahisha muda wa jioni baada ya kupata habari nzuri zitakazokufurahisha ungana na watu wako kufurahia habari hizo.

•Unajua kabisa kuwa wapendwa wako wapo karibu na wewe na wanajali juu yako na kwamba wako tayari kukupa msaada wowote unaohitaji.

★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)

Leo utapata Baraka nyingi na furaha tele jaribu kufanya mambo yako kwa ukamilifu wala usiwe na papara Mambo yaende kwa mpangilio maalum.

•Usitarajie tu mambo yakuangukie yenyewe miguuni mwako chukua mambo kwa mikono yako mwenyewe hasa siku ya leo ambapo nyota zimekaa vizuri chukua nafasi yako na nyota zitakusaidia kufikia mwisho mzuri.

★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)

Leo tengeneza maisha yako yaweke pembeni mambo ambayo unayaona hayana maana maisha yako ni muhimu sana kwako kuliko jambo lolote.

•Usiruhusu mivutano ya leo iamuru tabia yako kwa wapendwa wako mana unaweza ukajikuta unasema au kufanya vitu ambavyo utakuja jutia baadae.

★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)

Leo zungumza kwa kina mambo yaliyo moyoni kwako kwa watu unaowaamini ili upate suluhu hali hiyo itakuwa majawabu kwa matatizo yanayokukabili Kuwa muwazi na utafanikiwa.

•Unajidhulumu mwenyewe ikiwa utasikitishwa kiurahisi na kuikatia tamaa mipango yako.

★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)

Leo ni siku nzuri na yenye baraka sana kwako tumia siku ya leo kufanya mambo yako mwenyewe yale yote ambayo unayaona ni ya muhimu.

•Changamoto ni sehemu ya maisha Huna haja ya kukata tamaa kipindi cha shida zinapokuandama.

★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)

Leo jizuie kushiriki katika ubishani wowote ni afadhali uonekane mjinga kuliko kushinda ukiwa hasira Kumbuka Hasira hasara.

•Unajawa na kujiamini na utapata urahisi kuyaweka maisha yako sawa kwa kuviondosha vitu ambavyo vinakupa shida na kukuzuia.

★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema

MAALIM DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.
IMG-20250629-WA0012(14).jpg
 
*ULTIMATE WEALTH BRACELET

Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️
IMG-20250710-WA0012.jpg


Hii ni bracelet (bangili) ambayo ukiivaa kati ya siku 30 hadi siku 90, unaona mabadiliko makubwa katika maeneo yafuatayo:

1. KWENYE UCHUMI
Ita-impart nishati chanya kwenye eneo la uchumi.
Kipato chako kitaongezeka kwa sababu utajikuta 'una-develop ideas' mbalimbali kichwani mwako ambazo ukizifanyia kazi unaona matokeo yake kwa urahisi.
Kama unafanya biashara, milango ya wateja inafunguka zaidi.
Kama umeajiriwa, unajipata una kibali cha pekee kwa mwajiri na hivyo kupandishiwa mshahara, kupata promotion mbalimbali nk.
Kwa ufupi sana, hii bracelet itakusaidia kuinua uchumi wako na kuongeza kipato chako.

2. KWENYE AFYA YAKO
Bracelet hii imetengenezwa kwa vito ambavyo vimebeba energy (nguvu) kubwa inayohusika na suala zima la uponyaji.
Kama tulivyokwishajifunza huko nyuma kwamba vipo vito kwa ajili ya uponyaji wa maradhi ya kila aina, basi Ultimate Wealth Bracelet inakusaidia kujiponya magonjwa kama vile pressure, sukari, magonjwa ya moyo nk.

3. KWENYE ULINZI
UWB inakusaidia kuharibu nguvu hasi (uchawi) zinazotumwa kwako na 'wabaya' wako na pia kukupa kinga dhidi ya mashambulizi ya aina hiyo.

4. KWENYE JAMII
Bangili hii ina nguvu ya kukufanya uheshimike na kukubalika kwenye jamii yako, kwa sababu ina vito ambavyo vinakupa hali ya utulivu mkubwa wa kiakili, upembuzi yakinifu wa mambo na hekima kubwa, katika kufanya kazi zako za kila siku hususani za kijamii kama siasa, michezo, burudani, sanaa nk.

