Na mwanga wa milele umwangazie eee BwanaEhh Mwenyezi Mungu umtangulie mkulima Stern apate haki yake.ππΎ
Ndege zenyewe wala hazina routes za uhakika bado wanaongeza nyingine. Hapa unaona kabisa kuwa kuna anaenufaika na manunuzi si matumizi.Mamilioni ya Watanzania tunamwombea Mkulima!
Ukija na Swiss Air au na KLM 80% ya abiria wanashuka Nairobi, dege linakuja KIA na DAR tupu!
Ni data gani zinazowaonyesha watalii hatuna kwa sababu hakuna ndege ya kuwaleta???
Mpaka British Airways wakafunga biashara baada ya kuja DAR miaka 50 mfululizo...
leo mnasema mnanunua ndege kuleta watalii... Ktoka wapi, Katavi? Kule mlikosema kuanzia leo nataka kuona ndege inatua Katavi???
Kwani wangesema tunataka kufufua ATC, kuendesha biashara ya ndani au ya nje, tumerekebisha hiki na kile, daftari la mahesabu ya hasara na faida hili hapa, mwenye maoni ya kujenga na kuponda apeleke maandishi kwa mdhibiti mkuu TCAA, kama tunavyofanya EWURA, TCRA, SUMATRA, n.k... nani angewaombea mabaya??
Kwani katiba ndio nini hadi isivunjwe?. Au katiba ni msahafu isibadilishwe?.
Hayo tuliyaongea kitambo
Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!
Wanabodi, Tanzania ni nchi inayofuata Katiba na kuendeshwa kwa utawala wa sheria, hivyo itaongozwa kwa mujibu wa Katiba, sheria taratibu na kanuni!, no one is above the law!. Katika kufuata sheria hizo, taratibu na kanuni, pia kuna mamlaka ambayo katiba imempa rais wetu wa JMT kuyatekeleza at...www.jamiiforums.com
Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
P
Nadhani wengi hawatambui kwamba kuombea mtu kifo ni tamaa ya kuua mtu.Mkuu G. Jacob, wengine wetu humu, ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu huwezi kumuombea kifo binadamu mwenzako no matter what!.
PAngalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
Wanabodi, Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu pasipo uthibitisho, kila kunapotokea tukio baya, na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo...www.jamiiforums.com
Kama Tanzania ni nyumba yetu, then Magufuli ndiye baba mwenye nyumba, ni baba.Pasco huna Baba hata umwite Magufuli kuwa Baba yako?
Magufuli ni Dikteta wa Tanzania, full stop.
Yaani zikamatwe zote, mtu anakubali anunue ndege nane, wakati watu wanakosa dawa hospitalini, wakati watu wanakunywa matope badala ya maji, zikamatwe tu tena waongeze kuzikamata zee lina roho mbaya sana.Pole kwa Rais wa JMT kwa ndege yake kukamatwa.
Pole kwa Waziri Kabudi kwa TZ kusalitowa.
Pole kwa Waziri Mahiga kwa mateso kutuma vijana Canada
Pole kwa serikali yetu yote kwasababu ndege ni ya serikali.
Pole kwa CCM, kwasababu serikali ni ya CCM.
Pole kwa wanasheria watakaoteseka.
Pole kwa ATC ndege yao kukamatwa hivyo kuchelewesha kupiga pesa.
Pole kwa sisi Watanzania wote kwa ndege yetu kukamatwa na kututia hasara ambayo ni sisi tutaifidia.
Ndege ni rais Magufuli kwasababu ndiye aliyeamua kuinunua kwa cash money.
Ndege ni ya serikali kwasababu inamilikiwa na serikali 100%.
Ndege ni ya ATCL kwasababu ATCL ndio wanaitumia.
Ndege ni ya Sisi Watanzania wote kwasababu fedha zilizonunulia ni fedha zetu, na sisi ndio tunaoipanda.
Pole hata hawa Watanzania wenzetu wanaofurahia na kushangilia ndege yetu kukamatwa nao pia wataifidia hii hasara maana ndege pia ni yao bila kujijua.
Pole wote.
P
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Bro tujiulize bila unafiki kwa nini watu sasa hivi wanafurahia matatizo ya taifa!?...lakini pia uzalendo haufundishwi wala kuhimizwa unakuwepo tu moyoni ila unaondoka wenyewe bila hata kuhimzana wala kuambiana kama kuna mambo ambayo siyo rafiki kwakeJapo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
P, hakuna anayefurahia Mali ya mwingine kutiwa matatani! Na uzalendo ni uzalendo tu hauna tafsiri nyingine! Mliopo huko serikalini mnajua pasi na Shaka Nani anadai Nini na tangu lini! Kwanini msilipe hata kidogokidogo? Au mnadhani mzungu ni sawa na wafanyakazi wa umma mnaowakopa na kuwadhulumu malimbikizo yao ya mishahara na bado wakawavumilia? Huu kwako na kwa wengine ni uzalendo kwa kumdhulumu mtumishi! Ona wenzako wa gazeti la mtanzania anavyomwaga gesi kwenye Moto wa petrol! Hamtoki Canada kwa maandishi Yale!Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Tatizo vipaumbele mambo yanafanywa kwa mzuka wa kisiasa mashirika ya Rwanda na Kenya yanapumulia mashine sisi nao tunaiga.Yaani zikamatwe zote, mtu anakubali anunue ndege nane, wakati watu wanakosa dawa hospitalini, wakati watu wanakunywa matope badala ya maji, zikamatwe tu tena waongeze kuzikamata zee lina roho mbaya sana.
KWA HILI NADHAN WAZIRI AUATUINGIZA CHAKA. KUNA UKWELI ANAOUFICHAMnataka tuwe wazalendo hadi kwenye dhuluma?
Yaani mnalia mkiomba sympathy kwa sababu ya tabia zenu za kutotii utawala wa sheria?
Kumbe tabia haina dawa, mmezoea kuonea Wapinzani na kuwafanyia kila aina ya ubabe, sasa mmelewa na kudhani kila mtu ni wa kuonea tu, safari hii mmekwama kabisa .
Tatizo liko wapi? Kiburi cha kugoma kufuata utawala wa sheria tu? Nyie si mnadaiwa bana? Lipeni deni no way!
Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne zote zilikuwa zikilipa hilo deni kwa awamu, serikali hii ya awamu ya tano ikagoma kulipa na kumtimua Stern Tanzania.
Hii maana yake ni kwamba Stern angekuwa raia wa Tanzania asiye na uwezo wa kukimbilia popote na kujihifadhi angepotea kama Azory Gwanda au Ben Saanane.
Kwa hiyo mmeonewa sana si ndiyo? Yaani hilo deni mmebambikwa tu na watu wenye wivu na maendeleo makubwa ya Tanzania, si ndiyo?
Acheni kulidhalilisha taifa zuri la Tanzania, mbona hata Marekani inadaiwa pamoja na utajiri wake? Nyie ni nani hadi msidaiwe?
Yaani mnaandamana ili kupinga kudaiwa? Kwa sababu mmepanga kudhulumu, mkiitwa shithole mnakuja juu kwa hasira.
South Africa mliweza kucheza sarakasi lakini kwa Canada mmekwama, lipeni deni la watu mtutolee hii fedheha.
Uzalendo sio kudhulumu haki ya mtu.
Huondoa credit kwa wapinzani na KUONGEZA CREDIBILITY ya wapinzani, wanajitambulisha kama true voices of reason, sio political comediansMy Son drink water, Kuna baadhi ya mitazamo huondoa credit kwa wapinzani
Hakika. Hatutaki tabia za ukagame za kupora mali za wengine. Huyu mkulima si mwendawazimu akurupuke kudai malipo hewa. Alipww haki zake kulinda heshima ya nchi yetu.Ehh Mwenyezi Mungu umtangulie mkulima Steyn apate haki yake.[emoji120]πΎ
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Si kweli. Hoja za kijinga kama hizi ni cheap politics, kumbuka watanzania wana mwamko wa kisiasa zama hizi, wamejua mema na mabaya. Ni vema kujikita kwenye siasa zenye maslahi kwa taifa kuliko kujaribu kushabkia mambo ambayo hayana uwiano wa kisiasa na kuyapoliticise. Kwenye siasa wekeni siasa, kwenye patriotism wekeni hiyo, sio kusimama dhidi ya Tanzania kwa kujifanya mnasimama dhidi ya CCM. Tukiiangusha Tanzania hata siasa hazitakuwa na maana.Huondoa credit kwa wapinzani na KUONGEZA CREDIBILITY ya wapinzani, wanajitambulisha kama true voices of reason, sio political comedians
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
kwa vipi, kama alivyosema ukweli hapo? dhuluma ndio uzalendo?My Son drink water, Kuna baadhi ya mitazamo huondoa credit kwa wapinzani