Ubabe hadi Canada? This time you're done

Ubabe hadi Canada? This time you're done

Ehh Mwenyezi Mungu umtangulie mkulima Stern apate haki yake.🙏🏾
Na mwanga wa milele umwangazie eee Bwana

Mamilioni ya Watanzania tunamwombea Mkulima!

Ukija na Swiss Air, KLM 80% wanashuka Nairobi, dege linakuja KIA na DAR tupu toka Ulaya!

Ni data gani zinazowaonyesha watalii hatuna kwa sababu hakuna ndege ya kuwaleta???

Mpaka British Airways wakafunga biashara baada ya kuja DAR miaka 50 mfululizo...

leo mnasema mnanunua ndege kuleta watalii... Kutoka wapi, Katavi? Kule mlikosema kuanzia leo nataka kuona ndege inatua Katavi???

Kwani wangesema tunataka kufufua ATC, kuendesha biashara ya ndani na nje, watalii wawepo wasiwepo, tumerekebisha hiki na kile, daftari la mahesabu ya hasara na faida hili hapa, mwenye maoni ya kuponda na kujenga apeleke maandishi kwa mdhibiti mkuu TCAA, kama tunavyopeleka malalamiko EWURA, TCRA, SUMATRA, au akaongee viwanja vya Mwembeyanga saa sita mchana mpaka sauti ikauke, sisi tunajaribu biashara... nani angewaombea mabaya?? nani duniani anaanzisha biashara na uhakika wa mafanikio??
 
Mamilioni ya Watanzania tunamwombea Mkulima!

Ukija na Swiss Air au na KLM 80% ya abiria wanashuka Nairobi, dege linakuja KIA na DAR tupu!

Ni data gani zinazowaonyesha watalii hatuna kwa sababu hakuna ndege ya kuwaleta???

Mpaka British Airways wakafunga biashara baada ya kuja DAR miaka 50 mfululizo...

leo mnasema mnanunua ndege kuleta watalii... Ktoka wapi, Katavi? Kule mlikosema kuanzia leo nataka kuona ndege inatua Katavi???

Kwani wangesema tunataka kufufua ATC, kuendesha biashara ya ndani au ya nje, tumerekebisha hiki na kile, daftari la mahesabu ya hasara na faida hili hapa, mwenye maoni ya kujenga na kuponda apeleke maandishi kwa mdhibiti mkuu TCAA, kama tunavyofanya EWURA, TCRA, SUMATRA, n.k... nani angewaombea mabaya??
Ndege zenyewe wala hazina routes za uhakika bado wanaongeza nyingine. Hapa unaona kabisa kuwa kuna anaenufaika na manunuzi si matumizi.
 
Kwani katiba ndio nini hadi isivunjwe?. Au katiba ni msahafu isibadilishwe?.
Hayo tuliyaongea kitambo

P

Nimeongelea kubadili katiba?

Nimeongelea kuvunja katiba!

Na kuvunja katiba ni KOSA!

Halafu upo hapa kushabikia uvunjifu wa katiba ambayo ni supreme law of the land!??

Hivi una habari anakuja rais mwingine 2025 anaweza fungilia mbali hilo limawe lenu kwa haya makosa anayofanya leo?

Hivi unadhani crime ina statue of limitation?

Wait and see!
 
Mkuu G. Jacob, wengine wetu humu, ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu huwezi kumuombea kifo binadamu mwenzako no matter what!.

P
Nadhani wengi hawatambui kwamba kuombea mtu kifo ni tamaa ya kuua mtu.
Mtu wa hivyo akipata nafasi ya kuuwa basi anatekeleza tamaa yake.
 
Ukiona hadi ma drug deals kama mtoa mada wanampiga jpm jua kuna kazi nzuri kafanya

State agent
Screenshot_2019-11-06-02-41-07.jpeg
 
Pasco huna Baba hata umwite Magufuli kuwa Baba yako?
Magufuli ni Dikteta wa Tanzania, full stop.
Kama Tanzania ni nyumba yetu, then Magufuli ndiye baba mwenye nyumba, ni baba.

