Shirika la Marie Stopes linaeneza ushoga na kuwatoa wanafunzi mimba

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Hivi hili taifa lina usalama au serikali kweli?
Hili shirika linasambaza ushoga kupitia kugawa vilainishi, Spray na dawa za ajabu ajabu.

Imekua ni clinic ya mashoga na wasagaji wakifundishwa njia za kufanya huo uchafu wao

Kibaya zaidi wameingia mashuleni kuna wasichana wengi tu wadogo wa sekondary pale ndo sehemu wanaenda kutolea mimba.

Serikali ipo tu na imejiridhikia tu, mfano niliona sehemu yao ya incinerator nilishangaa sana, hali ni mbaya sana.

Kule Mwanza wanapita vijijini wanatoa misaada ya afya kwa vijana kwa mgongo wa kuwaingiza kwenye ushoga!!Wana hadi magroup ya watssap ya kuingiza watu kwenye mtandao wa ushoga...Haya yanatokea katika nchi tunayosema ipo huru na ipo salama.

Kinachoendelea pale Marie Stopes ni ushetani na mauwaji ya watoto wachanga kupitia abortion....Hili shirika kule Marekani lilishajipambanua ni la kutoa mimba huku wanajifanya wanadeal na afya...Au katiba yetu inaruhusu kutoa mimba??

Hivi serikali itaendelea kunyamaza tu kufumbia macho huu ushetani unaoendelea?Najiuliza hili shirika limewapa nini viongozi wetu kwanini hawachukuliwi hatua?

Mnaona raha watoto wadogo wa sekondari wa kiume wanavyofundishwa ushoga pale na watoto wa kike kutolewa mimba?

Hivi kama taifa tutaendelea kuvumilia huu upuuzi hadi lini?Hivi hii serikali ipo serious kweli?Hawa hawakupaswa kufungiwa tu, bali kupewa masaa matatu tu waondoke nchini.
 
IMG_20240318_082225.jpg
 
Wa kwanza kuamua uwe shoga au laa ni wewe mwenyewe, hizo hospital wagonjwa wenye shida huwezi sikia wanalalamika kuwa ushoga ushoga ushoga na zaidi ya nyinyi kusikia stori za kahawa mpo bize kuupamba huo ushoga kwelikweli
 
Nina miaka zaidi ya 10 naifahamu hiyo Marie Stopper ikijihusisha na ugawaji wa mipira ya kiume na kike kwaajili ya kusaidia kupunguza maambuzi ya VVU/UKIMWI Kwa Vijana na watu Wazima.

Pia nimewahi kusikia wanajihusisha na utoaji wa mimba ili kusaidia kupunguza watoto wa mitaani kutokana na unplanned pregnancies.

Kama imefikia hatua wanahamasisha Ushoga na matendo ya ushoga, Kuna haja Serikali ikafatilia na ikibainika ni kweli basi Ifutiwe Leseni yake.

Hatuwezi tukaruhusu kesho ya Vijana wetu iharibike nasi kama Wazazi tukawa tunaangalia.

This should stop ASAP
 
Hivi hili taifa lina usalama au serikali kweli?
Hili shirika linasambaza ushoga kupitia kugawa vilainishi, Spray na dawa za ajabu ajabu.

Imekua ni clinic ya mashoga na wasagaji wakifundishwa njia za kufanya huo uchafu wao

Kibaya zaidi wameingia mashuleni kuna wasichana wengi tu wadogo wa sekondary pale ndo sehemu wanaenda kutolea mimba.

Serikali ipo tu na imejiridhikia tu, mfano niliona sehemu yao ya incinerator nilishangaa sana, hali ni mbaya sana.

Kule Mwanza wanapita vijijini wanatoa misaada ya afya kwa vijana kwa mgongo wa kuwaingiza kwenye ushoga!!Wana hadi magroup ya watssap ya kuingiza watu kwenye mtandao wa ushoga...Haya yanatokea katika nchi tunayosema ipo huru na ipo salama.

Kinachoendelea pale Marie Stopes ni ushetani na mauwaji ya watoto wachanga kupitia abortion....Hili shirika kule Marekani lilishajipambanua ni la kutoa mimba huku wanajifanya wanadeal na afya...Au katiba yetu inaruhusu kutoa mimba??

Hivi serikali itaendelea kunyamaza tu kufumbia macho huu ushetani unaoendelea?Najiuliza hili shirika limewapa nini viongozi wetu kwanini hawachukuliwi hatua?

Mnaona raha watoto wadogo wa sekondari wa kiume wanavyofundishwa ushoga pale na watoto wa kike kutolewa mimba?

Hivi kama taifa tutaendelea kuvumilia huu upuuzi hadi lini?Hivi hii serikali ipo serious kweli?Hawa hawakupaswa kufungiwa tu, bali kupewa masaa matatu tu waondoke nchini.
ndugu zao wanaotuletea mchele na maharage ya virutubisho yaani asipotikana kidume mwingine kama magufuli wa kuzipiga pini hizi non govermental organizations zinazoendeshwa na traitors watanzania wenzetu ni swala la mda kusikia yule jirani hana marinda ndio maana natamani makonda apande ngazi pamoja na mambo yake lakini anaweza kuwanyosha hawa watu.
 
Daaah
 
Wa kwanza kuamua uwe shoga au laa ni wewe mwenyewe, hizo hospital wagonjwa wenye shida huwezi sikia wanalalamika kuwa ushoga ushoga ushoga na zaidi ya nyinyi kusikia stori za kahawa mpo bize kuupamba huo ushoga kwelikweli
Mtoto chini ya 18 yrs mwanafunzi tangu lini akawa na akili na utashi kupewa kuchagua UOVU huo?

Umefikiri Sawa sawa kabla ya kuandika?
 
Hii ni hospitali yangu pendwa huku niliko mimba zangu zote clinic ni hapo na wamenisaidia vizuri Sana. Hizo shtuma ni nzito tuletee ushahidi....
 
Hivi hili taifa lina usalama au serikali kweli?
Hili shirika linasambaza ushoga kupitia kugawa vilainishi, Spray na dawa za ajabu ajabu.

Imekua ni clinic ya mashoga na wasagaji wakifundishwa njia za kufanya huo uchafu wao

Kibaya zaidi wameingia mashuleni kuna wasichana wengi tu wadogo wa sekondary pale ndo sehemu wanaenda kutolea mimba.

Serikali ipo tu na imejiridhikia tu, mfano niliona sehemu yao ya incinerator nilishangaa sana, hali ni mbaya sana.

Kule Mwanza wanapita vijijini wanatoa misaada ya afya kwa vijana kwa mgongo wa kuwaingiza kwenye ushoga!!Wana hadi magroup ya watssap ya kuingiza watu kwenye mtandao wa ushoga...Haya yanatokea katika nchi tunayosema ipo huru na ipo salama.

Kinachoendelea pale Marie Stopes ni ushetani na mauwaji ya watoto wachanga kupitia abortion....Hili shirika kule Marekani lilishajipambanua ni la kutoa mimba huku wanajifanya wanadeal na afya...Au katiba yetu inaruhusu kutoa mimba??

Hivi serikali itaendelea kunyamaza tu kufumbia macho huu ushetani unaoendelea?Najiuliza hili shirika limewapa nini viongozi wetu kwanini hawachukuliwi hatua?

Mnaona raha watoto wadogo wa sekondari wa kiume wanavyofundishwa ushoga pale na watoto wa kike kutolewa mimba?

Hivi kama taifa tutaendelea kuvumilia huu upuuzi hadi lini?Hivi hii serikali ipo serious kweli?Hawa hawakupaswa kufungiwa tu, bali kupewa masaa matatu tu waondoke nchini.
Hata wewe pia unahamasisha ushoga kupitia Uzi wako huu
 
Back
Top Bottom