Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Chadema sio saizi ya ccm...hii ni level nyingine.Nape na ccm yako chaliii,chezea kingine sio chadema.
M4C forever...aibu kwa magamba.
M4C forever...aibu kwa magamba.
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Huyo mbona tushamshtukia kama ni mamluki wa cdm? ametumwa kuja kutupeleleza
......................Kuna siku nlisema....vijana wa ccm wakanishambulia sana.....nliwauliza ivi mnavyoshabiakia hao vijana....mmewascreen vipi kujua ni double agent....au kwa kuwa wanamtukana slaa na mbowe basi wanaichukia CDM.....Hapo kwenye RED hapo,sio huyu tu,hata Juliana Shonza na Mtela Mwampamba mnawaona kama watu muhimu lakini mnawakatisha tamaa makada wenu wengine hasa vijana,lakini kumbukeni kama hawa vijana MTEla na shonza mliweza kuwarubuni wanaweza kurubunika pia,sio watu wazuri sana,jitahidini kutumia makada wenu mliokuwa nao,naamini matokeo haya yameipaisha sana CDM na kuwashusha wale wanazi wa siasa za mauaji na chuki.
Hata wakibadili safu, ngoma bado inogile. Kwa ile falsafa yako ya kujivunia gamba badala ya kujivua hamna chenu tena. Imani kwa wananchi utarudi pale tu mtakapowanyonga mafisadi wa EPA, meremeta, iptl, anben, Richmond/symbion, ttcl vs celtel, kagoda, n.k. Ama muwahukumu kama wahujumu uchumi na kufirisi mali zao zote. Raia wanaona matendo machafu ya watawala huku wao wakiishi kwa mlo mmoja. Na kwa jeuri yenu mmeamua kuwaongezea na kodi ya kichwa (sim card) huku mkishindwa kukusanya kodi kwenye resource kuu mfano madini, gas, utalii. Raia wanachukia kuona wanyama wanasafirishwa bioa mtu hata mmoja kuwajibika, huku maelfu ya tembo wakiuwawa mchana kweupe. Askari wetu wamebaki smart kwenye eneo moja tu la kupiga na kugandamiza democrasia huku wakiwaacha mafisadi wakitanua mitaani. Na hakika kwenu nyinyiem haya hayarekebishiki kwa kuwa hakuna aliyemsafi. Kwa maana nyingine anguko lenu halina pingamizi.
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
kumbe yanga hata mabomu mko vizuri eeh!Duh kweli yanga tuna hasara kubwa hapa.
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Kwa mara ya kwanza tokea kuumbwa kwa Binaadamu ndio CCM mnakubali kushindwa. Sasa anzeni kufunga virago 2014 na 2015 ndio tunamaliza
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
inawezekana ni mchumi upande wa kitengo cha ulipuaji mabomu...Ndugu watanzania wenzangu kuna siku mwigulu kwa niaba ya hao wenzake niliowataja hapo juu alisema Bungeni kuwa CCM ilikuwa inakaribia kuchukua viti 4 vya udiwani jijini arusha.Na ndio maana CDM wakaamua kulipua mabomu.Je hii ni kweli make leo hakuna mabomu na wamepigwa kipigo cha mbwa mwizi.Ebu athibitishe kauli yake.Huyu sio mchumi na msimwamini hata kidogo huyu ni zuzu.
mkuu umesahau usalama wa taifa, pia mlungula...USHAURI WA BURE:
Endeleeni kuwatumia polisi, jwtz, wakuu wa wilaya, wakurugenzi, wakuu wa mikoa, maofisa wa kata nk, mtaona mafanikio kabla 2015.