Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,592
- 4,472
- Thread starter
- #281
NYOTA YAKO LEO IJUMAA MAY 29/2026:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, 🤙
NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★MAPACHA– GEMINI ♊(May 21– Juni 20)
mapacha ijumaa hii unauwezo wa kukamilisha mipango yako ya kibiashara pia unashauriwa ukutane na watu tofauti tofauti wenye fani kama ya kwako watakusogeza na kukupa mbinu mpya katika biasha yako au miradi yako ingawa kipindi hii nyota yako imetawaliwa na upepo mbaya.
•Neno moja la haraka linaweza kuumiza moyo wa mtu anayekupenda Ukichagua utulivu badala ya hasira amani itabaki ndani ya nyumba au moyo wako.
🤎 Rangi ya bahati Leo ni brown.
★KAA– CANCER 🦀(Juni 21– Julai 22)
Ijumaa hii tegemea ahadi nzuri tegemea kulipwa deni lako pia unaweza kupata safari ambayo itakuongezea kipato na faida kem kem.
•Mpenzi wako anakusumbuwa si mkweli kwako magomvyi hayaishi ijumaa hii ni vyema uwe na msimamo ndio utaweza kumaliza shida iliopo katika mahusiano yako.
🖤 Rangi ya bahati Leo ni nyeusi.
★SIMBA LEO 🦁(Julai 23– Agosti 22)
Ijumaa hii utafanya vizuri utapata mawazo mapya na ushauri Mpya kutoka kwa marafiki zako ingawa bidii Yako ya kazi ilipunguwa siku zilizo pita lakini kwasasa tegemea mabadiliko mapya katika kazi zako jitume bila kuchoka kwani mbele yako kuna mengi yenye faida yatajiri kwako.
•Zidisha mapenzi kwa mpenzi wako ingawa muda mwingine unajuta lakini sio wakati wa kujuta na kukata tamaa kwani ulie nae anakufaa ingawa kuna changa moto za hapa na tapele lakini zitakwisha.
🩸 Rangi ya bahati Leo ni y
★MASHUKE– VIRGO ♍(Agosti 23– September 23)
Tegemea mambo mazuri kwako kwani utapata mtu atakusaidia kutokana na matatizo unayo yapata katika kipato chako huenda ijumaa hii ukapata mtu akakuondolea madhila hayo.
•Ingawa umekosa furaha upendo kwa muda mrefu na huenda umekata tamaa lakini ijumaa hii tegemea kupata muelekeo utakao weza kurudisha mapenzi Yako katika hali ya amani na upendo.
💙 Rangi ya bahati Leo ni Blue.
★MIZANI– LIBRA ♎(September 24– Oktoba 23.
Ijumaa hii ni nzuri kwako kuwa mkweli muaminifu unaweza kupata mtu atakae kusaidia matatizo yako ingawa una changa moto nyingi sana lakini utavika.
•Unae mpenda hana muda na wewe kutokana na mtafaruku katika mahusiano yenu endelea kunyenyekea bila kuchoka punguza kulalamika na kulia mambo yatakaa sawa.
🤍 Rangi ya bahati Leo ni nyeupe.
★NG'E– SCORPION 🦂(Oktoba 24– November 21)
Epukana kuongozana na makundi makundi pia endelea kukaa karibu karibu na yule unae mtegemea atakukamilishia ahadi alio kupa kikubwa uwe mwenye subra na muelewa.
•Usimuache mpenzi ulie nae bilasababu kwani huyo ulie nae ni muongo nivyema ukae chini na mpenzi wako muweze kuyazungumza kwani usipo fanya hivyo unaweza kuikosa amani kwa muda mrefu.
🩸 Rangi ya bahati Leo ni nyekundu.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹(November 22– December 21)
Kipato chako kitaongezeka utapata pesa ya gafla ingawa una madeni lakini usife moyo utapata mbinu mpya za kuweza kupambana na madeni yako.
•umekuwa mtu wa kuachwa mara kwa mara ijumaa hii hangaika utapata mtu atakusaidia kukuondolea mkosi ulio nao na yataisha.
🧡 Rangi ya bahati Leo ni Orange.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐(December 22– January 20)
Ijumaa njema kwako tegemea kukamilika kwa ahadi kwa mtu alue kuwahidi tegemea mipango mipya itakayo jiri kutoka na frdha kidogo utayo ipata.
•Epukana na marafiki wanao jaribu kukushawishi kuachana na mpenzi ulie nae kwani mtu ulie nae ni muhimu sana kwako hivyo kumkosa nisawa na kukosa kiungo muhimu katika mwili wako utateseka kwa muda mrefu.
💛 Rangi ya bahati Leo ni Njano
★NDOO– AQUARIUS 🏺(January 21– February 19)
Niwakati wa kutimiza malengo yako nakufanya kile unacho ona kinakufaa kwa maisha yako ya baadae nivyema kujiamini ukiwa unakamilisha majukumu yako.
•katika mapenzi tegemea habari njema kutoka kwa mpenzi wako itakayo kupa furaha katika moyo wako zidi kuwa karibu na mpenzi wako ili furaha ulio nayo izidi kuendelea.
🩶 Rangi ya bahati Leo ni kijivu.
★SAMAKI– PISCES 🐟(February 20– March 20)
Ijumaa hii sio mbaya sana kwako ingawa sio yote unayo yapanga yatakamilika ila endelea kupanga mipango yako mbali mbali kwani mbeleni matunda utayaona.
•Utakumbukwa na mpenzi wako wa zamani ingawa unae mpya wa sasa usipo kuwa makini unaweza kuiyondowa amani ulio nayo kwasasa nivyema ukawa na msimamo uliokamilika.
💙 Rangi ya bahati Leo ni Blue.
★PUNDA– ARIES 🐏(March 21– Aprili 20)
Ijumaa ilio isha ilikuwa nzuri kwako kipato chako kiliongezeka ijumaa hii pia utapata kipato kikubwa usidharau simu ya mtu yoyote atakae kupigia kwani kuna simu leo hii utapigiwa na utapata habari za muhimu sana zitakazofanya kipato chako kiongezeke na utafanya vizuri popote kwa chochote unacho kifanya.
•kuna uwezekano mkubwa sana wa kurudia na mpenzi ulie muacha kwani anakukumbuka na anakuhitaji lakini wakati unafanya maamuzi ufikirie mara mbili na umuangalie mpenzi wa sasa ulie nae kwakuwa ana umuhimu mkubwa sana katika maisha yako ya sasa na ya baadae tafauti na huyo ulie achana nae.
💜 Rangi ya bahati Leo ni zambarau.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂(Aprili 21– May 20)
Ijumaa hii sio nzuri kwako usipo kuwa makini utapoteza fedha katika biashara zako au utapoteza kitu cha thamani unashauriwa kufanya maombi au kufanyiwa duwa na kadhalika nyota yako itakaa sawa.
•Unashauriwa upunguze kiburi na misimamo isio na maana kwani ukiendelea kufanya hivyo hutaweza kumaliza migogoro ya mapenzi ulio nayo ijumaa hii mpe mwenzieo nafasi msikilize mambo yatakaa vizuri.
💚 Rangi ya bahati Leo ni kijani.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim kupitia namba ya simu 📱 pia unaweza kutuma ujumbe mfupi wa sms kupitia namba hizo hizo unaweza pia kuwasiliana na maalim kupitia mtandao wa whatsaapp kupitia namba hizo niwatakie siku njema na mafanikio mema
DR DOGOLI KINYAMKELA 💀 ☠️ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.