Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

Wapi Nchemba-Musa Tesha, Shonza
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

Ukiona NAPE anakimbilia kukubali Matokeo ...wakati kina Mwigullu na Green Guard wanaendelea ...na kikao cha Siri Arusha kuangalia ambush ya kufanya ili kubadilisha Matokeo ( ambayo hayajatangazwa) .......Ujuwe Mwigulu anaandaliwa fagio..
.
 
CCM mtaliwa tu....hii bado....matafanya mistake kubwa nchi itachukuliwa na CDM hii...siasa za mwigulu zinafanya ccm muonekane wajinga...
 
hahaha na hawa mashosti vip?

images

.
Duh ni lini atakabidhiwa ukuu wa wilaya alioahidiwa kwa usaliti?
.
 
Sina cha zaidi kumswma nape zaidi ya kumpongeza walau kwa hili kukubali kushindwa ndio demokrasia hiyo ebu jaribu kumuelimisha na huyo gaidi wako mwiguru
 
Wakati mwingine Nape unajitahidi kuwa muungwana,ila leo umekosea kdogo.ujatoa pongezi kwa washindani wako.
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

aiseeeeee babayangu NAPE kwanza inaonesha jinsi ulivyo panki,pile uandishi wako unaunesha jinsi gani kichwani ulivyokuwa mweupe,
chadema tusonge mbele tuchukue nchi
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Umenena Kiongozi wangu Nappe,hakika umenifurahisha kwa kauli yako iliyo jaa busara,laiti angekua Mwigulu tungesikia maneno mengi machafu
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

Sasa simungekubali mapema mambo yaishe kuliko kumwaga damu za watu?

Nafahamu wewe huwezi shiriki uharamia kama Mwiguru na kwa kuingia mkenge ulijikuta unakingia kifua uovu. Jihadhari na Mwiguru huenda kuelekea 2015 ukafuatia wewe maana kwa msimamo wako dhidi ya Fisadi EL lazima Nchemba akuondoe tu!
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Huu ndio uzalendo wa kweli na nimepapenda hapo uliposema "kama mambo yote yamekwenda sawa"
 
Wakati mwingine Nape unajitahidi kuwa muungwana,ila leo umekosea kdogo.ujatoa pongezi kwa washindani wako.

Nape ni mwanasiasa. Siasa ni kujenga hoja, of course na propaganda ikibidi. Nape can do that so perfectly. Ni kama alivyokuwa anafanya Mzee Chiligati. For me Nape is a politician.

lakini siyo siasa za ku-mastermind mauwaji anazofanya Mwigulu na wana-ccm wengine wenye akili finyu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Wewe Nape, Mwigulu, Wasira, JOB, Serukamba, Kinana, Lukuvi, Makinda mnawaharibia watu chama chao kwa kauli zenu na matendo yenu but nakupa hongera kwa kukubali KUSHINDWA. Hiyo ndiyo siasa safi inayohitajika. Sasa Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba mhalakishe mchakato wa Meya wa Arusha. Msilete mizengwe tena.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

waambie gambaz wenzio kuwa arusha hakufai,with all that effort immesed bado mmechambwa mbaya mkuu,poleni sana japo inauma sana.
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

KWANI bado upo Arusha au umekimbia hahaha
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

katibu wa itikadi hayo maneno waambie mawakala na wagombea wako huko. Nasikia wamesusa kutia sahihi. Au uko likizo? Hiyo nafasi kama imekuwa mzigo achia ngazi mfuate Mukama.
 
Back
Top Bottom