Ultimate Wealth Bracelets (UWB) nyingi zinatengenezwa kwa vito kati ya vitatu na kuendelea ili kuunganisha nguvu za kinishati kwa ajili ya financial wealth (utajiri wa kifedha), physical wealth (utajiri wa kiafya), social wealth (utajiri wa kijamii) nk.

Vito vinavyotumika sana sana katika kutengeneza hizi Bracelets, ni vile vyenye nguvu husika kama Citrine, Aventurine, Tiger's Eye, Agate, Pyrite, Black Obsidian, Black Onyx, Amethyst, Black Tourmaline, Emerald nk.

Dr. DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ (PhD)
Mtafiti na Mkufunzi wa masuala ya kiroho.
 
UNAIJUA NYOTA INAYOKUSAIDIA KIFEDHA?

Fuatana nami:::::::

Dr. * DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️*

Kwenye masuala ya kifedha, hakuna mtu anayeweza akafanikiwa bila kuhitaji mtu wa kushirikiana naye.

Kiroho, kila mtu ana mshirika wake katika kila jambo ikiwemo masuala ya kifedha.

Usipoijua hii siri unaweza kujikuta unamshirikisha mtu kwenye biashara zako au mambo ya kifedha, badala ya kupiga hatua kwenda mbele unarudi nyuma kumbe tatizo ni huyo mtu uliyemshirikisha kwenye masuala yako ya kipesa!

Kuna Nyota ambayo haiendani kabisa na aina fulani ya biashara. Kwa mfano wewe nyota yako ni Aries na unafanya biashara ya kuuza vifaa vya umeme, gesi, mafuta nk, alafu ukamwajiri mtu au ukaingia kwenye business partnership na mtu wa nyota ya Samaki; uwe na uhakika kwamba hiyo biashara itakufa kwa sababu hawa watu hawana ushirikiano kabisa kiroho katika mambo ya fedha.

Aries (nyota ya Punda) anatakiwa aajiri mtu wa Nyota ya Taurus (Ng'ombe) kwa sababu wanaelewana sana na wana compatibility kubwa kwenye mambo ya fedha.

Gemini (nyota ya Mapacha) anatakiwa ashirikiane na Cancer (Nyota ya Kaa) kwenye mambo yahusuyo hela.

Cancer amshirikishe Leo (Simba)

Leo amwajiri Mashuke.

Mashuke --- Mizani

Mizani --- Mshale

Mshale --- Mbuzi

Mbuzi --- Ndoo

Ndoo --- Samaki

Inatakiwa iwe hivyo ili kupunguza hasara na lawama zisizo na sababu linapokuja suala la kumtafuta business partner.

Aidha, in case una uhitaji wa pesa, usiende kwa mtu ambaye hamna spiritual connection kwenye fedha, mwendee ambaye kiroho fedha zako ni zake na zake ni zako, yaani yule ambaye nyota zenu kifedha zinaendana.
Je, imewahi kukutokea mtu akaja kwako na hitaji la fedha ukamnyima alafu akaja mwingine mwenye hitaji hilo hilo ukajikuta huwezi kumnyima?
Au ukaenda kwa mtu unayemwamini atakusaidia au kukukopesha fedha akakunyima, alafu ukabahatisha tu kwa mtu usiyemdhania na akakupatia?
Ni kwa sababu ya mashirikiano baina ya Nyota zenu wala sio uganga au maombi!

Kuna kitu umeelewa?

Nishirikishe kwenye comment hapo chini .

Kwa msaada wa tiba ya nyota, maisha, uchumi, mahusiano na magonjwa, wasiliana nasi

By Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ , mtafiti na mkufunzi wa maswala ya kiroho
 
UNAIJUA NYOTA INAYOKUSAIDIA KIFEDHA?

Fuatana nami:::::::

Dr. * DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️*

Kwenye masuala ya kifedha, hakuna mtu anayeweza akafanikiwa bila kuhitaji mtu wa kushirikiana naye.

Kiroho, kila mtu ana mshirika wake katika kila jambo ikiwemo masuala ya kifedha.

Usipoijua hii siri unaweza kujikuta unamshirikisha mtu kwenye biashara zako au mambo ya kifedha, badala ya kupiga hatua kwenda mbele unarudi nyuma kumbe tatizo ni huyo mtu uliyemshirikisha kwenye masuala yako ya kipesa!

