Zinaa inaua nyota mara 2

Zinaa inaua nyota mara 2

mtu-roho

Member
Joined
Jun 16, 2026
Posts
13
Reaction score
18
1. Nguvu Yako ya asili kuchukuliwa.
2. Kupewa nguvu ya asili tofauti.

Unaposhiriki zinaa Kuna "reaction" hutokea ambapo mtu hufa ghafra na kuzaliwa upya tofauti na yule wa awali.
(Utu to unyama)

Mtu mpya huyu ametokana na asili mbili tofauti kwa mchanganyiko wa damu. Mnapoachana baada ya kuishi kwa mwaka mmoja muunganiko huo bado upo ndio maana ma-ex utakuta wanauana bila sababu.

Ukishiki na watu zaidi ya watatu kwa mwaka mmoja mmoja itafika kipindi asili Yako ya asili (unique) kuisha kabisa na kubaki kava tupu (simu ya mchina )

Kwa nini pisikali nyingi haziolewi tena bali ni kuchezewa na kuachwa sababu ni hii pamoja na mahandsome.

Nyota safi kuchukuliwa na kuachiwa nyota chafu kwa yule anayeanza zinaa kwa mara ya kwanza.

ZINAA NI UCHAFU (taka tiririka).
 
Ingekuwa hivyo kama hizi propaganda zinavyo elezs miaka na miaka dunia isingekuwepo.
Ngono ni njia ya uzazi tu ila inavyochukuliwa na binadamu utadhani ni kitu cha mno sana kumbe ni zaidi ya kawaida.

Hamna tofauti ya ngono ya binadamu na myama ama ndege na viumbe wengine wanavyo jamiina.

Ila binadamu kaipa umuhimu uliopitiliza !
Hii yote ni kwa sababu ya udhaifu wa binadamu wa ubinafsi na umimi na kujipendelea.
 
Muongo wewe
This happen to me ni kweli tupu!,
Niliwahi kuwa na demu mkali balaa na mzuri kweli,(m) wakati nilikuwa naye mambo yalinyooka vibaya sana yaani within three month nilikuwa kijana mwenye fedha zake za kutosha,
#Si nikajifanya mjuaji nikamuona afai tena na uzuri wake wa hatari sana,nikamtema! La haulah yarabi,kwani hata mwezi ulipita kabla sijawa ZERO kabisa!...nimemtafuta (m) jijini arusha nimpate wapi tena,basi nipo tu najongea jongea!...
Note this!
#Yuo can marry and soon die
#you can marry and instantly become rich
#You can marry and instanly became very poorer
 
Kuna dada mmoja wakati Niko mkoa wa pwani alinisimulia👉 bodaboda alimpakia abiria alipomfikisha alipokuwa anaenda Yule abiria(ke) akamwambia hana nauli kama vipi wamalizane boda akakubali Lakini kesho yake boda alishikwa na homa akafariki😭😭😭
 
1. Nguvu Yako ya asili kuchukuliwa.
2. Kupewa nguvu ya asili tofauti.

Unaposhiriki zinaa Kuna "reaction" hutokea ambapo mtu hufa ghafra na kuzaliwa upya tofauti na yule wa awali.
(Utu to unyama)

Mtu mpya huyu ametokana na asili mbili tofauti kwa mchanganyiko wa damu. Mnapoachana baada ya kuishi kwa mwaka mmoja muunganiko huo bado upo ndio maana ma-ex utakuta wanauana bila sababu.

Ukishiki na watu zaidi ya watatu kwa mwaka mmoja mmoja itafika kipindi asili Yako ya asili (unique) kuisha kabisa na kubaki kava tupu (simu ya mchina )

Kwa nini pisikali nyingi haziolewi tena bali ni kuchezewa na kuachwa sababu ni hii pamoja na mahandsome.

Nyota safi kuchukuliwa na kuachiwa nyota chafu kwa yule anayeanza zinaa kwa mara ya kwanza.

ZINAA NI UCHAFU (taka tiririka).
Mkuu umetumia kifungu cha korani au biblia?
 
Ni kweli,siku nilipata manzi niligombana nakila mtu na nikiwa road askari hawataki suluhu na mimi.Nikimuona yule manzi namkwepa japo ni mzuri kinoma kama mvenezuelah
 
This happen to me ni kweli tupu!,
Niliwahi kuwa na demu mkali balaa na mzuri kweli,(m) wakati nilikuwa naye mambo yalinyooka vibaya sana yaani within three month nilikuwa kijana mwenye fedha zake za kutosha,
#Si nikajifanya mjuaji nikamuona afai tena na uzuri wake wa hatari sana,nikamtema! La haulah yarabi,kwani hata mwezi ulipita kabla sijawa ZERO kabisa!...nimemtafuta (m) jijini arusha nimpate wapi tena,basi nipo tu najongea jongea!...
Note this!
#Yuo can marry and soon die
#you can marry and instantly become rich
#You can marry and instanly became very poorer
100%
 
Haya mambo nina ushuhuda nayo na ni kitu ambacho nakigopa sana kushiriki zinaa na kila mwanamke
Unaweza kufanya ngono na kila mwanamke ila ujue unachokifanya kama lengo lako ni starehe itakula kwako Ila kama unataka kuvuna nishati fanyaaa
 
Nyota ni nini?

