NYOTA YAKO LEO JUMANNE JULAI 15/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Umetoka kwenye hali ya kupingana na hali mbaya ya kiuchumi Sasa jiwekee sawa na anzisha shughuli yoyote ni kipindi unachohitaji kujikwamua kutokana na hali ilivyo Sikilizia taarifa utakazopokea leo zitakupa matumaini.
•Wiki hii utapokea ndoto nyingi sana katia ya ndoto huzi zitakwepo angavu na thabiti ambazo zitakusaidia kufanya chaguo zuri mahala popote ikiwemo katika mafanikio na mahusiano familia na miradi ya ubunifu.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
Siku nzuri kwako masuala ya pesa na kazi yayakunyookea
Utapokea pesa toka kwa mtu au taasisi uliyokubaliana nayo kuhusu suala la kazi Na kuna mpango wa mkopo ambayo umekuwa ukiushughulikia kwa kipindi kirefu sasa utafanikiwa kuipata Jihadhali na matumizi ambayo yatajitokeza ghafla Shida za watoto na elimu zile kipaumbele.
•Wale wanaoishi ng'ambo yaani nje ya nchi zao za asili wanapaswa kuwa makini juu ya mizimu ya koo zao.
★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)
Kuta taarifa zitakufikia toka kwa jamaa zako ambazo si za kufurahisha Wasiliana nao kwa upole usiwe na hamaki kutatokea kitokuelewana Kuna habari za ugonjwa wa mmoja wa jamaa zako utaombwa msaada Leo ni siku yenye usumbufu wa kujirudia lakini omba usaidizi utafanikiwa kuyamaliza.
•Kazi mpya zitajitokeza ambazo zitaongeza kipato chako mara 3 ya ulichonacho.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
Kuna utulivu wa kutosha nyumbani maelewano mazuri na penzi litarudi upya Utafanikiwa kupata suluhu ya mgogoro uliokuwepo wakutanishe wazee wamalize tofauti zao Kutakuwa na makubaliano ya ushirikiano mpya Suala la ndoa na posa nalo litajadiliwa.
•Biashara zako haziende vyema na umekuwa mtu mvivu mvivu ama mtu wa kughairisha mipango yako yote hii sabhau asili imekufunga hivyo mzunguko wa nyota yako jumanne hii inaonesha vifungo.
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
Misaada ambayo unategemea kuipata takuwa na uzito kigogo ili ufanikiwe inahitajika ukitumia hila na nguvu kidogo Suala la mtoto nalo limekuwa likisuasua lakini isiliache kwenye mpango wako Ila mambo yatakuwa shwari baadae shughulikia suala laikopo ulilolianzisha Baada ya hapo ruksa kujistarehesha lakini usiwe pekee wahusishwe wadogo zako au uliowazidi umri katika kila hatua.
•Chale zako zilizopo mwilini mwako zitakuwa kaburi lako wewe na zinaahidi kukudidimiza hivyo zitafutie dawa itokanayo na mmea wa ayahuasca na upake mwilini kila asubuhi tu.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)
Leo utajikutà unazozana na mgeni au mtu utakayekutana nae safarini Unashauriwa kutoingilia maongezi ya usio wafahamu yatakuingiza matatizoni hata kupata mashtaka Kuna taarifa za kutokea wizi na kupotea kwa vitu habari za ugonjwa nazo zitasikika Kuwa makini na majibu yako kwa siku ya leo.
•Huenda umesahaulika kabisa katika mahusiano yako ya kimapenzi inawezekana kuna uwadui mkubwa sana katika mapenzi yako na huenda wewe unajuwa uwadui huwo unatokea wapi hivyo ni bora kujiweka sawa na kutafuta ufumbuzi ili uadui ulionao upate kuondoka.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
Leo utapata heshima kubwa kutokana mahusiano mapya uliyoyaingia utakuwa ni mwenye kufurahia suala hilo Tegemea mipango yako yote itakwenda sambamba kama ulivyotarajia habari za posa na ndoa zitakamilika Utapata mafanikio makubwa katika na jamii itakuthamini utajikita ni mwenye kufurahia suala hili.
•Umekuwa ukisunbuliwa na mapenzi na mwenza wako amekuwa akikuongopea kila mara sababu nyota yako haijatulia.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
Leo sio siku nzuri kwako utapokea taarifa mbaya kuna mtu wa karibu ambaye atakutwa na jambo Tegea sikio habari za rafiki zako kuna taarifa za mazishi zitakufikia Mambo yako yatakwama kwa kiasi fulani omba msaada kwa wanaojua Kuna mzozo au ugomvi utazuka kati yako na mtu anayefahamiana saana Kesi na mambo yaliyotokea zamani yatainuliwa.
•Inaonekana mapenzi kwako imekuwa kero huenda unajiuliza una nuksi gani isiyoisha na kwanini hupati furaha ya kudumu katika mapenzi jibu inawezekana unalo jaribu kukaa na kufikiria sana huenda ukapata ufumbuzi usio utegemea.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
Safari unayotaka kufanya haina heri kwako utapambana na vikwazo na itakua na ugumu uñashauriwa kujiimarisha huko uendako utakutana na uadui mkubwa ingekuwa ni busara kama unejipanga upya Mgeni atakaye kufikia si mzuri hana nia njema.
•Unaweza kupata uthibitisho wa jambo ambalo limekuwa likikusumbua mtu mwenye hekima au mkubwa kiumri anaweza kuleta nuru leo hii.
★PUNDA– ARIES 🐏(March 21– Aprili 20)
Utapokea habari ngeni utaanza kuona mafanikio katika shughuli zako na mipango mingine Kutatokea mabadiriko makubwa kazini ambayo yatakunufaisha utapewa nafasi ya kuongoza kitengo biashara zitafanya vizuri na kukujengea heshima.
•Ili kujiongeza nguvu na maarifa jumanne hii jitahidi kuchoma mafusho ya nyota yako walau mara mbili kwa wiki kuanzia saa 12 au saa 1 asubuhi ama mchana 7 kuelekea saa 8 mchana.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
Tatizo ulilonalo la kazi na pesa lina kupa wakati mgumu Kutana na rafiki yako na kuwa karibu nae mueleze bayana kuhusu yanayokusibu atakusaidia Fikiria kuanzisha shughuli ya pamoja na itakupeni faida.
•Jumanne hii ni nzuri kwako katika mahusiano na mafanikio kipesa lakini wale ambao walitawaliwa na maumivu ya mgongo kuhisi vitu vinatembea mwilini kutokwa na uchafu sehemu za siri wawe makini na kupooza kwa miili yao.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
Uko katika dimbwi la upinzani mkubwa kuwa makini maana wanaokufanyia hivi ni jamaa na ni ndugu zako Hakuna utakachofanya kiende sawa utapambana na vikwàzo kila mahali wasiliana na mtaalamu akusaidie toka nyumbani kwa matembezi ya hapa na pale.
•Upepo katika uhusiano wako wa kimapenzi unaonekana kukaa vizuri vile vile unashauriwa kumshikilia huyo mpenzi ulie naye ingawa kuna changamoto za hapa na pale lakini huenda huyo akawa mpenzi au mwenza wako wa kudumu.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim,niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAMU WA MAMBO MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.