Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

Nape pole. Mwigulu amepunguza 10% ya kura zenu. Ukikutana naye naomba umnunie.
 
matokeo ni yapi so far wakuu! i just cant wait!
 
Hivi tuliposhindwa Arumeru tulikataa kumbe?

Ndugu Nape,ulikuwa mtu mzuri sana enzi hizo ukiwa unawania uongozi UVCCM..Tatizo ni kufuata njia ya Mwigulu Nchemba ambaye ni gaidi..fuata malengo yako!!
 
Duh! mpk mumekubali hili game kuwa mumepoteza,hakika mlitaitiwa.....
 
Umeonyesha uzalendo kwa taifa letu kwa hilo, mwigulu anaiharibu ccm, yeye uzalendo ni kuvaa skafu shingoni basi! Nape jipangeni upya, vinginevyo 2015 mtang'oka mchana kweupe, labda mtumie mapolis na Jwtz!
 
Hata marehemu nyerere alitabiri anguko la ccm baada ya kuona waharifu ndani ya chama nao wanapewa kipaumbele cha cheo cha juu kama mwigulu copy, jamaa hili linatumia miguvu na akili ndogo ya kukalili kuliko uwezo wa kufikili na hili ndilo linaimalizia ccm tuliweke kwenye historia ya majitu mapumbavu.
 
hukuwahi kuleta ubabe wa kutaka kuvua watu magamba ndani ya siku 90, umeishia wapi na ubabe wako??

Wewe nape kijana mwenzangu nakuheshimu sana katika siasa ila naomba ujue kuwa kuna kitu ktk auditing kinaitwa root cause, sina shaka unajua maana yake. Siku mkikaa kutathimini matokeo haya tafuta root cause ya nyie kushindwa. CCM itaangamia kwa sababu ya kuwatumia watu wasio kuwa na matamko yenye heshima kwa raia, vilevile hao ma RC nao ni janga jingine, ifike mahala ma RC waache kutumia polisi kisiasa hasa ktk maeneo ambayo ccm inakataliwa. Pia jadili mtu huyu mwigulu, sijui kama anafaa kuwa mpiga kampaini. Ndo hayo bro. wangu.
Hapo kwenye RED hapo,sio huyu tu,hata Juliana Shonza na Mtela Mwampamba mnawaona kama watu muhimu lakini mnawakatisha tamaa makada wenu wengine hasa vijana,lakini kumbukeni kama hawa vijana MTEla na shonza mliweza kuwarubuni wanaweza kurubunika pia,sio watu wazuri sana,jitahidini kutumia makada wenu mliokuwa nao,naamini matokeo haya yameipaisha sana CDM na kuwashusha wale wanazi wa siasa za mauaji na chuki.
 
Last edited by a moderator:
Na kwataarifa yako subirini mwa 2015 mtaona kama mtapita hiyo ni indicater 2 that is theend of sign days of CCM.
 
Hongera Nape kwa busara, ila pia nikupongeze pia siasa zako ni za hoja si kama muuaji mwigulu, huyo jamaa ni janga la ccm, na bado anazidi kuchimbia kaburi chama.

Hata wakibadili safu, ngoma bado inogile. Kwa ile falsafa yako ya kujivunia gamba badala ya kujivua hamna chenu tena. Imani kwa wananchi utarudi pale tu mtakapowanyonga mafisadi wa EPA, meremeta, iptl, anben, Richmond/symbion, ttcl vs celtel, kagoda, n.k. Ama muwahukumu kama wahujumu uchumi na kufirisi mali zao zote. Raia wanaona matendo machafu ya watawala huku wao wakiishi kwa mlo mmoja. Na kwa jeuri yenu mmeamua kuwaongezea na kodi ya kichwa (sim card) huku mkishindwa kukusanya kodi kwenye resource kuu mfano madini, gas, utalii. Raia wanachukia kuona wanyama wanasafirishwa bioa mtu hata mmoja kuwajibika, huku maelfu ya tembo wakiuwawa mchana kweupe. Askari wetu wamebaki smart kwenye eneo moja tu la kupiga na kugandamiza democrasia huku wakiwaacha mafisadi wakitanua mitaani. Na hakika kwenu nyinyiem haya hayarekebishiki kwa kuwa hakuna aliyemsafi. Kwa maana nyingine anguko lenu halina pingamizi.
 
Laana za MWICHEX hili jamaa hakika mda mwingine safi sana laweza kuimaliza ccm kwa mda mchache sana. Mwigulu hoyeeeeee!
 
Kwa mara ya kwanza kama mpinzani mkuu wa CCM kwa sera zao za kiuovu, ubabe, wizi, mauaji na ushetani wote ........ nimemuonea huruma sana Nape Nnauye ! Pole kaka ...
Kimkakati yuko peke yake,nafikiri ame prove failure,maana najua hata ile ishu ya kuvua gamba imeshindikana Nape Nnauye turn back hakuna atakae kucheka.
 
Last edited by a moderator:
CCM walilipua bomu kwa ajili ya kuwatisha wanaCHADEMA wasijitokeze kupiga kura, kinyume chake wanaCCM ndiyo wametishika na kushindwa kujitokeza kupiga kura. Hahaha, hao ndio M4C - hawatishiwi nyau, walishazoea milipuko ya mabomu. Chezea CHADEMA wewe!
 
kuna kitu ambacho sikielwi hapa ina maana Nape Nnauye unasema kwamba CCM imeshindwa ama una maana kwamba unataka kuwaandaaa CDM kisaikolojia??

Halafu uliposema maneno ""KAMA MAMBO YOTE YAMEENDA SAWA"" inamaana kwamba kuna wakati mambo hayaendi sawa na hivyo kupelekea chama fulan kushinda kwa njia isiyo sawa??
 
Last edited by a moderator:
Duh! mpk mumekubali hili game kuwa mumepoteza,hakika mlitaitiwa.....


Matokeo ya uchaguzi ya Arumeru alikuwa ni Nape aliyewahi kukubali kushindwa wakati wenzake kina Mwigullu wakipanga namna ya kubadilisha Matokeo .........

Tofauti ya Nape na Mwigullu ni kuwa Nape propaganda zake ni za maneno...na hazihusishi mauwaji na uovu ....wakati Mwigullu yupo tayari hata kuuwa Watu ili kufanikisha propaganda zake.........jambo ambalo linaiuwa CCM taratibuu....

Nape ukiacha mapungufu machache ni mwana siasa wakati Mwigullu yeye labda ni Gaidi
 
Back
Top Bottom