Ubabe hadi Canada? This time you're done

Ubabe hadi Canada? This time you're done

Ni kwamba huko nyuma hawakuwahi kusema wana mapesa mengi tena cash, hawakujimwambafy kujionyesha tunapesa, huko nyuma tulikuwa tunalialia hivyo tulionewa huruma.
jomba deni ni deni haijalishi mdaiwa hana pesa..hahahaha..si wangeweka basi kwenye kumbukumbu za madeni..mbona deni la Taifa lipo tangu miaka ya sabini,70,80..kwani kipindi hicho tulikuwa na hela..miaka ya 80,90 tulikuwa hoi lakini deni lilikuwepo na tulikuwa tunaendelea kulilipa..acha bana siasa za majitaka mb na
Kuna watanzania ambao baada ya kushindwa kulipa deni la mikopo benki mali zao zilikamatwa na kupigwa mnada.
Tulipe deni.
mbona basi hawakuwahi kukamati mali tangu miaka hiyo..kama pesa tulikuwa hatuna..unakumbuka miaka ya 80 tulikuwa na ndege ngapi..na zilikuwa zinaenda mpaka UK, boeing..why hawakuwahi kufanya tabia hii..ni kwamba kulikuwa hakuna deni lolote..mahakama ilisha tatua mgogoro huo..saiz tunachoshuhudia ni matapeli tu na mabeberu
 
Pascal Mayalla,
My brother Pascall, we were not happy coz of our plane being detained in South Africa, no no no, we were happy coz this awamu ya tano thinks that they are clever than even God himself, if you see a president who kills, orders 37 bullets to be pumped into an opposition MP, orders the military to buy korosho yet korosho is nowhere near things like rockets, sumarines or fighter jets.

A president who denies people right to express themselves, what else do you expect from the majority of those who such a dictator president is opressing? i can tell you pascal my brother for free, lots of us will be more than happy if God sends this person(you know who i am talking abaut) to hell fire where he RIGHTFULLY BELONGS, nice weekend bro
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P
Hakuna umoja hapa, magufuli na ccm yake alipe hilo deni.
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

Utuingize chaka halafu unatafuta huruma ya uzalendo!!vyama nje ya ccm vinaanzaje kuwa na uzalendo wakati nao Ni wahanga wa utawala usiofuata sheria hizo Ni ndege za ccm maana hata kuzinunua hawakushirikisha mt

P
Uzalendo maana yake ni nini? Kupindisha sheria
Mkuu umeuliza swali zuri maana yake Ni kuwa wale wote tunaopinga jiwe kutofuata sheria sio wazalendo na tunatumiwa na mabeberu.
 
South walienda wakidai ooh! unajua sisi ndio tuliwasaidia kupata Uhuru na blabla kibao!
Nendeni Canada mkawambie huo upuuzi wenu.
 
Ma TISS yapo tu hayajui lolote, CIA na MI6 huziangusha serikali za kijinga Kama hii
Acha kujiuza we Dada uza tu Bia zako
Screenshot_2019-11-06-02-41-20.jpeg
 
Kwani huyo mkulima anadai bei gani, maana anaonekana ana figisu sana kama mke mdogo
 
Nani atapanda ndege za airline ambayo anajua kabisa inaweza kupigwa stop popote duniani na ikakuletea a lot of inconvenience?
 
Raisi anaendesha serikali kama nyumba familia yake,hakuna katiba,bunge etc inasikitisha sana
Tanzania, ni nyumba yetu, Magufuli ni like baba yetu. Katiba yetu imempa mamlaka yote to do as he pleases as long as anafanya kwa nia njema.
He is right.
P
 
Pascal Mayalla,
My brother Pascall, we were not happy coz of our plane being detained in South Africa, no no no, we were happy coz this awamu ya tano thinks that they are clever than even God himself, if you see a president who kills, orders 37 bullets to be pumped into an opposition MP, orders the military to buy korosho yet korosho is nowhere near things like rockets, sumarines or fighter jets.

A president who denies people right to express themselves, what else do you expect from the majority of those who such a dictator president is opressing? i can tell you pascal my brother for free, lots of us will be more than happy if God sends this person(you know who i am talking abaut) to hell fire where he RIGHTFULLY BELONGS, nice weekend bro
A death wish!? Pls hebu ukuwe na utu mkuu hatujaelekezwa kuombeana kifo ktk mafundisho yote ya kibinadamu.
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P
Amini usiamini awamu ya tano imejipambanua kwa umwambwa wa kugonga mwamba kwa kila kitu. Ni umbumbu na ushamba kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom