Uchambuzi wa nyota kila siku

Uchambuzi wa nyota kila siku

UTABIRI WA NYOTA LEO ALHAMiSI 3/7/2025
πŸ’šπŸ¦‚πŸ¦πŸ¦€πŸ¦ŒπŸ¦„πŸ‘¬πŸ πŸ₯ƒπŸ“πŸΉπŸ¦€πŸ‘¬πŸ¦‚πŸ’šβ€πŸ’š

Kumbuka kwamba nyota zina athari ya moja kwa moja katika maisha yetu na yeyote asiyefuata nyota yake hawezi kamwe kusonga mbele kwa maana anaishi nje ya asili yake.

πŸ’šπŸ¦‚πŸ¦πŸ¦€πŸ¦ŒπŸ¦„πŸ‘¬πŸ πŸ₯ƒπŸ“πŸΉπŸ¦€πŸ‘¬πŸ¦‚πŸ’šβ€πŸ’š
πŸ¦„NYOTA YA PUNDA

Fikiria njia za kuboresha afya yako. Utakuwa na msongo wa mawazo kutokana na kukosa pesa. Utendaji kazi wako utasifiwa siku ya leo. Ikiwa utatenda haki familia yako itakuunga mkono. Kwa wale wenye magari leo utajikuta ukiendesha gari hado mahali usipopajua ama mahali ambapo hujawahi kufika. Utakuwa na uwezo wa kufikia mambo mengi zaidi kuliko inavyotarajiwa kazini kwako.

Jambo la kuzingatia Upendo: Mshangaze mpenzi wako kwa zawadi, ikiwa unataka kumtongoza na kumfanya azidi kukupenda

Nambari ya Bahati: 18

Rangi ya Bahati: Brown

πŸ’šπŸ¦‚πŸ¦πŸ¦€πŸ¦ŒπŸ¦„πŸ‘¬πŸ πŸ₯ƒπŸ“πŸΉπŸ¦€πŸ‘¬πŸ¦‚πŸ’šβ€πŸ’š
πŸ„NYOTA YA NG'OMBE

Wape wagonjwa wanaweza kuonyesha dalili za kupona leo. Unafuu fulani katika masuala ya kifedha unatarajiwa. Wafanyakazi watapata muda wa ziada wa kufanyakazi. Kazi zako za nyumbani zitafanywa na familia yote kwa kushirikiana. Wale wenye mwelekeo wa kiroho wanaweza kutiwa moyo waanze safari ya kuhiji. Leo utapata mali lakini mali yenyewe itakuwa Ng'ombe. Utakuwa na ushawishi mkubwa kazini kwako.

Jambo la kuzingatia Upendo: Utafanikiwa kumvutia yule unayempenda kwa siri.

Nambari ya Bahati:11

Rangi ya Bahati: Chungwa

πŸ’šπŸ¦‚πŸ¦πŸ¦€πŸ¦ŒπŸ¦„πŸ‘¬πŸ πŸ₯ƒπŸ“πŸΉπŸ¦€πŸ‘¬πŸ¦‚πŸ’šβ€πŸ’š
πŸ‘¬NYOTA YA MAPACHA

Juhudi kidogo zinaweza kukuweka sawa kimwili. Kifedha, mambo yanayokuvutia yatatokea leo, ile kazi uliyoifanya malipo yake utayapokea leo. Mabadiliko katika taaluma yanaweza kukunufaisha. Baadhi yenu mnaweza kufurahia safari ya burudani na familia. Ikiwa likizo iko akilini mwako, huu ni wakati mzuri wa kuipanga. Pia huu ni wakatika wa kuzingatia kwa umakini biashara nzuri mbele ya mali.

Jambo la kuzingatia: Weka nia katika kitu unachokitaka utakipata.

Nambari ya Bahati: 3

Rangi ya Bahati: Nyeupe

πŸ’šπŸ¦‚πŸ¦πŸ¦€πŸ¦ŒπŸ¦„πŸ‘¬πŸ πŸ₯ƒπŸ“πŸΉπŸ¦€πŸ‘¬πŸ¦‚πŸ’šβ€πŸ’š
πŸ¦€NYOTA YA KAA

Endelea kufurahia afya yako njema na endelea kutumaini mambo mazuri. Matatizo ya kifedha yanayowakabili wengine huenda yakahitaji kutatuliwa kwa kipaumbele. Utapata wateja wapya katika biashara yako na kutengeneza pesa kubwa. Mahitaji ya mwanafamilia yanaweza kukufanya ufanye kazi nzito ya jasho jingi ili umtimizie mahitaji yake lakini kuwa na amani yatatimia. Wale wanaosafiri umbali mrefu watapata safari ya kustarehesha. Kumiliki gari jipya kunaweza kuongeza heshima yako leo.

Jambo la kuzingatia. Mpenzi wako atahitaji penzi lako leo.

Nambari ya Bahati: 11

Rangi ya Bahati: Pink

asili ya mwafrica ipo kwajiri yakurudisha samani yamaisha yako unaweza kuja inbox kwa msaada zaidi πŸ“žβ˜ŽοΈ meView attachment 3392064

πŸ’šπŸ¦‚πŸ¦πŸ¦€πŸ¦ŒπŸ¦„πŸ‘¬πŸ πŸ₯ƒπŸ“πŸΉπŸ¦€πŸ‘¬πŸ¦‚πŸ’šβ€πŸ’š
🦁NYOTA YA SIMBA

Utafanikiwa kudumisha kiwango bora cha usawa. Uwekezaji wa awali unaweza kuanza kutoa faida nzuri. Mafanikio yametabiriwa kwa wale wanaojitosa katika jambo jipya katika masuala ya biashara. Amani inatawala mbele ya nyumba, hukuruhusu kupumzika nyumbani. Wanandoa wachanga wana uwezekano wa kufanya safari ya kusisimua hivi karibuni. Mtazamo wa kielimu unabaki kuwa wa kuridhisha na wenye kukuletea mafanikio.

Jambo la kizingatia: Wazo la kufunga pingu za maisha linaweza kupita akilini mwa wale walio katika mapenzi.

Nambari ya Bahati: 8

Rangi ya Bahati: Kijivu Kilichokolea

πŸ’šπŸ¦‚πŸ¦πŸ¦€πŸ¦ŒπŸ¦„πŸ‘¬πŸ πŸ₯ƒπŸ“πŸΉπŸ¦€πŸ‘¬πŸ¦‚πŸ’šβ€πŸ’š
πŸ’šNYOTA YA MASHUKE

Wagonjwa wanaweza kupona. Utapata mawazo ya kufungua mradi mpya na mkubwa sana leo. Familia itakuunga mkono na kukutia-moyo katika juhudi zako. Utapata safari ya kwenda mbali leo ambayo itakuwa ya kusisimua. Huvi karibuni utamiliki mali zako mwenyewe. Siku ya leo una uwezekano wa kuwa na shughuli nyingi katika kuandaa mikakati ya siku zijazo.

Jambo la kuzingatia; Utapata mpenzi mpya leo atakayekubadilisha mawazo yako.

Nambari ya Bahati: 7

Rangi ya Bahati: Cream

πŸ’šπŸ¦‚πŸ¦πŸ¦€πŸ¦ŒπŸ¦„πŸ‘¬πŸ πŸ₯ƒπŸ“πŸΉπŸ¦€πŸ‘¬πŸ¦‚πŸ’šβ€πŸ’š
πŸ”°NYOTA YA MIZANI

Mabadiliko ya mtindo wa maisha yatakufanya kuwa na aiku nzuri kwa afya yako. Fursa ya uwekezaji inafaa aiku ya leo, kwani inaonekana kuwa silu nzuri kwako kuwekeza. Katika shughuli zako za kikazi leo inaonekana kuwa siku bora. Mkutano wa familia yako unakaribia na utakusisimua zaidi. Chaguo lako la kusafiri kwa barabara badala ya treni litathibitisha kuwa chaguo bora zaidi. Utapitia kipindi cha wasiwasi huku ukitawaliwa na mawazo kuhusu matarajio yako ya kazi. Utakutana na watu wapya leo lakini usiwaamini wote.

Jambo la kuzingatia: Mapato mazuri yatakufanya uchanganyikiwe na mapenzi.

Nambari ya Bahati: 11

πŸ’šπŸ¦‚πŸ¦πŸ¦€πŸ¦ŒπŸ¦„πŸ‘¬πŸ πŸ₯ƒπŸ“πŸΉπŸ¦€πŸ‘¬πŸ¦‚πŸ’šβ€πŸ’š
πŸ¦‚NYOTA YA NG'E

Afya itabaki kuwa nzuri na kukufanya uwe na nguvu leo. Ikiwa unapanga kuwekeza leo basi fanya hivyo hii itazidisha utajiri wako. Safari ya biashara itafungua milango ya fursa mpya. Familia itaunga mkono zaidi mawazo yako. Kuna uwezekano wa wewe kuipeleka familia yako mahali pa kufurahisha! Utendaji wako mzuri kwenye taaluma unaweza kuwa gumzo la jiji.

Jambo la kuzingatia uzingatia Upendo: Ikiwa utamtunza kwa zawadi bora mpenzi wako basi penzi lako litaimarika zaidi.

Nambari ya Bahati: 9

Rangi ya Bahati: Maroon.

πŸ’šπŸ¦‚πŸ¦πŸ¦€πŸ¦ŒπŸ¦„πŸ‘¬πŸ πŸ₯ƒπŸ“πŸΉπŸ¦€πŸ‘¬πŸ¦‚πŸ’šβ€πŸ’š
🏹NYOTA YA MSHALE

Afya yako ni bora siku ya leo. Uonapo hatari chukua hatua haraka ili kubakia salama. Mkopo ulioomba kwa matatizo ya haraka utapatiwa leo. Hofu mbaya inaweza kukupata leo ukiwa kazini kwako. Kuna uwezekano mtu fulani ataisaidia familia yako leo. Wale wanaosafiri nje ya nchi safari yao itakuwa nzuri na ya kukumbukwa daima. Juhudi zako katika shughuli za kikazi zitakufanya ufurahie maisha na kuongeza kipato chako.

Jambo la kuzingatia ni kwamba: Hii ni siku bora kwa wale walio na mwelekeo wa kimapenzi.

Nambari ya Bahati: 6

Rangi ya Bahati: Kijani

πŸ’šπŸ¦‚πŸ¦πŸ¦€πŸ¦ŒπŸ¦„πŸ‘¬πŸ πŸ₯ƒπŸ“πŸΉπŸ¦€πŸ‘¬πŸ¦‚πŸ’šβ€πŸ’š
🦌NYOTA YA MBUZI

Mabadiliko katika maisha yako yatatokea leo na kukuletea manufaa zaidi. Wale wanaofanya manunuzi leo basi wafanye kwani ni siku nzuri watapataanunuzi mazuri kwa pesa kidogo. Utendajo wako wa kazi utafikiriwa na bosi wako na ataufurahia. Utakuwa na mapumziko mazuri siku ya leo. Kama unapanga kusafiri we safiri ni siku nzuri sana kwako kusafiri hasa nje ya nchi. Kutakuwa na ugomvi wa mali za urithi. Kuonyesha uwezo wako leo katika kazi yalo mpya kutakuletea manufaa zaidi.

Jambo la kuzingatia: Kufanya mambo madogo madogo pamoja na familia yako kunaweza kuimarisha upendo wa kudumu

Nambari ya Bahati: 17

Rangi ya Bahati: Njano

πŸ’šπŸ¦‚πŸ¦πŸ¦€πŸ¦ŒπŸ¦„πŸ‘¬πŸ πŸ₯ƒπŸ“πŸΉπŸ¦€πŸ‘¬πŸ¦‚πŸ’šβ€πŸ’š
πŸ₯ƒNYOTA YA NDOO

Kuna haja ya kupitisha utaratibu wa kila siku ili kulinda afya yako. Wale wanaosoma nje wanaweza kutarajia pesa za ziada kutoka nyumbani. Nyota yako inataka ufanye kazi zako binafsi leo. Utapata wasaa wa kumuongoza na kumwelekeza mwanafamilia yako leo katika maswala ya kikazi. Ziara ya kibiashara inakaribia kwa baadhi na itafanikiwa. Huenda ukalazimika kuweka mawazo yako katika hali ya sasa inayokukabili.

Jambo la kuzingatia: Majaribio yako ya kumtongoza mpenzi hayataenda bure.

Nambari ya Bahati: 8

Rangi ya Bahati: Bluu

πŸ’šπŸ¦‚πŸ¦πŸ¦€πŸ¦ŒπŸ¦„πŸ‘¬πŸ πŸ₯ƒπŸ“πŸΉπŸ¦€πŸ‘¬πŸ¦‚πŸ’šβ€πŸ’—
🐠NYOTA YA SAMAKI

Wale walio na huzuni watapona na kuwa na afya njema tena. Uwekezaji ulioufanya hapo awali utakulipa leo. Leo utachelewa kufanyakazi uliyoianza siku kadhaa nyuma. Kupanga nyumba kunaweza kuchukua nafasi ya kwanza kuliko mambo mengine leo. Wale mlio katika likizo sehemu zenye joto leo mtapata hali ya kushangaza kwani baridi itatawala Siku ya leo ni ngumu sana kwako hivyo shikilia na ufuate mambo yako tu.

Jambo la kuzingatia: Leo utajihusisha katika tendo la ndoa na mtu wako wa nje, jambo litakalopelekea kufumwa.

Nambari ya Bahati: 7

Rangi ya Bahati: Zafarani

Kumbuka kwamba nyota zina athari ya moja kwa moja katika maisha yetu na yeyote asiyefuata nyota yake hawezi kamwe kusonga mbele kwa maana anaishi nje ya asili yake🌷
Kwanini tufuate nyota na siyo nyota kutufuata sisi?
 
