Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

.....HA HA HA HA HA naona lugha yako imekua laini leo na ya upolee!
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

nape matokeo haya kimoyoni kwako ni furaha coz hasimu wako mwigulu amedondokea pua.
 
jamani niko maeneo ya sakina bar kilicho nishangaza ni wana ccm kufurahia ushindi wa chadema uku wakimlaumu mwigulu kwa siasa zake za kibabe ambazo azina muelekeo kabisa
Tena ni watu wazima ambao wengine wana wadhifa mkubwa ccm wanaumia sana nakusema chadema ni haki yao kushinda na hili ni kwa sababu ccm kimekosa mvuto kwa wananchi....kwa kweli nape na wenzako mjitathimini sana juu ya hili haraka sana
 
Nape waambie mawakala wako Kimandolu wasaini fomu za matokeo. Waache ushamba katika siasa za ushindani.

Mheshimiwa kamanda wa ukweli Basili Lema nawapongeza kwa kazi mliofanya tuko mwanza hapa tunafuatilia mchakato mzima. NATAKA UKIRUDI MOSHI NATAKA HATA ILE KATA YA SHANT TOWN KWA PRISCUS IRUDI CDM.
 
Nakupongeza kaka,tunajenga nchi moja
Kuna watu wameulizza
sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika
kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima
ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo
yote yamekwenda sawa).
 
Nape nayaheshimu maoni yako: leo huna ujumbe wowote kwa babu?
 
Kwa hili mmeshikwa pabaya mtakoma 2015 hiyo ni rasha rasha tu subiri makubwa 2015

mkuu haki haipotei huwa inacheleweshwa tu magamba mumejionea wenyewe.2014 mtajivunia mlichopanda
 
Wewe si ndio ulisema kuwa ARUSHA wameikataa CDM? Watawala wa CCM akili zenu ni finyu sana.
 
Asante mkuu huu ndiyo uongozi na upinzani safi. Tunategemea mtajipanga vyema kada game bado changa ni kama dakika tano za mwanzo. VIVA CCM....

kwa hiyo ukimtukuza mtandaoni hivi huwa unapokea sh ngapi toka pale kwene buku 7? kijana usiwe manipulated kiasi hicho.
 
hahaha naona gamba linalouwa watu liko mazoezini

1002750_603423719690503_396464491_n.jpg
 
Hapa Kimandolu tuko wapole mpaka mkubali kusaini matokeo manake mnachotafuta ni kuprovoke watu ili mvuruge mambo
 
Vipi green rebels(guard) hawakuwajibika safari hii mkuu?-Zile tambo zote zile pamoja na kuhamishia kambi Arusha sitaki kuamini kuona mmeshindwa ,mbinu zote za kulipua mabomu na kuwaua wasio na hatia aah wapi nahisi mmeshapata fundisho kuwa huwezi tawala kwa mkono wa chuma ,kumwaga damu na kikosi cha wauaji wa green guard!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nape nakumbuka mara ya mwisho tulionana Sinza Mugabe kuna Shina flan la CCM ulikuja kuzindua tulipeana mikono nikakutwanga swali flan la kizushi hukunijibu ukacheka huku unanipigapiga bega ukapotezea ila kilichofata Kata ile na Jimbo tuliwapa Chadema kama kawa.
 
Back
Top Bottom