Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Acha kuhadaa watu hapa. ccm hamkujiandaa kushindwa, ndio maana mlitumia nguvu nyingi sana ikiwemo kutumia rasilimali za umma, vitisho, ubabe, blood shedding,...n.k. Laiti mngalijua hilo unalolisem aleo msingalifanya ufedhuli mlioufanya. Sema tu makamanda waliwatati vilivyo.
 
Hivi tuliposhindwa Arumeru tulikataa kumbe?
Huu ni Ushindi kwako Nape na Onyo kwa Mwigulu kuingilia mambo kwa Pupa. Siasa zina history na wenyewe kama Marehemu Brig General Moses Mnauye Enzi za Mwalimu. Walitumia maneno matamu kuingia katika akili za watu na kuweka mambo sawa. Vita vya Idd Amin, vilikuwa vigumu sana, Brigedia Mnauye alipenya vichwani mwa wanajeshi, Tukashinda. General Mnauye hakutumia cheo au Ukamanda kulazimisha askari kupigana, kwani alijua "Maarifa always uzidi Nguvu. Ushindi wa Arusha ni somo kwa Mwigulu na Mulungo, Ushindi kwa Nape.
 
Hongera Nape kwa busara, ila pia nikupongeze pia siasa zako ni za hoja si kama muuaji mwigulu, huyo jamaa ni janga la ccm, na bado anazidi kuchimbia kaburi chama.
 
C.C.M mjue kwamba mlima haushindani na kichuguu.CHADEMA ni bonge la mlima na nyie ni kichuguu.
 
Yule jamaa unayemchukulia anakutafuta!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Nape nakumbuka enzi zako zile ulipokuwa na mgogoro na Lowassa hadi wakakubania kugombea UVCCM ulikuwa kijana mzuri mpambanaji lakini sijui nani alikuongoa ukaongoka moja kwa moja hadi leo hujarudi kwenye mstari umezidi kukua toka chaka hadi chaka.
Naomba macho ya moyo yako yafunguliwe ujue jinsi ulivyopotea
 
Kushindwa ni sehemu ya mchezo ccm jipangeni zaidi kwa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

jamaa mbwembwe za asubuhi zimeishia wapi?naona wewe umejitoa unawataka ccm wajipange we ukiwa nje na bado
 
hongera sana chadema kwa ushindi na pole sana akina nape kwa kuhindwa. Siasa sio vita ya mabomu siasa ni sera tu.
 
Kuna watu wameulizza
sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika
kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima
ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo
yote yamekwenda sawa).

Ndugu yangu Nape natambuwa wewe ni muungwana kwa kiasi. Tatizo ni Nchemba,huyu jamaa ni tatizo sana kwa ustawi wa chama chetu.
 
Nape, hivi CCM imepata mafanikio gani ya kisiasa tangu muanze mkakati wa kuihusisha Chadema na UGAIDI?

Mtafungua kesi ngapi nyingine ili kudhoofisha nguvu za upinzani?
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

sasa kwanini mkaamua kuuwa watu? hilo linauma saana, mtu akisema africans are apes, siwezi kupinga sikuhizi mojority of us are more than apes! how on earth kill your fellow citizes, for what? Some of us are evil than the devil himself, you need to repent Nape!
 
Mkuu Nape, pamoja na mapungufu yanayoendelea kusababishwa na CCM, lakini mawazo kama haya ya kwako ni ya msingi kabisa. Ni vema tukubali pale tunaposhindwa ili amani ya nchi iendelee kutamalaki. Pro- CDM (baadhi yenu) mna mihemko ya hali ya juu sana, alichoongea Nape hata kama huwa natofautiana naye kwa mambo mengi lakini katika hili ametumia lugha nzuri ya kistaarabu na ninaamini hivi ndivyo inavyotakiwa na wanasiasia wote, hongera Nape kwa kukubali kushindwa.
Angalizo:
Mwigulu, Mwampamba na Shonza kama ndio mnaowategemea sijui CCM mnaipeleka wapi, lakini adui yako muombee njaa, bora muendelee kuwatumia ili CCM ing'oke bila kuendelea kumwaga damu za watu, zilizomwagika zinatosha .
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Kaka samahani hivi wewe bado ndie Mwenezi wa Chama?? Nilifikiri Mwigulu ndio Mwenezi siku hizi maana amekuwa ndio msemaji wa Chama siku hizi. Huku kushindwa kwenu ni endelevu kwa hiyo tulieni tuli kama mnanyolewa!
 
Kushindwa ni sehemu ya mchezo ccm jipangeni zaidi kwa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Endeleeni kutumia kikosi hiki hiki cha kampeni: Mwigulu, Mtela na Shonza. Msiache kumchukua Mussa Tesha na makovu yake ya tindikali.

Hawa ni majembe ya uhakika, na ushindi ni lazima.
 
Nape namna zenu za kuendesha siasa kwa mwamvuli wa CCM umekitenganisha chama na wananchi. Tafakari.
 
Back
Top Bottom