Nyota ni bahati.
Ili ufanikiwe unahitaji vitu vikuu vitatu:
1. Bahati (Hii inaletwa na Mungu mwenyewe)
2. Akili (Hii inakupa mawazo mbalimbali ya kufanya yatakayo kufanikisha).
3. Juhudi (Kufanya jambo fulani mara kwa mara bila kuchoka mpaka lilete matokeo).

Katika vitu hivyo vitatu bahati ndio ya muhimu zaidi. Unaweza kuwa na akili na juhudi nyingi lakini ukikosa bahati sahau kufanikiwa.

Kuna msemo wawahenga unasema "Ridhiki hutoa Mungu" ila wahenga sijui walikua na akili za namna gani. Kwenye huo msemo kuna bahati inayoletwa na Mungu.

Ukiwa hutendi dhambi unakua na bahati. Lakini ukiwa mtenda dhambi sahau kupata bahati.

Dhambi maana yake ni kukosa shabaha au kutofikia lengo. Mfano Rahisi Wazia mshale na shabaha. Lengo lako ni kupiga katikati kabisa kwenye alama. Ikiwa mshale wako utapotea njia na kukosa shabaha, unakuwa umekosa. Vivyo hivyo, Mungu aliyetuumba ameweka viwango vyake vikamilifu vya upendo na haki. Tendo, neno, au wazo lolote linaloshindwa kufikia viwango hivyo ni kukosa shabaha (dhambi). Na unapokua umetenda dhambi sasa yaani umeshindwa kuishi kwa kulenga shabaha ya mambo yote ambayo Mungu anataka ufanye ili aweze kuwa kwako nguvu yake hupungua kwako na ndivyo utakavyokosa bahati.

Kama bahati inaletwa na Mungu, basi hii itakua ni Neema au Baraka. Unaweza kuomba bahati kwa Mungu akakupatia. Omba bila kuchoka atakupatia.

Bahati ya kweli inapatikana kwa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi pekee.
 
Ingekuwa hivyo kama hizi propaganda zinavyo elezs miaka na miaka dunia isingekuwepo.
Ngono ni njia ya uzazi tu ila inavyochukuliwa na binadamu utadhani ni kitu cha mno sana kumbe ni zaidi ya kawaida.

Hamna tofauti ya ngono ya binadamu na myama ama ndege na viumbe wengine wanavyo jamiina.

Ila binadamu kaipa umuhimu uliopitiliza !
Hii yote ni kwa sababu ya udhaifu wa binadamu wa ubinafsi na umimi na kujipendelea.
Ngono is overrated au sio ephen_
 
Nyota ni bahati.
Ili ufanikiwe unahitaji vitu vikuu vitatu:
1. Bahati (Hii inaletwa na Mungu mwenyewe)
2. Akili (Hii inakupa mawazo mbalimbali ya kufanya yatakayo kufanikisha).
3. Juhudi (Kufanya jambo fulani mara kwa mara bila kuchoka mpaka lilete matokeo).

Katika vitu hivyo vitatu bahati ndio ya muhimu zaidi. Unaweza kuwa na akili na juhudi nyingi lakini ukikosa bahati sahau kufanikiwa.

Kuna msemo wawahenga unasema "Ridhiki hutoa Mungu" ila wahenga sijui walikua na akili za namna gani. Kwenye huo msemo kuna bahati inayoletwa na Mungu.

Ukiwa hutendi dhambi unakua na bahati. Lakini ukiwa mtenda dhambi sahau kupata bahati.

Dhambi maana yake ni kukosa shabaha au kutofikia lengo. Mfano Rahisi Wazia mshale na shabaha. Lengo lako ni kupiga katikati kabisa kwenye alama. Ikiwa mshale wako utapotea njia na kukosa shabaha, unakuwa umekosa. Vivyo hivyo, Mungu aliyetuumba ameweka viwango vyake vikamilifu vya upendo na haki. Tendo, neno, au wazo lolote linaloshindwa kufikia viwango hivyo ni kukosa shabaha (dhambi). Na unapokua umetenda dhambi sasa yaani umeshindwa kuishi kwa kulenga shabaha ya mambo yote ambayo Mungu anataka ufanye ili aweze kuwa kwako nguvu yake hupungua kwako na ndivyo utakavyokosa bahati.

Kama bahati inaletwa na Mungu, basi hii itakua ni Neema au Baraka. Unaweza kuomba bahati kwa Mungu akakupatia. Omba bila kuchoka atakupatia.

Bahati ya kweli inapatikana kwa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi pekee.
Unapozungumzia bahati na dhambi napata ukakasi sana, kuwa kufanya uwiano wa wale tunaoamini ni wema kwa matendo na wale tunaoona ni wachafu wa matendo. Au bahati inakwendaje?

Pili, kwenye mambo matatu uliyoeleza, kwenye bahati umafungia mabano inaletwa na Mungu mwenyewe.. Akili?

Let's say, nimepoteza elfu tano. Akaja kuiokota mtu mwingine, it means Mungu kampelekea bahati aliyeokota. Mimi niliyepoteza?

Nahitaji kujifunza tu mkuu, si kwa ubaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom