Sitta amepata alichostahili, unafiki wake umemfikisha hapo alipo, sasa asubiri yafuatayo, (1) kuundiwa kamati ya bunge ya kumchunguza kwa utendaji wake na kumfukuza bungeni mara moja (2) kufunguliwa kwa kesi ya kuvunja sheria kwa mkewe kwa kutoa rushwa wakati wa uchaguzi, alikutwa na simu kibao usiku wa manane eti anasema alikua anakwenda kuona mgonjwa. Sita hata baada ya kuchukua hela za watu chungu mzima katika maandalizi haya na kutegemewa kucheza tofauti na wapinga ufisadi, aliwasaliti wote tena bila taarifa kwa kukubali kuzima hoja ya richmond, na baada ya hapo kuanza kujikomba kwa Lowassa eti yeye alishtushwa sana na kujiuzulu kwa lowasa shit, imekula kwake hatumuhitaji muacha aishie, tunachoomba ni wale wabunge wote wanaotakia heri nchi hii wawatupilie mbali hao wanawake wa CCM, hawawakilishi hata mahitaji ya wanawake wenzao, hatudanganyiki...