Utabiri uchaguzi mkuu 2025

Fahari

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
1,044
695
HUU NI UTABIRI
(1) Patafanyika marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa mshindi.

(2) WAGOMBEA URAIS-:
(1)CCM - Samia Suluhu Hasan
(2)CHADEMA - Tundu Lissu
(3)ACT - Zitto Kabwe.

(3) MATOKEO YA URAIS
(1) Samia suluhu Hasan 48%
(2) Tundu Antipas Lissu 40.5%
(3) Zitto Kabwe 11%
(4) Vyama vingine 0.5%

Kwa matokeo hayo uchaguzi utaingia duru ya pili,ambapo CCM watamshawishi Zitto kabwe awaunge mkono kwa ahadi ya chama chake kupewa nafasi 3 za mawaziri huku Zitto Kabwe akiungwa mkono na CCM kugombea nafasi ya spika wa bunge.

(4)DURU YA PILI YA UCHAGUZI
MATOKEO

(1) Samia suluhu Hassan 53%
(2) Tundu Antipas Lissu 47%

Spika wa Bunge Zitto Kabwe.

MWISHO WA UTABIRI
 
huu sio utabiri ni ndoto, ila kasoro tu umeota ukiwa kwenye kidala, ingekua umeota ndoto ya kitandani isingeisha ivo , ingeshia hivi baada ya kushindwa mgombea alieshindwa akimbilia ubalozini tayari kwa safari ya ulaya alipo mwenza wake na wafadhili wake
 
Huu ni ujinga kama ujinga mwingine, utabiri kwa kutumia kanuni ipi ya kiroho

Ulichokifanya ni ubashiri (betting) kutokana na fikra zako mwenyewe na baada ya kuwasoma watu uliotaja.

Hangaya hawezi kupata hata asilimia 25% ya kura zote labda kura za maruhani wa Unguja kusini
 
Heheheee siwezi kukupinga maana ccm imechokwa
 
Huu ni ujinga kama ujinga mwingine, utabiri kwa kutumia kanuni ipi ya kiroho

Ulichokifanya ni ubashiri (betting) kutokana na fikra zako mwenyewe na baada ya kuwasoma watu uliotaja.

Hangaya hawezi kupata hata asilimia 25% ya kura zote labda kura za maruhani wa Unguja kusini
Atapata nyingi as long as Tume ni ile ile na polisi ni wale wale.

Any kind of Fairness kwenye uchaguzi hata usipokuwa fair 100% let say fairnes ikawa 30%basi ccm out.
 
Yaani ccm na mihakili/miguvu yoote waliokuanayo hatakama watalekebisha hiyo sheria ndio washindwe kupata watu hata vivuli vya watu ili kujazia palipopungua na kushinda kwa kishindo cha 67%?
 
Hehee......siku ya kufa nyani mkuu
 
Tatizo la vyama vya upinzani hawana watu wa mikakati imala, hawana misimamo madhubuti.wala malengo.
Nakumbuka kipindi magufuri anaingia madalakani miji mingi ilipata kushikwa na vyama vya upinzani.wakati wanachakua mameya, ccm waliwabana kwa figisu, wapinzani walipogundua figisu ccm wakasema msiwafanyie figisu waacheni hiyo ni haki yao, vyama upinzani vikafuraahi hawakujua wenzao wamepanga nini.
Mwisho wasiku wanabadilisha mfumo mzima wa TAMISEMI badala ya kua kwa wazili mkuu imerudishwa kwa Rais.
Wamejikuta mameya , madiwani oote wamebaki hawana kazi ya kufanya. Maelekezo ya TAMISEMi yoote yanatoka kwenye utawala. Hiyo ndio ccm. Kuweza kuwadhibiti ccm hadi kizazi fulani kifutike lakini sio kilahisi hivyo.
 
HUU NI UTABIRI
(1) Patafanyika marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa mshindi.

(2) WAGOMBEA URAIS-:
(1)CCM - Samia Suluhu Hasan
(2)CHADEMA - Tundu Lissu
(3)ACT - Zitto Kabwe.

(3) MATOKEO YA URAIS
(1) Samia suluhu Hasan 48%
(2) Tundu Antipas Lissu 40.5%
(3) Zitto Kabwe 11%
(4) Vyama vingine 0.5%

Kwa matokeo hayo uchaguzi utaingia duru ya pili,ambapo CCM watamshawishi Zitto kabwe awaunge mkono kwa ahadi ya chama chake kupewa nafasi 3 za mawaziri huku Zitto Kabwe akiungwa mkono na CCM kugombea nafasi ya spika wa bunge.

(4)DURU YA PILI YA UCHAGUZI
MATOKEO

(1) Samia suluhu Hassan 53%
(2) Tundu Antipas Lissu 47%

Spika wa Bunge Zitto Kabwe.

MWISHO WA UTABIRI
CCM hii ya Chama Dola tunayoijua yaani The Green Mamba wagawane asilimia ya kura na Wapinzani hivyo!
Be serious!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
huu sio utabiri ni ndoto, ila kasoro tu umeota ukiwa kwenye kidala, ingekua umeota ndoto ya kitandani isingeisha ivo , ingeshia hivi baada ya kushindwa mgombea alieshindwa akimbilia ubalozini tayari kwa safari ya ulaya alipo mwenza wake na wafadhili wake
Mkuu huu ni utabiri,huhitaji
Utabiri wa hovyo kabisa kuwahi kutokea duniani
Kwanini ni wa hovyo kiasi hicho? Tupe insight kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom