Ubabe hadi Canada? This time you're done

Anavunja katiba hiyo hiyo kila siku!
Usijifanye hujui
Unaonesha high level of dishonesty aisee!
Kwani katiba ndio nini hadi isivunjwe?. Au katiba ni msahafu isibadilishwe?.
Hayo tuliyaongea kitambo

P
 
My Son drink water, Kuna baadhi ya mitazamo huondoa credit kwa wapinzani
Kwanza sio wapinzani wanaofurahia bali ni watanzania wa kawaida na wasio na vyama.Hii notion ya kusema et ni wapinzani ni ujinga tena mkubwa.Ma kama ni wapinzani basi kazi mnayo,Maana ni watanzania wengi sanaaa wanafurahia.Na hii ni kutokana na mabaya,unyama,dhuluma,ubabe ns kila kitu kibaya mlichowafanyia.

Me nasema hivi ikiwezekana hawa watesi wa watanzania wafe ili watanzania wapate kufarijika nafsi zao.
Hapa ndipo tumefikishwa.
 
Hujitambui. Na wala hunafamilia, pengine hutaweza kuwa nayo.
Uzalendo ni kuipenda familia yako hats kama imejaa majizi na zurumati.
Kama Waamerica walivyo Wazalendo kwa Nchi yao kwa kumwaga damu na kukwapua vya wengine!
 
Ni kuipenda nchi yako kwa dhati ya moyo wako, hivyo kutanguliza mbele maslahi ya taifa kuliko hata maslahi binafsi.

Kama ilivyo katika ngazi ya familia, Baba wa familia akifanya kosa akatiwa ndani, huwezi kufurahia hata kama ni kweli baba yako ni mkosaji.

Hivyo kwenye hili la ndege, japo ni kweli tunadaiwa, lakini Mtanzania Mzalendo wa kweli wa taifa lake hawezi kufurahia, kushangilia, kubeza na kukejeli ndege ya taifa lake inapokamatwa, hili ni janga la kitaifa.
Huu ni uzalendo wa ajabu

P
Mkuu Pascal hatuwezi kuwa wazalendo kama mnatubagua tatizo lenu CCM yaan mnaona hii nchi kama yenu peke yenu yaan ukiwa mpinzani huna haki hata ukiongea ukweli
Na hapo ndipo mnapofell tena sana wengine kusema kweli tunaumia tunapoona haki haitendeki tunataka haki itende Kila mahali
Kwa maana kwa mfano mm ikishinda CHADEMA AU ACT sipati kitu na ikishinda CCM pia sipati kitu lakini nafurahi napoona haki inatendeka Kila mahali
Kama vile sisi tusiokuwa ccm tunavyooumia mnavyotunyanyasa na hapo nchi inapopata matatizo na nyinyi mkiumia nasi inakuwa tunafarijika kwa kuumia kwenu
Kwa sasa hivi hali ni mbaya sana ili tuwe wazalendo mjitathimini tena kuna sehemu mnakosea
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P
Naomba washikilie mpaka mwisho Mimi no mtanzania mzalendo asiyependa dhuluma kwa mzungu wa watu
 
You are really boring. It is not you who you were.
Human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time, place, and circumstances.

We are living in a jungle, and the law of the jungle applies, it's struggling for existence, survival is for the fittest, to be fit one has to be adaptive, to adapt to the changing environments.
Pole kwa kuboreka.
P
 
Mkuu Pascal hatuwezi kuwa wazalendo kama mnatubagua tatizo lenu CCM yaan mnaona hii nchi kama yenu peke yenu yaan ukiwa mpinzani huna haki hata ukiongea ukweli
Na hapo ndipo mnapofell tena sana wengine kusema kweli tunaumia tunapoona haki haitendeki tunataka haki itende Kila mahali
Kwa maana kwa mfano mm ikishinda CHADEMA AU ACT sipati kitu na ikishinda CCM pia sipati kitu lakini nafurahi napoona haki inatendeka Kila mahali
Kama vile sisi tusiokuwa ccm tunavyooumia mnavyotunyanyasa na hapo nchi inapopata matatizo na nyinyi mkiumia nasi inakuwa tunafarijika kwa kuumia kwenu
Kwa sasa hivi hali ni mbaya sana ili tuwe wazalendo mjitathimini tena kuna sehemu mnakosea
Duh, Mkuu Iblis Bin Shetwan, japo jina lako ni baya lakini hoja zako ni mujarab sana.
Kwenye hoja ya kutenda haki kwenye uchaguzi, naungana na wewe.

Haki ni mbinguni kwa Mungu Baba na sio duniani hapa kwa shetani na ibilisi.

Wenyewe wanaona sawa lkn sisi wengine hatuna vyama tunaitaji maendeleo na haki basi wakifanya hivyo tutaonyesha uzalendo mkubwa wakipuuzia Hilo wasitegemee uzalendo
Zile kura milioni 6 aliopta lowasa sio ndogo na lowasa hakupata kwa nguvu yake kuna kundi kubwa linahitaji kusikilizwa sio kupuuza
 
A death wish!? Pls hebu ukuwe na utu mkuu hatujaelekezwa kuombeana kifo ktk mafundisho yote ya kibinadamu.
Mkuu G. Jacob, wengine wetu humu, ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu huwezi kumuombea kifo binadamu mwenzako no matter what!.

P
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P

Hili ni janga la kitaifa na kama taifa tunapaswa kushikamana katika kuhakikisha haki inatendeka na kama kumlipa ‘mkulima’ ndo haki tulipe badala ya kuendelea kujitetea. Dawa ya deni ni kulipa tu!
 
Me nasema hivi ikiwezekana hawa watesi wa watanzania wafe ili watanzania wapate kufarijika nafsi zao.
Mkuu Tamuuu, huwezi kuwa na jina zuri hivi kama hili Tamuuuuu, halafu unaombea vifo kwa watu wengine!. Huo sio utu!. Badili jina uwe Chunguuu!.

P
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P
Tushirikiane kulipa au kufanya maombi
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P
Unauhakika ndege ni ya watanzania sio ya mtu binafsi!!!
 
Kwanza sio wapinzani wanaofurahia bali ni watanzania wa kawaida na wasio na vyama.Hii notion ya kusema et ni wapinzani ni ujinga tena mkubwa.Ma kama ni wapinzani basi kazi mnayo,Maana ni watanzania wengi sanaaa wanafurahia.Na hii ni kutokana na mabaya,unyama,dhuluma,ubabe ns kila kitu kibaya mlichowafanyia.

Me nasema hivi ikiwezekana hawa watesi wa watanzania wafe ili watanzania wapate kufarijika nafsi zao.
Hapa ndipo tumefikishwa.
Hoja yako inaonyesha wazi wewe mpinzani. Pia ni ujinga uliopitiliza kudai eti watanzania wengi wanafurahia, wewe una authority gani kujenga hoja yako? Acha propaganda mkuu
 
Back
Top Bottom