Hili la rais Magufuli kuwa baba yetu, nimelizungumza hapa kama ilivyo kwa Nyerere ni baba wa Taifa, rais Magufuli ndie baba Tanzania kwa sasa.

P
 
Pole kwa Rais wa JMT kwa ndege yake kukamatwa.
Pole kwa Waziri Kabudi kwa TZ kusalitowa.
Pole kwa Waziri Mahiga kwa mateso kutuma vijana Canada
Pole kwa serikali yetu yote kwasababu ndege ni ya serikali.
Pole kwa CCM, kwasababu serikali ni ya CCM.
Pole kwa wanasheria watakaoteseka.
Pole kwa ATC ndege yao kukamatwa hivyo kuchelewesha kupiga pesa.
Pole kwa sisi Watanzania wote kwa ndege yetu kukamatwa na kututia hasara ambayo ni sisi tutaifidia.
Ndege ni rais Magufuli kwasababu ndiye aliyeamua kuinunua kwa cash money.
Ndege ni ya serikali kwasababu inamilikiwa na serikali 100%.
Ndege ni ya ATCL kwasababu ATCL ndio wanaitumia.
Ndege ni ya Sisi Watanzania wote kwasababu fedha zilizonunulia ni fedha zetu, na sisi ndio tunaoipanda.

Pole hata hawa Watanzania wenzetu wanaofurahia na kushangilia ndege yetu kukamatwa nao pia wataifidia hii hasara maana ndege pia ni yao bila kujijua.
Pole wote.
P
Yaani zikamatwe zote, mtu anakubali anunue ndege nane, wakati watu wanakosa dawa hospitalini, wakati watu wanakunywa matope badala ya maji, zikamatwe tu tena waongeze kuzikamata zee lina roho mbaya sana.
 
Pambaneni wenyewe si mnasema ndege za magufuli na ccm!
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

Bro tujiulize bila unafiki kwa nini watu sasa hivi wanafurahia matatizo ya taifa!?...lakini pia uzalendo haufundishwi wala kuhimizwa unakuwepo tu moyoni ila unaondoka wenyewe bila hata kuhimzana wala kuambiana kama kuna mambo ambayo siyo rafiki kwake
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P
P, hakuna anayefurahia Mali ya mwingine kutiwa matatani! Na uzalendo ni uzalendo tu hauna tafsiri nyingine! Mliopo huko serikalini mnajua pasi na Shaka Nani anadai Nini na tangu lini! Kwanini msilipe hata kidogokidogo? Au mnadhani mzungu ni sawa na wafanyakazi wa umma mnaowakopa na kuwadhulumu malimbikizo yao ya mishahara na bado wakawavumilia? Huu kwako na kwa wengine ni uzalendo kwa kumdhulumu mtumishi! Ona wenzako wa gazeti la mtanzania anavyomwaga gesi kwenye Moto wa petrol! Hamtoki Canada kwa maandishi Yale!
 
Yaani zikamatwe zote, mtu anakubali anunue ndege nane, wakati watu wanakosa dawa hospitalini, wakati watu wanakunywa matope badala ya maji, zikamatwe tu tena waongeze kuzikamata zee lina roho mbaya sana.
Tatizo vipaumbele mambo yanafanywa kwa mzuka wa kisiasa mashirika ya Rwanda na Kenya yanapumulia mashine sisi nao tunaiga.
 
Mnataka tuwe wazalendo hadi kwenye dhuluma?

Yaani mnalia mkiomba sympathy kwa sababu ya tabia zenu za kutotii utawala wa sheria?

Kumbe tabia haina dawa, mmezoea kuonea Wapinzani na kuwafanyia kila aina ya ubabe, sasa mmelewa na kudhani kila mtu ni wa kuonea tu, safari hii mmekwama kabisa .

Tatizo liko wapi? Kiburi cha kugoma kufuata utawala wa sheria tu? Nyie si mnadaiwa bana? Lipeni deni no way!

Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne zote zilikuwa zikilipa hilo deni kwa awamu, serikali hii ya awamu ya tano ikagoma kulipa na kumtimua Stern Tanzania.

Hii maana yake ni kwamba Stern angekuwa raia wa Tanzania asiye na uwezo wa kukimbilia popote na kujihifadhi angepotea kama Azory Gwanda au Ben Saanane.

Kwa hiyo mmeonewa sana si ndiyo? Yaani hilo deni mmebambikwa tu na watu wenye wivu na maendeleo makubwa ya Tanzania, si ndiyo?

Acheni kulidhalilisha taifa zuri la Tanzania, mbona hata Marekani inadaiwa pamoja na utajiri wake? Nyie ni nani hadi msidaiwe?

Yaani mnaandamana ili kupinga kudaiwa? Kwa sababu mmepanga kudhulumu, mkiitwa shithole mnakuja juu kwa hasira.

South Africa mliweza kucheza sarakasi lakini kwa Canada mmekwama, lipeni deni la watu mtutolee hii fedheha.

Uzalendo sio kudhulumu haki ya mtu.
KWA HILI NADHAN WAZIRI AUATUINGIZA CHAKA. KUNA UKWELI ANAOUFICHA
 
Ehh Mwenyezi Mungu umtangulie mkulima Steyn apate haki yake.🏾
Hakika. Hatutaki tabia za ukagame za kupora mali za wengine. Huyu mkulima si mwendawazimu akurupuke kudai malipo hewa. Alipww haki zake kulinda heshima ya nchi yetu.
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P

P,
Call a spade a spade and not a ''Big spoon''.
Hakuna mtu anafurahia kukamatwa kwa ndege. Moral support iliyoko ndani ya mioyo ya Wazalendo wa Kitanzania ni kumalizana na Mkulima STEYN kwa KUMLIPA na kuachana naye...!!
Hii kulalamika, kusingizia kina Lissu siji MABEBERU ni utoto na kukosa hekima...!!!Sheria zitapindishwa hapa Tanzania lakini nje ya Mipaka CCM na Serikali wawe makini sana...!!!
Serikali hiihii ya CCM iliamua KUTAIFISHA MALI ZA STEYN na swala likafika Mahakama Kuu ikaamuliwe Mkulima alipwe 33m USD kwa awamu. Mzee Ruksa,Mkapa na JK wakalipalipa sehemu ya deni. Alipoingia 'homeboy' akasema halipi deni la BEBERU hapa....!!!
Hii biasahara ya kukimbia huku na huko kwenda kupambana na Steyn kwenye Mahakama za watu ni Ubabe na kujidhalilisha kwene Jumuia za Kimataifa...!!!
Ushauri wa bure: Serikali ikae meza moya na Mr. Steyn hoja iwekwe mezani ijulikane anadai bei gani, alishalipwa ngapi na kilichobaki ni ngapi pamoja na riba....!!! Tusidanganyane kuwa ati Steyn ni BEBERU wakti CCM ndio walio mleta Steyn Tanzania kama Mkulima mwekezaji...!!!Ubeberu unatokea wapi?
 
Huondoa credit kwa wapinzani na KUONGEZA CREDIBILITY ya wapinzani, wanajitambulisha kama true voices of reason, sio political comedians
Si kweli. Hoja za kijinga kama hizi ni cheap politics, kumbuka watanzania wana mwamko wa kisiasa zama hizi, wamejua mema na mabaya. Ni vema kujikita kwenye siasa zenye maslahi kwa taifa kuliko kujaribu kushabkia mambo ambayo hayana uwiano wa kisiasa na kuyapoliticise. Kwenye siasa wekeni siasa, kwenye patriotism wekeni hiyo, sio kusimama dhidi ya Tanzania kwa kujifanya mnasimama dhidi ya CCM. Tukiiangusha Tanzania hata siasa hazitakuwa na maana.
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P

Tuwe wamoja halafu tufanye nini mkuu? Tutoe hela za watoto Wetu za school fees tumlipe Mkulima ili ndege itoke au tuwe wamoja kwa kupeana matumaini ya uongo uongo kwenye mitandao??😂😂😂

Sikiliza ndugu yangu dawa ya deni ni kulipa.
 
Back
Top Bottom