Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,714
Du! Huyo bibie jinsi alivyojiegemeza!!
Kihuni tu hicho
Du! Huyo bibie jinsi alivyojiegemeza!!
Kwa mara ya kwanza tokea kuumbwa kwa Binaadamu ndio CCM mnakubali kushindwa. Sasa anzeni kufunga virago 2014 na 2015 ndio tunamaliza
Hamy-D COMING OUT LIVE TODAY!!!
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

pole gamba naona umenyeshewa mvua
naona gamba linalouwa watu kichwa chini
![]()
pole gamba naona umenyeshewa mvua
naona gamba linalouwa watu kichwa chini
![]()
pole gamba naona umenyeshewa mvua
naona gamba linalouwa watu kichwa chini
![]()
Wafuasi wa CCM hapa JF wanawakubali sana Mwigulu, Shonza na Mwampamba.Matokeo
ya uchaguzi leo yamewapa somo waachane na siasa za kijinga za
ubaguzi,udini,ukabila na ukanda zinazoenezwa na makada wao
wasira,nape,pinda,mwigulu na lowasa.inabidi ccm ijitenge na makada hao
ili kukinusuru chama.bila kusahau kulitumia jesh la polis kuonea wapinzani waziwazi.
Matokeo