Chanzo cha CCM kuanguka katika kata hizi waliochangia ni wewe Nape, Mwigulu, Wassira kwa kauli zenu mlizozitoa kwa nyakati tofauti. Kitendo cha Mwigulu kutafuta kura za huruma kwa kumtembeza aliyemwagiwa tindikali kiliongeza hasira kwa wananchi wa hapa Arusha.
USHAURI
Uongozi wa juu wa CCM ujipange upya kwa kupinga kwa vitendo biashara ya dawa za kulevya, Ufisadi, Rushwa. Lakini pia CCM iache kulitumia jeshi la polisi kwa maslahi ya chama maana wananchi wamepoteza imani na jeshi hilo.
Pole sana kwa yaliyokukuta lakini hasa Mwigulu anaaibisha chama