Ukahaba na ushoga vina tofauti gani? Kulikoni utetezi wa madanguro?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,679
46,358
Kwa vigezo vipi watu wengi ambao hawakubaliani na kitendo cha wanawake wanaojiuza miili yao biashara yao kuingiliwa na kuvurugwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam huku wanaunga mkono mashoga kushughulikiwa na serikali?

Ni mkanganyiko mkubwa kutaka makahaba na madanguro yao wasiingiliwe au kubughudhiwa na serikali katika biashara yao wakati huo huo unatokwa na povu kuhusu ushoga.
 
Unajua mkuu malaya ni viumbe muhimu sana kwenye miji na majiji makubwa

Nimeumia sana kuona madanguro yanavunjwa.

Tunahitaji malaya wengi miaka hii kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya taifa letu

Malaya ni muhimu sana kuwepo kwenye jamii yetu iwe ni hawa mafungu au wa kwenye mitandao

Ofisi ya mkuu wa mkoa inafeli sana

Ushoga ni tofauti na ukahaba
 
Kwa vigezo vipi watu wengi ambao hawakubaliani na kitendo cha wanawake wanaojiuza miili yao biashara yao kuingiliwa na kuvurugwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam huku wanaunga mkono mashoga kushughulikiwa na serikali?

Ni mkanganyiko mkubwa kutaka makahaba na madanguro yao wasiingiliwe au kubughudhiwa na serikali katika biashara yao wakati huo huo unatokwa na povu kuhusu ushoga.
Mwanaume na mwanamke kupelekeana moto 🔥 ni jambo la kawaida, muhimu tu kutumia kinga.

Ila kujamiiana watu wa jinsia moja ni jambo la ajabu sana, ni kinyume na asili, ni upotofu wa kutisha. Ndiyo sababu hata hayawani hawafanyi hivyo
 
Mwanaume na mwanamke kupelekeana ni jambo la kawaida, muhimu tu kutumia kinga.

Ila kujamiiana watu wa jinsia moja ni jambo la ajabu sana, ni kinyume na asili, ni upotofu wa kutisha.
Hata hayawani hawafanyi hivyo
Hawayani wanapelekeana moto mama na mtoto, baba na mtoto, kaka na dada n.k , Hawayani hawanyonyani sehemu za siri.
 
Ukahaba na ushoga vyote ni vitendo viovu lakini Ushoga katika jamii yetu ni Uovo Mkubwa zaidi!

Mtoto wa kike kuwa malaya haimuumizi sana mzazi lakini mtoto wa kiume kuwa shoga! Ah hpn! Maumivu yake ni makubwa
 
Kwa vigezo vipi watu wengi ambao hawakubaliani na kitendo cha wanawake wanaojiuza miili yao biashara yao kuingiliwa na kuvurugwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam huku wanaunga mkono mashoga kushughulikiwa na serikali?

Ni mkanganyiko mkubwa kutaka makahaba na madanguro yao wasiingiliwe au kubughudhiwa na serikali katika biashara yao wakati huo huo unatokwa na povu kuhusu ushoga.

Ushoga ni unnatural. Yani ni mapenzi yasiyokuwa ya asili.
 
Back
Top Bottom