Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 776
Duh kweli yanga tuna hasara kubwa hapa.hahaha naona gamba linalouwa watu liko mazoezini
![]()
Duh kweli yanga tuna hasara kubwa hapa.hahaha naona gamba linalouwa watu liko mazoezini
![]()
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Nape Nnauye, nakukumbusha tu, Uchaguzi kuna kushinda na kushindwa!More Updates!! said:Msimamizi wa uchaguzi amemtangaza Kaburu wa CDM kuwa mshindi. Kata za Elerai, Kimandolu na Kaloleni mawakala na wagombea wa ccm wamekataa kusaini matokeo!
Tahadhari, haya ni matokeo ya awali tu!
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]CHAMA/ KATA[/TD]
[TD]CDM[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[TD]CUF[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Themi[/TD]
[TD] 678[/TD]
[TD]326[/TD]
[TD]313[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kimandolu[/TD]
[TD]2665[/TD]
[TD]1169[/TD]
[TD] 0[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kaloleni[/TD]
[TD]1019[/TD]
[TD]389[/TD]
[TD]169[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Elerai[/TD]
[TD]1715[/TD]
[TD]1239[/TD]
[TD]213[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Total[/TD]
[TD]6077[/TD]
[TD]3123[/TD]
[TD]695[/TD]
[TD="align: right"]9895[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Percentage[/TD]
[TD="align: right"]61.41486[/TD]
[TD="align: right"]31.56139[/TD]
[TD="align: right"]7.023749[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Kambi tofauti hizo mkuu, hata kule Arumeru zilikuwa kambi tofauti. Hapa ni lazima Nape afurahiye mno maana yeye na Mwigulu kunatofauti ingawa wanajaribu kuonesha Ulimwengu wapo wamoja. Nape subiri kupewa Ubalozi Afghanistan ndo kilichobakia. Nape lazima afurahie kushindwa kwa Nchemba Arusha. :love:Naona jamaa karudi mpole.....Ila kuna nyuzi zingine anatakiwa azipitie kukanusha ile habari ya kurekodiwa na watu wa Mwigulu...
Anajua kilichomkuta Arafat ngumi Jiwe?Yule jamaa unayemchukulia anakutafuta!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Duh kweli yanga tuna hasara kubwa hapa.
lakini hata ninyi mmeshinda kwa kumwaga damu za watu wasio na hatia
Angalia alivyofanyiwa Arafat ngumi jiwe,so uwe makini kiongozi:Jamaa wa kuitwa Arafat Ngumi Jiwe akiliwa kiboga.. - YouTubeYule jamaa unayemchukulia anakutafuta!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
pole gamba naona umenyeshewa mvua
naona gamba linalouwa watu kichwa chini
![]()
.......Mzee kama kweli upo ccm hongera sana....ni nadra sana kupata nondo za ukweli hivi kutoka ccm....nchi hii hasa vijana inabidi tubadilikeSafi sana Bwana Nape kwa Kuongea vizuri. Lakini napenda nikushauri. Tafadhali mwambieni Mwigulu kuwa aache kutuharibia chama chetu cha CCM. He is too much obsessed now with CHADEMA. CDM sasa hivi imepata umaarufu kwa sababu ya vituko na hila za Mwigulu dhidi ya CDM. Afanye siasa za kisomi kama anavyotamba kwamba yeye ni msomi. Ni kweli tulikuwa naye mlimani mimi nikiwa sayansi na yeye akiwa political science. Anajenga chuki dhidi ya wananchi. Tanzania bado hatujafika hatua ya kutishiana na vikundi vya mgambo kama ambavyo ccm na cdm wameanza. Mungu ibariki nchi yetu, Mungu ibariki CDM na CCM.
hahaha na hawa mashosti vip?
![]()