Kuna Nyota ambayo haiendani kabisa na aina fulani ya biashara. Kwa mfano wewe nyota yako ni Aries na unafanya biashara ya kuuza vifaa vya umeme, gesi, mafuta nk, alafu ukamwajiri mtu au ukaingia kwenye business partnership na mtu wa nyota ya Samaki; uwe na uhakika kwamba hiyo biashara itakufa kwa sababu hawa watu hawana ushirikiano kabisa kiroho katika mambo ya fedha.

Aries (nyota ya Punda) anatakiwa aajiri mtu wa Nyota ya Taurus (Ng'ombe) kwa sababu wanaelewana sana na wana compatibility kubwa kwenye mambo ya fedha.

Gemini (nyota ya Mapacha) anatakiwa ashirikiane na Cancer (Nyota ya Kaa) kwenye mambo yahusuyo hela.

Cancer amshirikishe Leo (Simba)

Leo amwajiri Mashuke.

Mashuke --- Mizani

Mizani --- Mshale

Mshale --- Mbuzi

Mbuzi --- Ndoo

Ndoo --- Samaki

Inatakiwa iwe hivyo ili kupunguza hasara na lawama zisizo na sababu linapokuja suala la kumtafuta business partner.

Aidha, in case una uhitaji wa pesa, usiende kwa mtu ambaye hamna spiritual connection kwenye fedha, mwendee ambaye kiroho fedha zako ni zake na zake ni zako, yaani yule ambaye nyota zenu kifedha zinaendana.
Je, imewahi kukutokea mtu akaja kwako na hitaji la fedha ukamnyima alafu akaja mwingine mwenye hitaji hilo hilo ukajikuta huwezi kumnyima?
Au ukaenda kwa mtu unayemwamini atakusaidia au kukukopesha fedha akakunyima, alafu ukabahatisha tu kwa mtu usiyemdhania na akakupatia?
Ni kwa sababu ya mashirikiano baina ya Nyota zenu wala sio uganga au maombi!

Kuna kitu umeelewa?

Nishirikishe kwenye comment hapo chini .

Kwa msaada wa tiba ya nyota, maisha, uchumi, mahusiano na magonjwa, wasiliana nasi

By Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ , mtafiti na mkufunzi wa maswala ya kiroho
 
NYOTA YAKO LEO IJUMAA JULAI 11/2025:
IMG-20250629-WA0012(15).jpg

UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI.

NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.


MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.


★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)

Kuna habari za maziko ya kiongozi mtu maarufu katika eneo lenu leo usifaye safari yoyote ile utakumbana na vikwàzo na usumbufu mkubwa utajikuta hufiki kwa wakati kuharibika kwa chombo cha kusafiria na kupata ajali Kaa mbali na vifaa vinavyo tumia moto vitalipuka na kuleta maafa.

•Mahusiano yako ni thabiti utajipatia marafiki wapya wenye manufaa.

★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)

Utapokea mgeni kutoka mbali ambaye ni mdogo sana kwako atakuletea taarifa za misaada na mikopo kuna safari ya kwenda jipange na badirisha baadhi mipango yako Mambo mengi itabidi yasogezwe mbele kutoa nafasi kwa yanayotakika haraka.

•Haja zako zitatimia kwa urahisi safari zako zina kheri kila kitu kitaenda vizuri usipuuzie lolote.

★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)

Leo uko vizuri katika masuala ya kazi na biashara yapata mafanikio makubwa Kazini utapewa nafasi nyingine ya uongozi utakabidhiwa kuongoza idara kwenye shughuli zako nyingine utafanya vizuri na kupata heshima kubwa kutoka wenzio kuna kelele nyingi zitatokea kutokana na uteuzi huo lakini zisikusumbue.

•Mahusiano yako yatafunguka utapata marafiki wapya.

★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)

Utarudiana na rafiki yako wa zamani mahusiano yatakuwa mazuri tumia kipindi hiki kujiimarisha utafanikiwa kama utamshirikisha katika shughuli unazozifanya Ingia makubaliano nae kwa maandishi jishughulisheni katika masuala yanayohusu jamii.

•Leo utapata maudhi ya kiafya madogo madogo usihofu yatapita kazi zako zina uzito tumia juhudi ili kufanikisha malengo.

★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)

Acha kuwa mbishi mambo yako mengi hayaendi sawasawa hii inatokana na dharau na kupuuzia maagizo unayopewa Kuna uadui unaokuandama kwa muda mrefu sana na umekuwa huutilii maanani Uñashauriwa kujizatiti kwa kipindi hiki kabla hali haijawa mbaya.

•Mahusiano yako yamejaa giza epuka mahusiano yenye mzigo mkubwa wa kiakili au kihisia.

★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)

Anza kushughulikia fursa mpya zinazojitokeza ni kipindi ambacho unatakiwa kuachana na mambo ya zamani Badili mtindo wako wa maisha fanya shuguli zako mbali na hapo na ikibidi jishughulishe na uagizaji na kusafirisha bidhaa Hamisha makazi utaona mabadiliko katika shughuli zako.

•Kazi zako na mipango ya biashara zitaenda vizuri.

★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)

Utapata mafanikio makubwa katika shughuli zako na upatikanaji wa pesa ni kipindi kizuri kujiwekea akiba Utapata pesa na leo utapokea kazi mpya ambayo ina maslahi mazuri Kazini utapewa jukumu la kusimamia jambo kumbuka kuwa na mipango yako ya baadaye Matumizi ya pesa yanahitaji kuangaliwa upya katika shughuli zako yasiwe ya juu sana.

•Maadui hawana nguvu tena ubaya wao umewarudia safari zako zina baraka na mafanikio.

★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)

Shirikiana na ndugu na marafiki katika shughuli zako utajikuta umepata mafamikio Mawasiliano ni muhimu sana kwa leo usipuuzie simu utakazo pigiwa na ujumbe utakao tumiwa toka kwa matembezi utakutana jamaa yako ambaye umepoteza na nae kwa muda sasa Atakupa ushauri ufanyie kazi utakunufaisha.

•Mahusiano yako yako vizuri utapata furaha zaidi.

★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)

Tafuta ushauri toka kwa walio kuzidi kutatokea hali isiyo eleweka nyumbani habari za kufanyiana fitna na kukwamishana bado zinafanyika kuna ushirikina unafanywa na watu usio wadhania Bado una nafasi ya kujiokoa waone wataalamu watakusaidia.

•Leo ni siku ya furaha na habari njema
Haja zako nyingi zitatimia.

★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)

Siku itatawaliwa na habari za kupokea na kutoa misaada utapokea mualiko wa sherehe nenda na mwenzio Shughulikia suala la mtoto na mkopo uliouomba nunua ulichojipangia kitakusaidia baadae Huo mradi unao ufikiria utekeleze sasa fanya mambo yatakayo kusaidia ki maisha tunza utakachopata kwa ajili ya baadae.

•Unachohitajika kufanya ni kuomba na wala usijishtukie.

★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)

Siku si nzuri kwako utajikuta unalaumiwa na kushutumiwa chunga kauli zako zitakuletea matatizo kuna mzozo mkubwa utatokea Madeni ya pesa ulizokopa na kuchelewesha kazi uliyopewa kutakusababishia ufunguliwe mashtaka omba msaada utapewa.

•Kuna mambo kadhaa maishani mwako ambayo hayakuridhishi kabisa lakini unachofanya ni kukaa tu hapo na kujibweteka kwa kukunja mikono kwa tabia hiyo wala hutoweza kufika popote.

★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)

Umekuwa ukifanya kazi chini ya machafuko mengi hadi sasa hivyo chukua hatua na urejeshe mambo yako kuwa sawa hii itakuruhusu kuyazingatia maisha yako ya baadae.

•Utafikia makubaliano na kupatana mtu uliyekorofisha nae kwa muda sasa Leo ni siku nzuri kwako kujihusisha na suala la mahusiano kuna habari za posa uchumba na ndoa zitakufikia Uliye anzisha naye mahusiano mapya atakufurahisha kaa tayari kwa kuingia mkataba wa tenda uliyoipata.

★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema

MAALIM DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.
 
JE , NI KIDOLE GANI UNATAKIWA KUVAA PETE YAKO YENYE KITO CHAKO CHA BAHATI?

Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️

Kama nilivyokwisha kueleza kwenye masomo yaliyotangulia kuwa kila mtu, kwa mujibu wa Nyota yake, ana Kito cha bahati kinachoendana na Nyota yake, hapa chini nimekueleza ni kidole gani kinafaa kuvaliwa pete yako.
Usivae pete kwenye kidole chochote au mkono wowote mpaka ujue nishati ya hicho kidole kama inaendana na nishati ya Kito na madini ya pete unayotaka kuvaa.
Hapo ndipo utakapopata matokeo mazuri yatokanayo na vito.

1. KUVAA PETE KWENYE KIDOLE GUMBA

Unapovaa pete kwenye hicho kidole ujue unaashiria AFYA NJEMA na UTAJIRI.

Ndio maana zile healing rings (Pete za uponyaji) huvaliwa kwenye hiki kidole.

Lakini pia matajiri huvaa pete kwenye hiki kidole ili kulinda mali zao zisiondoke.

Kwa hiyo ukishamiliki pete yako, lazima ujue which purposes it serves!

For healing purposes vaa healing ring yako kwenye dole gumba au kama una mali na utajiri wa maana vaa pete yenye Kito chako cha bahati kwenye dole gumba kulinda utajiri wako.
Mara nyingi pete ya dhahabu yenye Kito cha Pyrite au Citrine huvaliwa kwenye dole gumba.

2. KUVAA PETE KWENYE KIDOLE CHA SHAHADA (INDEX FINGER)

Unapovaa Pete kwenye kidole hiki unakuwa unaashiria UTAWALA, NGUVU au MAMLAKA fulani kwenye jamii.

Viongozi hutakiwa kuvaa pete zenye vito vyao kwenye hiki kidole ili kuongeza nguvu zao na utiisho wao kwenye mamlaka waliyo nayo.

Pete husika kwenye hiki kidole hiki pia inamlinda mtu asipinduliwe kwenye uongozi au madaraka aliyo nayo.

Wale wenye nyota za Uongozi kama Capricorn, Leo na Aries au wale wenye majukumu kwenye milango ya uongozi (hususani mlango wa 10 wa kinyota) wanatakiwa kuvaa pete zao kwenye hicho kidole ili kushawishi ama kuvutia nafasi za kiuongozi na madaraka.

3. KUVAA PETE KWENYE KIDOLE KATI (MIDDLE FINGER)

Ukivaa Pete yako kwenye hiko kidole unakuwa unaashiria UJASIRI, UTHUBUTU!

Watu ambao wanakabiliwa na uoga, kutochukua hatua wanaweza kuvaa pete yao kwenye hiki kidole.

Pia kwa wale ambao hawajaoa/ olewa wanaweza kuvaa pete zao kwenye hiki kidole ili kuiambia Universe kwamba wanahitaji wenza wao.
Pete yako ya bahati kwenye hiki kidole hukuunganisha au kukukutanisha na soulmate wako katika mazingira hata ambayo hukutarajia.
Humvuta mtu wako kwako kwa namna ya ajabu sana.
Pia kama mchumba wako aliondoka bila makubaliano nawe unaweza kuvaa pete yako kwenye hicho kidole na kuanza kumuita kila siku usiku wa manane naye atarejea kwako.

4. KUVAA PETE KWENYE KIDOLE CHA PETE!

Hiki huitwa kidole cha pete kwa sababu ndicho kimezoeleka kuvaliwa Pete.
Utamaduni wa kuvaa pete kwenye hiki kidole ni wa wazungu na huvaa kwenye hicho kidole kwa sababu ni kidole laini kuliko vyote, kwa sababu mishipa yake ni michache kulinganisha na vidole vingine na hivyo kukifanya kuwa dhaifu.
Pia, tofauti na vidole vingine, kidole hiki kipo mahali ambapo kinajikuta hakifanyi kazi kama vidole vingine hususani thumb and index fingers, hivyo kuonekana kinafaa kuvaliwa Pete!

Lakini, kinyota hiki kidole huashiria upendo kwa sbb kina mshipa mkubwa wa damu unaoenda mpaka kwenye moyo na hivyo kuwa kidole kinachoashiria Upendo (yaani love)

Kwa hiyo, kinafaa sana kuvaliwa Pete za ndoa na ziwe zinaendana na wanandoa na nyota zao husika ili kuwafanya kuwa waaminifu kwenye ndoa yao, wenye shauku ya kuwa pamoja muda wote, wabunifu na wachangamfu.

Watu wa Nyota ya Simba ambao Nyota yao hutawala kwenye moyo hutakiwa kuvaa vito vyao kwenye hichi kidole.

5. KUVAA PETE KWENYE KIDOLE KIDOGO CHA MWISHO.

Pete ikivaliwa kwenye hicho kidole huashiria kuwa mvaaji anahitaji kujiungamanisha na ulimwengu wake wa kiroho na kitaaluma pia.
Pete kwenye hiki kidole humsadia mtu kuwa na utulivu wa hali ya juu na hivyo kufanya mambo yake kwa makini na kwa uaminifu mkubwa.

Jipatie Kito chako tukutengenezee Pete ya Gold , Silver au Shaba , uvae kwenye kidole chochote utakachoona kinafaa kutokana na nia yako na mambo yako yatakunyookea.

Dr. * DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️*
Mtafiti na Mkufunzi wa masuala ya kiroho!
IMG-20250711-WA0065(3).jpg
 
UTAJIRI NI MCHAKATO, GHARAMA na MUDA,
Kama una nia ya kuufikia utajiri, usiogope mchakato, gharama na kutoa mda wako.
NB; Usiishie kusoma hapa issue za nyota na mafanikio, chukua hatua uone kesho yako iliyobora,
Mwisho; tuko kwenye Dunia inayoangalia una nini ikupatie heshima
 
VITO - MADINI - DHAHABU - UTENDAJI WAKE.
MOONSTONE : JIWE LA THAMANI LINALOSAIDIA WANAWAKE KUSHIKA MIMBA!

Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️

Ukisoma Elimu ya Vito, utagundua jinsi ambavyo kuna maajabu makubwa sana katika matumizi yake.

Kuna mamia kwa mamia ya mawe ya vito (gemstones) na kila jiwe lina kazi yake maalum katika mwili na maisha ya binadamu.

Kuna mawe yanasaidia kufungua uchumi uliofungwa (mfano Citrine - the Merchant stone), kuzuia uchawi na nguvu hasi mwilini (mfano Pyrite), kuamsha machale (mfano Amethyst), kuchochea utulivu wa ndani wa hali ya juu (mfano Aquamarine) nakadhalika.
Mawe ni mengi kwa kweli na kila jiwe lina kazi yake maalum.

MOONSTONE ni jiwe linaloakisi tabia zote za Mbaramwezi.
Mbaramwezi ni gimba la angani lenye sifa ya umama (motherly traits) na nguvu ya kike (feminine energy)
Moonstone ni jiwe lenye nguvu ya kuchota baraka za asili kutoka kwa Mbaramwezi na kuzipenyeza kwenye mwili wa mvaaji.
Pamoja na faida nyingi za hili jiwe, pia linawasaidia akina mama wenye changamoto ya kutoshika au kuharibu mimba.
Linasaidia kubalansi homoni za kike na kuzuia uwezekano wa mimba kuharibika.

Endapo una changamoto ya hormonal imbalance (tatizo la homoni) kiasi cha kushindwa kushika mimba au una changamoto ya fallopian tube obstruction (tatizo la mirija ya kupitisha mayai kuziba) na shida ya uterine or cervical problems (changamoto kwenye tumbo la uzazi), basi jiwe la Moonstone litakusaidia kuondoa changamoto hizo na hivyo kukusaidia kushika mimba bila kuharibika mpaka wakati wa kujifungua.
Unaweza kutumia jiwe hili kama Pete au ukavalia kwenye shanga (waist bead) au ukavaa shingoni kama Kidani.
Kama kuna mwanamke ana hiyo changamoto msaidie kuitatua kwa njia hiyo.


Kwa msaada wa tiba ya nyota, maisha, uchumi, mahusiano na magonjwa, wasiliana nasi

By Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ , mtafiti na mkufunzi wa maswala ya kiroho
 
UTAJIRI NI MCHAKATO, GHARAMA na MUDA,
Kama una nia ya kuufikia utajiri, usiogope mchakato, gharama na kutoa mda wako.
NB; Usiishie kusoma hapa issue za nyota na mafanikio, chukua hatua uone kesho yako iliyobora,
Mwisho; tuko kwenye Dunia inayoangalia una nini ikupatie heshima
Rudisha ile avatar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom