Ubabe hadi Canada? This time you're done

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Mnataka tuwe wazalendo hadi kwenye dhuluma?

Yaani mnalia mkiomba sympathy kwa sababu ya tabia zenu za kutotii utawala wa sheria?

Kumbe tabia haina dawa, mmezoea kuonea Wapinzani na kuwafanyia kila aina ya ubabe, sasa mmelewa na kudhani kila mtu ni wa kuonea tu, safari hii mmekwama kabisa .

Tatizo liko wapi? Kiburi cha kugoma kufuata utawala wa sheria tu? Nyie si mnadaiwa bana? Lipeni deni no way!

Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne zote zilikuwa zikilipa hilo deni kwa awamu, serikali hii ya awamu ya tano ikagoma kulipa na kumtimua Stern Tanzania.

Hii maana yake ni kwamba Stern angekuwa raia wa Tanzania asiye na uwezo wa kukimbilia popote na kujihifadhi angepotea kama Azory Gwanda au Ben Saanane.

Kwa hiyo mmeonewa sana si ndiyo? Yaani hilo deni mmebambikwa tu na watu wenye wivu na maendeleo makubwa ya Tanzania, si ndiyo?

Acheni kulidhalilisha taifa zuri la Tanzania, mbona hata Marekani inadaiwa pamoja na utajiri wake? Nyie ni nani hadi msidaiwe?

Yaani mnaandamana ili kupinga kudaiwa? Kwa sababu mmepanga kudhulumu, mkiitwa shithole mnakuja juu kwa hasira.

South Africa mliweza kucheza sarakasi lakini kwa Canada mmekwama, lipeni deni la watu mtutolee hii fedheha.

Uzalendo sio kudhulumu haki ya mtu.
 
Kuna baadhi ya mitazamo huondoa credit kwa wapinzani
mlipeni mkulima dhulumat nyinyi !
IMG_20191123_185932.jpg
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako


P
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako.

P
Uzalendo hauna uhusiano wowote na wizi au dhuluma
 
mlipeni mkulima dhulumat nyinyi !
View attachment 1270734
Hapa hao watenda dhambi, zuluma na wauaji, hapa wamefika mwisho, kule south africa walicheza game, canada NGO, mpaka watalipa huyu kaburu na pamoja na intrest ya hio hela, huyu kaburu sio mjinga hata sekunde moja, watajua hao ccm ya kuwa hawajui, huyu kaburu sio ben saanane au azory
 
Pascal Mayalla,
My brother Pascall, we were not happy coz of our plane being detained in South Africa, no no no, we were happy coz this awamu ya tano thinks that they are clever than even God himself, if you see a president who kills, orders 37 bullets to be pumped into an opposition MP, orders the military to buy korosho yet korosho is nowhere near things like rockets, sumarines or fighter jets.

A president who denies people right to express themselves, what else do you expect from the majority of those who such a dictator president is opressing? i can tell you pascal my brother for free, lots of us will be more than happy if God sends this person(you know who i am talking abaut) to hell fire where he RIGHTFULLY BELONGS, nice weekend bro
 
My brother pascall, we were not happy coz of our plane being detained in south africa, no no no, we were happy coz this awamu ya tano thinks that they are clever than even God himself, i can tell you pascal my brother for free, lots of us will be more than happy if God sends this person(you know who i am talking abaut) to hell fire where he RIGHTFULLY BELONGS.
P
 
Hii maana yake ni kwamba Stern angekuwa raia wa Tanzania asiye na uwezo wa kukimbilia popote na kujihifadhi angepotea Kama Azory Gwanda au Ben Saanane.
Wakati huu angekuwa analia na kusaga meno; lakini 'wazalendo' wangekuwa wanajipongeza sana kwa kumkomesha.

Unakumbuka "Lissu alivyotelekeza Jimbo na wapiga kura wake"? Huyu Stern naye angekuwa amekwishatungiwa mizengwe yake ili 'wanyonge' waone serikali inavyowapigania. Na kwa vile ni 'Beberu' hadithi zingekorezwa sawa sawa na wananchi wasingepata shida kutambua kazi kubwa inayofanywa na serikali yao.
 
Pascal Mayalla,
Huwa nasikia waswahili wanasema, adui yako muombee njaa, nadhani wanaofurahia ni wale wanaye muombea Rais Magufuli njaa.

Ndege ni zao au zetu? Huwa naona kila zikija wanachama wa ccm ndio hualikwa, nahisi hawa ni zao, sasa wale wanaokosa mualiko nadhani ndio hufurahia.

Haya mambo ya jinsi gani watu wanapokea nadhani yako binafsi sana, hata wanaofurahia au kushangilia mtanange huu hawabadili chochote, the fact kwamba tunadaiwa.

Nadhani wangelipa tu ili kuondokana na fedheha hii.
 
Hata yule anaekuonea darasani akipata mbabe wake na wewe unafurahi.
Nilishaandika humu. Huyu shuleni bila shaka alikuwa "Bully" mkubwa sana. Hii sio tabia ya kuokota ukubwani hata kidogo.

Waliosoma naye nadhani hadi sasa wanaogopa kuzungumzia lolote linalomhusu enzi zile akiwafurumusha huko makwao.

Na darasani akiwa mwalimu, hapo ndipo ninaposhindwa kabisa kuwaona wanafunzi wale!
 
Back
Top Bottom