Jiwe la Ndoo ni lipi kwa afya/kinga na kupata hela?. Na liendane na dhahabu au silver au steering silver?.
Siwez jibu Sababu sijajua nyota yako mana Kila kito kinaendana nyota y mtu husika na huandaliwa kwa mtu husika ili kifanye Kaz ipasavyoπŸ™πŸ½
 
NYOTA YAKO LEO IJUMAA JULAI 04/2025:

UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU MBANDE FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
IMG-20250629-WA0012(8).jpg

MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.

β˜…KAA– CANCER πŸ¦€ (Juni 21– Julai 22)

Msaada mkubwa unatakiwa utoe nyumbani hali si nzuri kwa sasa fanya mipamgo ya kukamilisha maombi uliyoyafanya ila unatakiwa uandike barua sio bila maandishi Utapata ila fuatana na kiongozi au mtu aliyekuzidi umri leo utapokea mialiko ila unatakiwa kuwa na familia yako kamilisha mpango wakununua kitu cha thamani siku ya leo unaweza kuitumia kwa kujipongeza kutokana na mafanikio uliyoyafikia.

β€’Mahusiano yako hayapo sawa ila kwa sasa usiyape kipaumbele kwakuwa sio muda wake sahihi kuyahimili kwakuwa hayawezi kutengemaa kwa sasa hivyo angalia mambo yako ya kiuchumi kwa sasa hayo ytatengemaa yenyewe.

β˜…SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)

Msaada unao uhitaji utafanikiwa kuupataila ni baada ya ya kulalamika sana, siku yenye utata utata utakumbana na lawama kelele na mizozo Kuwa mpole utajikuta umeshtakiwa utapokea taarifa za kuuguliwa na mtoto au kutakiwa kutoa msaada Masuala ya starehe jiepushe nayo kwa leo yatakuingiza kwenye matatizo.

β€’Mahusiano yako yatakuwa na utulivu mkubwa kwa upande wako na migogoro au ugomvi wowote ambao ulikuwepo basi utapoa na amani itarejea.

β˜…MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)

Utakuwa na maelewano na mwenzio utafurahia mahusiano mapya ambayo umeyaanzisha hivi karibuni Maombi ya kandarasi uliyoiomba yamekubaliwa kaa tayari kwa kuingia makubaliano UtajikutΓ  umefanikiwa kuwaunganisha waliotaka kuungana masuala ya ndoa posta na uchumba yatakushughulisha sana kwa leo.

β€’Kazi zako zinaonekana kuwa na mashaka mengi na kelele za hapa na pale lakini yote yanaonekana yataenda vizuri baada ya muda.

β˜…MIZANI– LIBRA βš–οΈ (September 24– Oktoba 23)

Siku itakuwa ngumu kila kitu kitakuwa kinajivuta Kuzorota kwa shughuli zako kutakupa wasiwasi uΓ±ashauriwa kufikiria njia nyingine ya kujiondoa katika hali hiyo tumia nguvu kufanya baadhi ya mambo taarifa za leo si nzuri ni za majanga yatakayo sabishwa na moto Usifanye safari leo hautafika salama na na kwa muda ulio utarajia.

β€’Unaonekana kuuhitaji uhuru fulani kwenye maisha yako na unahisi kama upo kifungoni kutokana na kushindwa kuamua baadhi ya mambo yako na unahisi kushindwa au kukata tamaa juu ya mambo fulani lakini mipango yako itakuwa sawa na itaenda vizuri.

β˜…NG'E– SCORPION πŸ¦‚ (Oktoba 24– November 21)

Kuna safari ya kwenda kwenye mazishi ya mtu mkubwa ambaye alikuwa ni wa karibu yako tarajia kukutana na mtu ambaye umekuwa ukimtafuta kwa muda mrefu unatakiwa kuhama au kubadirisha baadhi ya mambo yako Kuna mgeni yuko njiani kuja kwako atakufikishia ujumbe kutoka mbali.

β€’Safari zako ni nzuri hazina uzito wowote pia zanafaida kwako.

β˜…MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)

Utapewa nafasi ya juu zaidi kazini kwako utapewa kituo kukiongoza Kwenye masuala ya biashara yatakuletea mafanikio makubwa katika siku za hivi karibuni utajikutΓ  unaheshimiwa na kila mtu tarajia kupata uhamisho wa kwenda kufanyia kazi maeneo ya mbali.

β€’Utapata matumaini mazuri na makubwa zaidi kwenye mambo yako.

β˜…MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)

Usiwaweke marafiki na wanachama mbali na wewe tarajiwa kupata mafanikio kupitia wao Wanakuandalia nafasi ya uongozi usiikatae ndio mwanzo wa mafanikio yako Ni wakati wa kujishughulisha na masuala yanayohusu jamii ndio yatakayo kuletea maslahi kwako.

β€’Kazi zako zitakupa muelekeo mzuri na mipango yako itaenda vizuri.

β˜…NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)

Chukua tahadhari tahadhari marafiki watakukwamisha kwa makusudi wapo karibu yako kwa ajili ya kujinufaisha wao ndio chanzo cha wewe kudondoka Achana nao na wewe jiweke sawa waone wataalamu watakusaidia Badirika acha mambo ya kizamani.

β€’Safari zako leo sio nzuri panga siku nyingine.

β˜…SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)

Itapokea taarifa au kitu ambacho hakijatumika Umetokea kwenye hali ya kukwama kwa mambo yako na kuzongwa na maadui zako kukufanyia fitna UΓ±ashauriwa kufikiria njia nyingine ya kutekeleza mipango yako achana na mambo ya zamani Anzisha shughuli yoyote ile itakwenda vizuri kwa kipindi hiki.

β€’Mahusiano yako yapo vizuri changamoto hizi ni za kupita tu.

β˜…PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)

Matokeo ya jambo ulilolianzisha utaanza kuona matunda yake Leo utapata utakacho. Ahadi ya kupewa kazi na pesa itatimia tarajia kupata pesa kwa ajili ya kazi Yote kwa yote kumbuka kuwa matumizi yatakuwa makubwa Kumbuka kuweka akibawa akili ya baadae.

β€’Utapata maudhi maudhi leo na haja zako hazitatimia ila kwa taabu sana.

β˜…NG'OMBE– TAURUS πŸ‚ (Aprili 21– May 20)

Ili kuendeleza upatikanaji wa kazi na pesa ulioanza kuuona hivi karibuni unashauriwa uache tabia ya kutulia sehemu moja Toka kajiangaishe huko utakutana na jamaa zako watakao kupa ushirikiano Fanya kuwasiliana na jamaa na ndugu utafanikiwa kupata utakacho kujitenga kutakukosesha mafΓ nikio.

β€’Mahusiano yako bado huyaelewi lakini tuliza akili utayaelewa usihadaike na moyo wako kwakuwa unakuongoza kwenye matatizo unayempenda hana nia wala mpango mzuri na wewe zaidi tulia na utumie zaidi akili yako kuchagua mazuri yako yakufike.

β˜…MAPACHA– GEMINI β™Š ((May 21– Juni 20)

UΓ±ashauriwa kufikiria njia nyingine ya kujiondoa katika hali hii uliyo nayo ufumbuzi wa kudumu katika jambo hili upo mikononi kwa wazazi na viongozi wako rudisha mahusiano na nduguyo na shughulikia mambo ya mila msikilize mzazi mwenzio ana hoja katika madai yake na yanaahitaji kufanyiwa kazi Siku nzuri kama itashughulikia masuala ya nyumbani na kiwa pamoja na familia.

β€’Utapata faraja kubwa leo na marafiki zako watakuwa sehemu ya mchango wa furaha yako na mengi katika haja zako zitatimia kwa namna usiyoitarajia.

β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema

MAALIM DOGOLI KINYAMKELA πŸ’€β˜ οΈ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.
 
VIJUE VITO NA MADINI YANAYOENDANA NA NYOTA YAKO.

SEHEMU YA PILI

Dr. DOGOLI KINYAMKELA πŸ’€β˜ οΈ

Kwenye masomo yaliyopita, nilifafanua kwa kirefu kusema kwamba kila Nyota ina madini na Vito vyake maalum, vinavyoihusu.
Kwa wanaosoma masomo haya Kwa njia ya mtandao (Whatsapp) nilivielezea Vito vya thamani (mawe) almaarufu gemstones pamoja na madini ambayo yanaendana na kila Nyota.

Kwa wale tuliokwisha soma ile mada ya REINCARNATION mtakumbuka kwamba kila kiumbe kinahusiana na kiumbe kingine kwa namna moja au nyingine, yaani tumeunganishwa na uumbaji wote.

Sisi watu hatuwezi kuishi bila uwepo wa viumbe vingine.
Hatuwezi kuishi bila wanyama, ndege, wadudu, mimea, mawe, maji, hewa, Nyota, Sayari nk. nk. nk.

Tunategemeana.

Kuna nguvu za kiroho tunavuna kutoka kwa kila kiumbe.

Viumbe vinatusaidia kuvuna (absorbs) NISHATI CHANYA na kuondoa (emits) NISHATI HASI!!

Kumbuka maisha ya kila kitu ya yanaongozwa na NISHATI na kila kitu ni NISHATI.

Hata mimi na wewe ni NISHATI, unaweza kuita ROHO ukipenda!

Mfano unaweza kutumia kitunguu swaumu kuondoa uchawi unaotokana na kijicho (evil eye)
Unaweza kutumia mafuta au chochote kinachotokana na Ngekewa kuvuta bahati mbalimbali.

Unaweza kutumia maji ya chemichemi kuamsha nguvu zilizolala.

Unaweza kutumia chumvi ya mawe kuondoa mikosi, nuksi nk.

Hii ni kuonesha kwamba KIROHO tunavihitaji vitu vyote kutusaidia.

Ni Power of Nature.

Kuna watu wanafuga mbwa au paka ili kuwasaidia kutambua endapo wachawi watakaribia nyumba zao.
Kumbuka mnyama Paka amebeba nishati ya hali ya juu ya utambuzi wa nguvu za kiroho zilizo safi (positive or holy) na hata chafu (negative or evil)

Umewahi kuona namna ambavyo kila mtu anapotembelea nyumba yoyote alipo Paka, lazima Paka amkague!

Unajua anakuwa anakagua nini?

Anakagua kuona kama ni "mtu mzuri" au "mtu mbadi" (kama Mwaisa🀣🀣🀣)

Nimejaribu japo kwa kifupi kuwaelezea hayo ili mjue kuwa SISI NA UUMBAJI WOTE TU UMOJA, YAANI 'we are connected"

Tuendelee sasa na elimu ya mawe au vito pamoja na madini kwa kila Nyota . . .

Kwenye Kanuni ya Uumbaji, kila roho (consciousness) au kila mtu, tuseme 'binadamu' ameumbwa ili kutimiliza kusudi fulani, ndipo arejee kwenye asili yake (super cosmic being)

Mtu asipofanikiwa kutimiza kusudi lake uwa anapewa nafasi nyingine tena na maumbile; maana sheria ya maumbile inatoa nafasi au awamu karibu 9 (108 formula) za ku- reincarnate, yaani kurudi duniani kukamilisha kusudi ambalo hukulikamilisha huko nyuma.

Ukiona kwenye NATAL CHART yako kuna emptiness (nyumba tupu) ujue ulishakamilisha kusudi kwenye huo mlango/ nyumba.
Palipo na Malaika au Planets, panakuwepo na jukumu au majukumu ambayo hukuyakamilisha.

Sisi sote tulishaishi duniani maelfu ya miaka mingi iliyopita, tunakuja na kuondoka, tunakuja na kuondoka bila kukamilisha yote, bila kutimiliza yote ndio maana tumerudishwa tena, tupo hapa Mimi, wewe na yule for unfinished businesses!

Ndio maana nawasisitiza watu wote kuwa makini na pale ambapo una wajibu, ujikite hapo kwa bidii zote.

Endapo mtu atazaliwa tena na tena mpaka zile awamu zake zikaisha, basi ANASHUSHWA CHEO; kutoka kwenye HUMANOID KINGDOM (umbo la kibinadamu) kwenda kwenye ANIMAL KINGDOM na anapewa mwili wa mnyama fulani.
Wanyama hawana nafasi ya ku-reincarnate, wakifa bila kutimiza makusudi ya kuwepo kwao duniani, miili yao inaharibika, lakini roho zao zinaingia kwenye PLANT KINGDOM.

Mimea, miti na kila kinachoota ardhini na chenyewe kina wajibu duniani, lazima kiutimize; kisipofanya hivyo kinashushwa daraja na kuingia kwenye MINERAL KINGDOM!

Nilishafundisha hayo kwa marefu na mapana kwenye mada ya REINCARNATION, huko nyuma.

Mawe yote, madini, mchanga na vyote vilivyopo chini ya ardhi ni roho au consciousnesses ambazo zipo kwenye Mineral Kingdom!

Mamilioni ya miaka huko nyuma, hizo Consciousnesses ziliwahi kuwa kwenye maumbo ya binadamu (humanoid kingdom)

Kwa hiyo hizo ni Consciousnesses, ni roho.
Zinajua kila kitu ila ziko dormant.

Nguvu nyingi sana za kiroho zinapatikana kwenye ardhi na chini ya ardhi kwa sababu roho za wazee waliowahi kuishi thousands and thousands of years ZIMELALA PALE!

Ndio maana kinyota, kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mtu wa nyota fulani na mawe/ Vito pamoja na madini aina fulani.

SOMO LITAENDELEA . . .

Kwa msaada wa tiba ya nyota, maisha, uchumi, mahusiano na magonjwa, wasiliana nasi

By Dr DOGOLI KINYAMKELA πŸ’€β˜ οΈ , mtafiti na mkufunzi wa maswala ya kiroho
 
Watu wa nyota ya CAPRICORN β™‘ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS β™’ NDOO
Jumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto,
Vaa rangi ya jumamos ambayo NYEUSI, Pia saa 12 ahsubuhi na saa saba mchana choma mafusho ya MIATUN-SAILA ili kuongezea nyota yako nguvu.
HAPPY SATAN DAY

By Dr DOGOLI KINYAMKELA πŸ’€β˜ οΈ
 
NYOTA YAKO LEO JUMAMOS JULAI 05/2025:

UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
IMG-20250629-WA0012(9).jpg

MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.

β˜…KAA– CANCER πŸ¦€ (Juni 21– Julai 22)

Utajikita unakwaruzana na mtu utatawaliwa na hasira Utagombana na mtu aliye kuzidi umri kuwa makini na majibu yako yakutia matatani Hali ya afya yako bado inasuasua utapokea taarifa za mgonjwa muda kabla ya adhuhuri Ni vizuri ukawa umetulia nyumbani.

β€’Umejitahidi sana na uko karibu sana na kufanikiwa itakuwa ni aibu kukata tamaa kwa sasa.

β˜…SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)

Utapokea msaada na kupata suluhu kwenye shughuli zako utakuwa ni mwenye kufurahia jambo Utakuwa na maelewano na wale waliokuwa adui zako huyu uliyeanzisha mahusiano nae hivi karibuni atakuwa msaada mkubwa kwako Siku yenye furaha na utafanikiwa kupata shughuli uliyoiomba Masuala ya uchumba posa na ndoa yatakuhusisha ni nawe pia tegemea kuingia mkataba mpya.

β€’Pamoja na mazingira mazuri ya sayari kuwa yanafaa tumia zaidi hali hiyo na usonge mbele na mipango yako.

β˜…MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)

Taarifa za majanga ya moto misiba na ajali zitakufikia leo Ni siku yenye uzito katika mambo yako yote kila utakalotaka kufanya kwa leo litakusumbua Utafanikiwa katika mambo yanayohitaji kutumia nguvu usifanye safari leo utalazimika kuiahirisha Kelele lawama na ugomvi vitatawala kuna kupoteza kitu au kuibiwa kitu cha thamani kwako.

β€’Kwa kuwa umeweka lengo akilini mwako utalifanikisha kwa urahisi mkubwa kitu ambacho kinakusaidia na kukufurahisha.

β˜…MIZANI– LIBRA βš–οΈ (September 24– Oktoba 23)

Utapokea mgeni kutoka mbali ambaye atakufikisha taarifa muhimu suala la safari au kuhama liko pale pale unatakiwa kuchukua hatua za haraka kubadirisha baadhi ya mipango yako ili iendane na wakati huu.

β€’Ikiwa utakutana na vizuizi na shida hakikisha unaomba msaada na ushauri kutoka kwa watu wanaokuzunguka.

β˜…NG'E– SCORPION πŸ¦‚ (Oktoba 24– November 21)

Ni kipindi kingine cha mafanikio utajikutΓ  umepangiwa kazi nyingine tena yenye mamlaka Masuala ya kesi yatakwisha na unashauriwa kutulia maana kuna siri imevuja biashara nazo ziko vizuri na zitakulea heshima kubwa sana.

β€’Kuandaa na kupanga ni muhimu kwa kuleta kile kilicho akilini mwako kwa kukikihidhirisha mambo yako.

β˜…MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)

Utajikuta katika nafasi nzuri ya kupangilia mambo yako vizuri marafiki watakuunga mkono tumia siku hii kujadiliana nao shughuli nzuri ni za kijamii zitawapa mafΓ nikio Kutaneni fanyeni kikao kuwΓ  peke yako hakutakupa manufaa.

β€’Una ndoto na matamanio mengi lakini ni wakati wa kuhama sasa kutoka kwenye nadharia na kufanya kwa vitendo.

β˜…MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)

Usijiangaishe na chochote tafuta ufumbuzi wa kudumu katika shughuli zako Adui zako bado wanahangaika na wewe walikofikia ni pabaya Wamekufunga kila upande unahitaji uondolewe vikwΓ zo.

β€’hasira zako pia ujaribu kuzituliza ili kuepuka mivutano na mabishano na watu waliokuwa karibu yako.

β˜…NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)

Unatakiwa kuanzisha chochote ili ujikwamue katika wimbi la kukosa kujiendesha usipende kuwΓ  peke yako mara kwa mara hali hiyo inakuongezea mikosi tafuta marafiki wapya Uliokuwa nao kwa sasa hawana manufaa nawe wapo kwa maslahi yao.

β€’Unajiskia vizuri na ni mwenye shauku matamanio Lakini unapaswa kuchukua tahadhari ili kupunguza shauku tamaa yako isije ikakusababisha kufanya makosa ambayo itakuwa ngumu kuyarekebisha hapo baadae.

β˜…SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)

Leo utafarijika kwa kupata unachokihitaji ile hali ya kukwama kidogo itapungua tarajia kupata kazi na mipango yako ya pesa itakuwa mizuri kuna pesa utaipata leo uΓ±ashauriwa kuitumia kwa lengo lake Usibadili malengo na madhumuni yake.

β€’Safari zako ni nzuri sana kwa Leo pia itakusaidia Katika mipango yako.

β˜…PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)

Leo utakuwa na mawasiliano na jamaa zako unatakiwa kuwashirikisha taarifa ulizopokea Utapata kitu au taarifa za mimba au kupatikana kwa mtoto.

β€’Anzisha ukaribu na nduguzo ambao umekuwa imefifia kwa muda mrefu sasa fanya kuwatembelea.

β˜…NG'OMBE– TAURUS πŸ‚ (Aprili 21– May 20)

Suala la kazi na pesa linakutatiza kwa kipindi hiki UΓ±ashauriwa kukutana na wazee watakusaidia namna ya kulipatia ufumbuzi.

β€’Tumia siku ya leo kuwa nyumbani na kubadilishana fikra na viongozi wako Vijana wadogo hawakufai.

β˜…MAPACHA– GEMINI β™Š (May 21– Juni 20)

Tarajia kupata msaada kutoka kwa kijana mdogo au mtoto mambo yako mengi yataonyesha muelekeo mzuri Utatimiza lengo lako ila fuatilia mkopo uliouomba utaupata Shughulikia suala la elimu baada ya haya yote pata muda wa kujiburudisha siku nzuri kwako kufanya starehe.

β€’Kazi au biashara zako au maswala yako ya kipato yanaonekana yapo vizuri na utanufaika au utaona faida ya mauzo yako leo.

β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema

MAALIM DOGOLI KINYAMKELA πŸ’€β˜ οΈ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.
 
VIJUE VITO NA MADINI YANAYOENDANA NA NYOTA YAKO.

SEHEMU YA PILI

Dr. * DOGOLI KINYAMKELA πŸ’€β˜ οΈ*

Kwenye masomo yaliyopita, nilifafanua kwa kirefu kusema kwamba kila Nyota ina madini na Vito vyake maalum, vinavyoihusu.
Kwa wanaosoma masomo haya Kwa njia ya mtandao (Whatsapp) nilivielezea Vito vya thamani (mawe) almaarufu gemstones pamoja na madini ambayo yanaendana na kila Nyota.

Kwa wale tuliokwisha soma ile mada ya REINCARNATION mtakumbuka kwamba kila kiumbe kinahusiana na kiumbe kingine kwa namna moja au nyingine, yaani tumeunganishwa na uumbaji wote.

Sisi watu hatuwezi kuishi bila uwepo wa viumbe vingine.
Hatuwezi kuishi bila wanyama, ndege, wadudu, mimea, mawe, maji, hewa, Nyota, Sayari nk. nk. nk.

Tunategemeana.

Kuna nguvu za kiroho tunavuna kutoka kwa kila kiumbe.

Viumbe vinatusaidia kuvuna (absorbs) NISHATI CHANYA na kuondoa (emits) NISHATI HASI!!

Kumbuka maisha ya kila kitu ya yanaongozwa na NISHATI na kila kitu ni NISHATI.

Hata mimi na wewe ni NISHATI, unaweza kuita ROHO ukipenda!

Mfano unaweza kutumia kitunguu swaumu kuondoa uchawi unaotokana na kijicho (evil eye)
Unaweza kutumia mafuta au chochote kinachotokana na Ngekewa kuvuta bahati mbalimbali.

Unaweza kutumia maji ya chemichemi kuamsha nguvu zilizolala.

Unaweza kutumia chumvi ya mawe kuondoa mikosi, nuksi nk.

Hii ni kuonesha kwamba KIROHO tunavihitaji vitu vyote kutusaidia.

Ni Power of Nature.

Kuna watu wanafuga mbwa au paka ili kuwasaidia kutambua endapo wachawi watakaribia nyumba zao.
Kumbuka mnyama Paka amebeba nishati ya hali ya juu ya utambuzi wa nguvu za kiroho zilizo safi (positive or holy) na hata chafu (negative or evil)

Umewahi kuona namna ambavyo kila mtu anapotembelea nyumba yoyote alipo Paka, lazima Paka amkague!

Unajua anakuwa anakagua nini?

Anakagua kuona kama ni "mtu mzuri" au "mtu mbadi" (kama Mwaisa🀣🀣🀣)

Nimejaribu japo kwa kifupi kuwaelezea hayo ili mjue kuwa SISI NA UUMBAJI WOTE TU UMOJA, YAANI 'we are connected"

Tuendelee sasa na elimu ya mawe au vito pamoja na madini kwa kila Nyota . . .

Kwenye Kanuni ya Uumbaji, kila roho (consciousness) au kila mtu, tuseme 'binadamu' ameumbwa ili kutimiliza kusudi fulani, ndipo arejee kwenye asili yake (super cosmic being)

Mtu asipofanikiwa kutimiza kusudi lake uwa anapewa nafasi nyingine tena na maumbile; maana sheria ya maumbile inatoa nafasi au awamu karibu 9 (108 formula) za ku- reincarnate, yaani kurudi duniani kukamilisha kusudi ambalo hukulikamilisha huko nyuma.

Ukiona kwenye NATAL CHART yako kuna emptiness (nyumba tupu) ujue ulishakamilisha kusudi kwenye huo mlango/ nyumba.
Palipo na Malaika au Planets, panakuwepo na jukumu au majukumu ambayo hukuyakamilisha.

Sisi sote tulishaishi duniani maelfu ya miaka mingi iliyopita, tunakuja na kuondoka, tunakuja na kuondoka bila kukamilisha yote, bila kutimiliza yote ndio maana tumerudishwa tena, tupo hapa Mimi, wewe na yule for unfinished businesses!

Ndio maana nawasisitiza watu wote kuwa makini na pale ambapo una wajibu, ujikite hapo kwa bidii zote.

Endapo mtu atazaliwa tena na tena mpaka zile awamu zake zikaisha, basi ANASHUSHWA CHEO; kutoka kwenye HUMANOID KINGDOM (umbo la kibinadamu) kwenda kwenye ANIMAL KINGDOM na anapewa mwili wa mnyama fulani.
Wanyama hawana nafasi ya ku-reincarnate, wakifa bila kutimiza makusudi ya kuwepo kwao duniani, miili yao inaharibika, lakini roho zao zinaingia kwenye PLANT KINGDOM.

Mimea, miti na kila kinachoota ardhini na chenyewe kina wajibu duniani, lazima kiutimize; kisipofanya hivyo kinashushwa daraja na kuingia kwenye MINERAL KINGDOM!

Nilishafundisha hayo kwa marefu na mapana kwenye mada ya REINCARNATION, huko nyuma.

Mawe yote, madini, mchanga na vyote vilivyopo chini ya ardhi ni roho au consciousnesses ambazo zipo kwenye Mineral Kingdom!

Mamilioni ya miaka huko nyuma, hizo Consciousnesses ziliwahi kuwa kwenye maumbo ya binadamu (humanoid kingdom)

Kwa hiyo hizo ni Consciousnesses, ni roho.
Zinajua kila kitu ila ziko dormant.

Nguvu nyingi sana za kiroho zinapatikana kwenye ardhi na chini ya ardhi kwa sababu roho za wazee waliowahi kuishi thousands and thousands of years ZIMELALA PALE!

Ndio maana kinyota, kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mtu wa nyota fulani na mawe/ Vito pamoja na madini aina fulani.

SOMO LITAENDELEA . . .

Kwa msaada wa tiba ya nyota, maisha, uchumi, mahusiano na magonjwa, wasiliana nasi

By Dr DOGOLI KINYAMKELA πŸ’€β˜ οΈ , mtafiti na mkufunzi wa maswala ya kiroho
 
VITO - MADINI - DHAHABU - UTENDAJI WAKE.
MOONSTONE : JIWE LA THAMANI LINALOSAIDIA WANAWAKE KUSHIKA MIMBA!

Sehemu ya nne

Dr * DOGOLI KINYAMKELA πŸ’€β˜ οΈ*

Ukisoma Elimu ya Vito, utagundua jinsi ambavyo kuna maajabu makubwa sana katika matumizi yake.

Kuna mamia kwa mamia ya mawe ya vito (gemstones) na kila jiwe lina kazi yake maalum katika mwili na maisha ya binadamu.

Kuna mawe yanasaidia kufungua uchumi uliofungwa (mfano Citrine - the Merchant stone), kuzuia uchawi na nguvu hasi mwilini (mfano Pyrite), kuamsha machale (mfano Amethyst), kuchochea utulivu wa ndani wa hali ya juu (mfano Aquamarine) nakadhalika.
Mawe ni mengi kwa kweli na kila jiwe lina kazi yake maalum.

MOONSTONE ni jiwe linaloakisi tabia zote za Mbaramwezi.
Mbaramwezi ni gimba la angani lenye sifa ya umama (motherly traits) na nguvu ya kike (feminine energy)
Moonstone ni jiwe lenye nguvu ya kuchota baraka za asili kutoka kwa Mbaramwezi na kuzipenyeza kwenye mwili wa mvaaji.
Pamoja na faida nyingi za hili jiwe, pia linawasaidia akina mama wenye changamoto ya kutoshika au kuharibu mimba.
Linasaidia kubalansi homoni za kike na kuzuia uwezekano wa mimba kuharibika.

Endapo una changamoto ya hormonal imbalance (tatizo la homoni) kiasi cha kushindwa kushika mimba au una changamoto ya fallopian tube obstruction (tatizo la mirija ya kupitisha mayai kuziba) na shida ya uterine or cervical problems (changamoto kwenye tumbo la uzazi), basi jiwe la Moonstone litakusaidia kuondoa changamoto hizo na hivyo kukusaidia kushika mimba bila kuharibika mpaka wakati wa kujifungua.
Unaweza kutumia jiwe hili kama Pete au ukavalia kwenye shanga (waist bead) au ukavaa shingoni kama Kidani.
Kama kuna mwanamke ana hiyo changamoto msaidie kuitatua kwa njia hiyo.

Kwa msaada wa tiba ya nyota, maisha, uchumi, mahusiano na magonjwa, wasiliana nasi

By Dr DOGOLI KINYAMKELA πŸ’€β˜ οΈ , mtafiti na mkufunzi wa maswala ya kiroho
 
NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JULAI 06/2025:

UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.

MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.

β˜…KAA– CANCER πŸ¦€ (Juni 21– Julai 22)

Utatimiziwa haja zako Leo kwa namna usiyoitarajia kabisa na mipango yako mingi itakuwa vizuri zaidi na unachokilazimisha hakitakaa kitimie achana nacho kitakuletea matatizo baadaye.

β€’Nyota yako mara nyingi umekuwa mpotezaji bahati zako huwa zinapita na nyingi ni maneno hakuna utekelezaji jaribu kuomba muongozo mzuri kwa watu wazima au watu wa dini wanaoaminika ili kutulia kwa bahati zako kupatikane.

β˜…SIMBA LEO 🦁(Julai 23– Agosti 22)

Utasikia habari mbaya leo na ikiwa upo safarini safari yako itajawa na uzito ugumu na misukosuko ila mtafika salama jitahidi ibada zaidi

β€’Usinunue kitu kipya leo haswa chakula kitakusumbua sana leo siku nzima na unaweza kuugua kabisa.

β˜…MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)

Bosi wako atakupa habari nzuri sana na utafurahishwa na mengi pia haja zako zitatimia kwa wepesi mkubwa zaidi

β€’Na jitahidi kama unaweza leo tupia vaa vizuri kisha tembea sehemu nzuri uzipendazo kuna kitu kizuri kitakutokea au utajifunza kitu muhimu sana kwako na utakuwa mwenye bahati nzuri.

β˜…MIZANI– LIBRA βš–οΈ (September 24– Oktoba 23)

Utapata maudhi maudhi na utasikia habari ya kukunyima furaha siku ya leo ingawa itakuwa ni habari nzuri Ila kwako itakuumiza.

β€’Jitahidi siku ya leo kwenda sawa na rangi ya bahati ya siku ya Leo ili kupunguza uzito uliopo.

β˜…NG'E– SCORPION πŸ¦‚ (Oktoba 24– November 21)

Afya yako itakuwa vizuri zaidi na mipango yako mingi unayoisubiri itakamilika usiwe na mawazo wala mashaka mabaya tegemea kufanikiwa sana baada ya ugumu huu unaoupitia kwa sasa.

β€’Pia nyumbani kwenu kuna ugomvi jitahidi usiuingilie mwisho utalaumiwa wewe cha msingi fanya kile uwezacho kwa nafasi yako na watu watabaki kuwa mashahidi kwa wema wako.

β˜…MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)

Lipa madeni ya watu ili kuepuka kelele zitakazokuzonga hivi karibuni na haja zako zitatimia

β€’Pia kuna mtu atakupa unachokitaka jitahidi ukitumie kwa kusudio husika kwa kuwa hakitadumu kitu hicho.

β˜…MBUZI– CAPRICORN 🐐(December 22– January 20)

Maradhi yako bado yatakusumbua sumbua Leo na siku yako hii inaonekana itajawa na maudhi sana ila vumilia ni upepo tu mbaya na unapita

β€’Mahusiano yako yatakuwa na migogoro migogoro na kelele za hapa na pale ila zote ndio ukamilifu wa mahabba yenu hivyo usikate tamaa jione mwenye bahati kubwa hapo ulipo.

β˜…NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)

Mtu wako wa karibu atakufurahisha mno siku ya Leo licha ya kukuudhi hapo awali ila stahmili kwa yote unayoyaona hakuna shari yoyote kati yenu ila mwenzako ana vita na uadui unaomfuatilia sana kwa sasa hivyo jitahidi ibada zaidi juu yenu.

β€’Pia kila huzuni ina ukomo wake.

β˜…SAMAKI– PISCES 🐟(February 20– March 20)

Leo lipa madeni yako au dai madeni yako utalipwa na unao wadai leo wapo kamili ila ikipita siku ya Leo watakuwa weupe wasio na kitu na utashindwa kupata haki yako hivyo leo fatilia kamilisha madeni ya watu ili amani iendelee upande wako.

β€’Utapata furaha leo na habari njema pia kuna mtu atahitaji urafiki na wewe au ukaribu zaidi na wewe kuwa nae lakini mtu huyo yupo na tamaa zake na sio wakumuamini sana.

β˜…PUNDA– ARIES 🐏(March 21– Aprili 20)

Tumbo lako leo litavurugika kwa vyakula vya njiani unavyokula au vyakupewa hivyo kuwa makini Leo na utakacholetewa kutoka mbali mara nyingi hakina kheri na wewe pia leo usiruhusu mawazo yakutawale utatibua maradhi yako yaliyojificha.

β€’Siku ya leo pia kuna jambo litakunyima furaha lakini litapita na kuna mtu anatamani ukaribu na wewe sio mtu mzuri ataharibu ndoa yako kuwa nae makini.

β˜…NG'OMBE– TAURUS πŸ‚ (Aprili 21– May 20)

Utakutana na watu au marafiki zako uliopotezana kwa muda mrefu au wateja mliopotezana kwa kipindi kirefu na mipango yako ya kipesa au kikazi itafunguka na utapata bahati nzuri sana leo nakuendelea.

β€’Jitahidi ibada zaidi na utoe sadaka siku ya Leo utakutana na vingi vizuri na utafurahia mengi.

β˜…MAPACHA– GEMINI β™Š(May 21– Juni 20)

Ugomvi wowote ulionao hauna kheri na wewe zaidi utakachokifanya chochote kibaya kitakurudia mwenyewe na kitakuharibu zaidi kuliko unavyotarajia bora ujiepushe na uyaache yalivyo kuliko ufanye chochote inaonekana kila utakaemuelezea jambo lako atalipuuza kwa leo hivyo nyamaza pambana na uvumilie kwakuwa leo ni siku nzuri sana kwako ila haitaenda sawa kwa jambo hili.

β€’Pia tegemea kupata faida kwenye biashara zako Leo na kazi zako zitakuendea vizuri ila jumapili hii kwako itakuwa na maudhi mengi na kuna mtu utagombana nae au atakutafuta ugomvi Kuwa makini sana Siku ya leo.

β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema

MAALIM DOGOLI KINYAMKELA πŸ’€ ☠️ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.
 
Kama wewe ni nyota ya KAA- CANCER
Kesho Jumatatu, ni tarehe SABA ikumbukwe mwezi huu ni wasaba, namba ya kiroho ya KAA ni 7, hakikisha kesho saa saba unafanya jambo litakalo inua maisha yako milele
 
NYOTA YAKO LEO JUMATATU JULAI 07/2025:

UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
IMG-20250629-WA0012(10).jpg

MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.

β˜…KAA– CANCER πŸ¦€ (Juni 21– Julai 22)

Leo fanya kila njia usiwe mpweke Kaa karibu na jamaa zako wape mawazo yako na waombe wakupe ushauri kutokana na changamoto zinazokukabili.

β€’Muda umefika sasa wa kuondoa chochote kibaya na mwishowe ufuate kile unachotaka ambacho ndio kile unachokistahili.

β˜…SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)

Leo inaonekana Kuna mambo muhimu ya kwako na ya watu wengi ambayo unataka kuyafanya na yanahitaji pesa ambazo huna Hutaweza kuyatatua matatizo yako peke yako unahitaji msaada wa watu wengine.

β€’Usinunue kitu kipya leo haswa chakula kitakusumbua sana leo na siku nzima na unaweza kuugua kabisa.

β˜…MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)

Leo utakutana na rafiki ambaye atakuhitajia sana umsaidie katika jambo la faragha Usimnyime anachohitaji kwa sababu ameteseka sana Kumbuka huko nyuma ushawahi kujikuta ukiwa katika hali kama yake.

β€’Jitahidi siku ya leo kwenda sawa na rangi ya bahati ya siku ya Leo ili kupunguza uzito uliopo.

β˜…MIZANI– LIBRA βš–οΈ (September 24– Oktoba 23)

Leo jitahidi kutekeleza ahadi ulizowaahidi watu Jambo hili litakupa shida usipolifanyia kazi kiasi cha kuwapoteza marafiki zako Kama ikiwa ni vigumu kwako kutimiza ahadi basi waambie wasubiri lakini kamwe usighairi.

β€’Jitahidi kama unaweza leo tupia vaa vizuri kisha tembea sehemu nzuri uzipendazo kuna kitu kizuri kitakutokea au utajifunza kitu muhimu sana kwako na utakuwa mwenye bahati nzuri.

β˜…NG'E– SCORPION πŸ¦‚ (Oktoba 24– November 21)

Leo shirikiana na mtu yoyote kwa sababu unaweza kupata maarifa ya kufanikisha shughuli zako muhimu ulizonazo kwa sasa Hata hivyo kuwa macho wadanganyifu ni wengi na hawalali wakifikiri namna ya kukudhuru.

β€’kuna mtu atakupa unachokitaka jitahidi ukitumie kwa kusudio husika kwa kuwa hakitadumu kitu hicho.

β˜…MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)

Leo siyo siku nzuri sana kwako na usiwe au usitoe ahadi zozote hasa mchana huu Tumia siku ya leo kufanya mambo yako mwenyewe yale yote ambayo unayaona ni ya muhimu Jitahidi kujenga umoja wako na wa familia yako.

β€’Mahusiano yako yatakuwa na migogoro migogoro na kelele za hapa na pale ila zote ndio ukamilifu wa mahabba yenu hivyo usikate tamaa jione mwenye bahati kubwa hapo ulipo.

β˜…MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)

Inaonekana utajihisi kuwa na hasira na utakasirika hovyo bila ya kuchokozwa na mtu yoyote Nyota zinakushauri jizuie kushiriki katika ubishani wowote.

β€’Siku ya leo pia kuna jambo litakunyima furaha lakini litapita na kuna mtu anatamani ukaribu na wewe sio mtu mzuri ataharibu ndoa yako kuwa nae makini.

β˜…NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)

Leo itakuwa siku ya bahati kwa sababu mipango yako itakwenda kama unavyotarajia Siri kubwa ya wewe kupata na bahati hiyo ni kujikalia nyumbani na ikiwezekana kulala mapema na usijihangaishe.

β€’Utapata furaha leo na habari njema pia kuna mtu atahitaji urafiki na wewe au ukaribu zaidi na wewe kuwa nae lakini mtu huyo yupo na tamaa zake na sio wakumuamini.

β˜…SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)

Leo kaa na mtu wako wa karibu na mzungumze kwa kina mambo yaliyo moyoni kwako ili ipatikane suluhu Kwa kutumia njia hii utapata majawabu kwa matatizo yanayokukabili.

β€’Mshahara wako ulioupokea awamu hii jitahidi uwe wa mwisho kuishia kulipa madeni ya watu na uwe wa mwisho kuisha bila kufanya kitu cha maana pata mafuta ya Qudra kuzuia tatizo hilo na kukuvutia bahati zako nzuri na kazi zako zitafunguka zaidi.

β˜…PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)

Leo una uwezo wa kufikia kileleni kwa jambo lolote unalotaka kulifanya na hutopata pingamizi zozote Ni siku nzuri ya kujumuika na watu na kuwasaidia watakaohitaji msaada wako Kumbuka ukifanya wema kwao ni kama unajifanyia mwenyewe.

β€’Jitahidi ibada zaidi na utoe sadaka siku ya Leo utakutana na vingi vizuri na utafurahia mengi.

β˜…NG’OMBE– TAURUS πŸ‚ (Aprili 21– May 20)

Usijishughulishe na mambo ambayo watu wanayasema kwa sababu shida na matatizo waliyonayo hivi sasa ni kujitakiya wenyewe Kama walivyojitumbukiza katika dhiki ni juu yao kujisaidia jambo la muhimu kwako ni kuwa muangalifu.

β€’Tegemea kupata faida kwenye biashara zako Leo na kazi zako zitakuendea vizuri ila siku hii kwako itakuwa na maudhi mengi na kuna mtu utagombana nae au atakutafuta ugomvi.

β˜…MAPACHA– GEMINI β™Š (May 21– Juni 20)

Leo ni siku njema kwako fikiria kuhusu maisha yako weka pembeni mambo ambayo unayaona hayana maana kwa sababu maisha yako ni muhimu sana kwako kuliko jambo lolote jingine linalokukabili.

β€’Nyota yako mara nyingi umekuwa mpotezaji bahati zako huwa zinapita na nyingi ni maneno hakuna utekelezaji jaribu kuomba muongozo mzuri kwa watu wazima au watu wa dini wanaoaminika ili kutulia kwa bahati zako kupatikane.

β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema

MAALIM DOGOLI KINYAMKELA πŸ’€β˜ οΈ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.
 
*SHERIA YA MAWASILIANO MATAKATIFU
*
Sheria hii inasema usiombe kitu
kutoka kwenye ulimwengu wa kiroho bila kutoa kitu -
Mwalimu nasema watu wa nyota ya KAA wanitafute, leo ni siku kubwa kwa watu wa nyota ya KAA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom